Rwanda yaandika barua UN kupinga kupelekwa Jeshi la SADC DRC. Yasema sio jeshi la kulinda amani bali kuivamia Rwanda na kuwafuta Watutsi wa Congo

Mjue kwa maslaha ya wote, wakuu wa majeshi wenye nchi zilizokubaliana huwa wanaongea yanayojiri
Mjue mkuu wetu wa majeshi hakuongea kwa bahati mbaya hadharani

Na haya yanayokuja mmh mbona PaKa atakufa haraka

Nasubiri comment au uzi wa mtetezi wa Rwanda maana sijamsikia mda
Unataka kumaanisha nini ndugu?
 
Hongereni JWTZ, futilia mbali hao majambazi wa madini ya DRC wanaojiita M23, ni vibaraka wa wa Rwanda hao mbwa
Sawa,
Sasa tujadili baada ya M23 kuondoka.
Tunadhani hayo madini yatasaidia hao raia?
Afrika tuna shida mahali
 
Hao m23 walikwishaitwa mara nyingi huko nyuma na Rais huyu kipindi anaingia madarakani hawakwenda wakidai yeye atekeleze makubaliano ya march 23 ambayo mengi kwa sasa hayatekelezeki.

Na jeuri ya PK ndiyo iliyowaongezea kibri.
Unajua m23 agenda yao haina maana hata kidogo.
Kwa kawaida kwanza serikali uwezi kufanya maongezi na waasi wanaosaportiwa na nchi jirani. Maana ndani ya m23 kuwa RDF wengi sana , wachache sana ni wacongo. Wanavaa uniform za RDF, helmet za RDF pamoja na Vest za RDF. Kuna kipindi vilikamwatwa mpaka viatu vya jeshi vimeandikwa RDF.
Sasa kwa kawaida serikali uwezi ukafanya maongezi na watu kama hao.

Afu pia wao wanadai makubaliano yawe kuwe na vikosi viwili nchi mzima ya Kongo. Kimoja kiwe cha kwao cha watusti na kingine cha wakongo. Tena wanataka wao ndio washike east drc eti kuwarinda watusti. Ni madai ya kijinga.
 
Hao m23 walikwishaitwa mara nyingi huko nyuma na Rais huyu kipindi anaingia madarakani hawakwenda wakidai yeye atekeleze makubaliano ya march 23 ambayo mengi kwa sasa hayatekelezeki.

Na jeuri ya PK ndiyo iliyowaongezea kibri.
Yao wanataka kugawa Kongo.
Ila ulikuwa mpango wa USA miaka ya 90. Na hicho ndicho kisababishi cha Second congo war. Baada ya kabila kugoma makubaliano ya kugawa congo. USA walimsupport Pk na kurudi drc kuanzisha vita ya pili , walikamata congo yote , ponea ya wacongo ilikuwa ni Angola chini ya general Joao de Matos.
Walikufa watu zaidi ya 5 million kule.
Tafuta "UN mapping report" ya congo utaona.
 
Kwa kifupi sana....
Rwanda(Kagame) ana HAKI na ni HALALI kukabidhiwa rasmi......kipande cha eneo la Congo...manake ndio makubaliano yaliyopo kwenye mkataba uliasainiwa mwezi March tarehe 23...baada ya kumsaidia L.kabila( senior)...kuingia madarakani.FULL STOP.
🤣🤣🤣🤣 hio March 23.... haina mwaka?
Mara ya pili hii,😝
 
Yao wanataka kugawa Kongo.
Ila ulikuwa mpango wa USA miaka ya 90. Na hicho ndicho kisababishi cha Second congo war. Baada ya kabila kugoma makubaliano ya kugawa congo. USA walimsupport Pk na kurudi drc kuanzisha vita ya pili , walikamata congo yote , ponea ya wacongo ilikuwa ni Angola chini ya general Joao de Matos.
Walikufa watu zaidi ya 5 million kule.
Tafuta "UN mapping report" ya congo utaona.
Na Zimbabwe Chief.. Hao ndio waliinusuru Congo isizame..
 
Back
Top Bottom