Rwanda leo wameingiza mzingo wa Airbuss A330-200! Si mchezo

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,642
18,645
Huu mzingo umewasili leo mchana
14435094_10154500105887145_1396542396494847376_o.jpg
 
Safi sana Rwanda, si PK ndio aliempa mchongo pia JPM wa kununua hizo ndege kwanza then baadae hizo airbus zitakuja tu sasa hivi ni suala when not if .
 
Rwanda walianza na Q400 nne,moja kila siku night stop Dar,wakaongeza CRJ 900 mbili,B737-700 mbili na B737-800 mbili ma Leo wameingiza A332 katika fleet zao,hongera kwao Ni hatua kubwa...ATCL nidhamu ikiwepo tutafika huko..
 
Ccm inapaswa kuona aibu na kutoka madarakani wasisubiri hata uchaguzi.
Yaani tunashindana na rwanda??!!!
 
Naona wivu tu...hata Tanzania tungekuwa nazo mia mbili, sina uwezo wa kupanda, acha vibanga boy vyetu pendine wenye mapesa wata visusa Sisi masiki tukajibikiri huko.
 
Back
Top Bottom