Rwanda leo wameingiza mzingo wa Airbuss A330-200! Si mchezo

Rwanda wanatufungulia njia na kutukumbusha kuwa tusiwe wajinga kwa kujifariji na vitu vidogo ilihali uwezo wa vikubwa tunao.. aende tena akaombe ushauri njinsi ya kununua na hii
 
Hoja yako bado haina mashiko!
Tanzania ina:
-Gass
-Mdini karibia kila mkoa
-Bandari
-Utalii
-Mafuta
etc..etc....

Rwanda wangekuwa na hivyo nilivyo kutajia hapo juu ingekuwa kama Geneva ya Africa!

Tukiachana na ndege Niambie Tanzania mlicho kifanya kwa miaka zaidi ya 50 mkafanikiwa Elimu? huduma za kijamii hospital? Hahaha
Madini, misitu nk ni resources, kuwa Nazo tu haitoshi, inahitajika capital na human resources ili kuona manufaa yake.

Kuna mengi tu mazuri ambayo tumeshafanya sema tu unajifanya huyaoni, na utayaona tu pale yatakapokuwa yameondoka
 
Rwanda ina ukubwa wa square meter ngapi na Tanzania je? Acha kufanya vitu kishabiki. Halafu usifanye kitu kwa kuiga watu utakua mtumwa wao.
hatuigi tunalinganisha, kulinganisha sio ukubwa tu wa square meter kuna mengi,lengo ni kutafuta usambamba na kuona wapi tujikite. wakati wewe ukiogopa kulinganishwa hivyo vinchi vyenye square meters ndogo vinajilinganisha nawewe. usitake kuniambia nchi zaenye eneo kubwa umeme hukatika zaidi kuliko nchi zenye eneo dogo la mraba.
 
Madini, misitu nk ni resources, kuwa Nazo tu haitoshi, inahitajika capital na human resources ili kuona manufaa yake.

Kuna mengi tu mazuri ambayo tumeshafanya sema tu unajifanya huyaoni, na utayaona tu pale yatakapokuwa yameondoka
We naona unatafuta watu wa kukufariji poa mkuu tufanye umeshinda!
 
hatuigi tunalinganisha, kulinganisha sio ukubwa tu wa square meter kuna mengi,lengo ni kutafuta usambamba na kuona wapi tujikite. wakati wewe ukiogopa kulinganishwa hivyo vinchi vyenye square meters ndogo vinajilinganisha nawewe. usitake kuniambia nchi zaenye eneo kubwa umeme hukatika zaidi kuliko nchi zenye eneo dogo la mraba.
Hivi kweli ni halali kulinganisha Tembo na sungura,
 
Elimu ya Tanzania sijui ipoje!!!!!!!
Elimu ya Tanzania IPO sawa na ndiyo maana tuna wataalam nje ya nchi pamoja na Rwanda, ila kuna changamoto za hapa na pale ambazo haziwezi kutufanya tudharau elimu yetu.
 
Madini, misitu nk ni resources, kuwa Nazo tu haitoshi, inahitajika capital na human resources ili kuona manufaa yake.

Kuna mengi tu mazuri ambayo tumeshafanya sema tu unajifanya huyaoni, na utayaona tu pale yatakapokuwa yameondoka
Ndugu nisaidie kitu... Kwenye nchi hii ya Tanzania tunaweza kusema sie tumejitahidi kwenye lipi hata 1 tu ukinitajia inatosha!?
 
Siwezi kukupa silaha zote nikikupa ujue kwangu zimebaki - Mwana f.aView attachment 407917
Hiyo ndege ilitua jana mchana wakati mnapokea "panga shaa" Rwanda wanapokea airbuss walipishana tu angani hapo

Tumia Akili wewe wacha kutafuta sifa
Utaanzaje gari hata baiskel huna!!?
Hao Rwanda kwanini hawakuanza na hiyo ndege?
Tatizo wengi wenu humu mnajifanya wajuaji Kumbe mapopoma tu
 
Elimu ya Tanzania IPO sawa na ndiyo maana tuna wataalam nje ya nchi pamoja na Rwanda, ila kuna changamoto za hapa na pale ambazo haziwezi kutufanya tudharau elimu yetu.
Mngekuwa na elimu rais asingesema anachukua wataalam wa IT Rwanda
 
Tumia Akili wewe wacha kutafuta sifa
Utaanzaje gari hata baiskel huna!!?
Hao Rwanda kwanini hawakuanza na hiyo ndege?
Tatizo wengi wenu humu mnajifanya wajuaji Kumbe mapopoma tu
Wee jamaa unasikitisha sana! Hadi imefika mahali naacha shughuli zangu najiuliza wee ni robot! Unajua Tanzania walianza na ndege aina gani?

NB sikujibu tena naona unanimalizia energy yangu mwilini!
 
Nawe sikujibu tena maana nasumbuana na Mnywa Viroba tu

Umeambiwa Tunafufua shirika
Ulitaka tuanze na ndege zipi!!?

Ukionekana kukosoa kila jambo humu la serikali unajiona mjuaji kumbe kopo kichwani.
 
Rwanda walianza na Q400 nne,moja kila siku night stop Dar,wakaongeza CRJ 900 mbili,B737-700 mbili na B737-800 mbili ma Leo wameingiza A332 katika fleet zao,hongera kwao Ni hatua kubwa...ATCL nidhamu ikiwepo tutafika huko..
I second you my brother.
 
Ndugu nisaidie kitu... Kwenye nchi hii ya Tanzania tunaweza kusema sie tumejitahidi kwenye lipi hata 1 tu ukinitajia inatosha!?
Sasa wewe mtanzania alafu pia unalalamika kuwa Tanzania haiko sawa, hapa mzungu lazima akuone mjinga!
Bavicha acheni upuuuzi huu wa ufipa., sasa hivi ndani ya Tanzania mmejenga nchi nyingine, ambayo inawanya muwe na destructive criticism dhidi ya serikali ya JPM, mshindwe na mlegee.
 
Rwanda walianza na Q400 nne,moja kila siku night stop Dar,wakaongeza CRJ 900 mbili,B737-700 mbili na B737-800 mbili ma Leo wameingiza A332 katika fleet zao,hongera kwao Ni hatua kubwa...ATCL nidhamu ikiwepo tutafika huko..
Hopefully tutafika,sera za uongozi wa awamu zilizopita zimechangia kwa kiwango kikubwa sana kuiua ATCL,lakini kwa mwendo tulio anza tutarudi kwenye mstari very soon.Ingawa inaumiza sana kwani tulishakaribia kufika hapo walipo wenzetu.
 
Back
Top Bottom