Rwanda imeamua liwalo na liwe.......!!!

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Rwanda sasa imeamua kucheza rau kwa kwa kuanza kuihujumu bandari ta Dar es salaam kwa kupandisha ushuru wa barbarani kwa magari ya mizigo yanayotoka Tanzania PEKEEE. hii ni kuanzia Lusumo hadi Kigari. kutoka dola za kimarekani 125 hadi dola 500. KAZI IPO......!!!
 
Wahenga walisa "UKUJAMBA KWA HASIRA LAZIMA UTAJINYEA". Sie tuna bahari wao hawana. Watakao umia ni wanyarwanda wala sio watanzania. Hapo walifanya akili matope.
 
wewe waache hawa wenyewe watakuja tu,sisi chakufanya ni kuimarisha miondo mbinu yote pale bandarini ili iwe ya kimataifa zaidi watakuja na kodi tutapandisha zaidi bana ,siku ozte ukiwa na kitu kizuri bana wataeja watakuja wenyewe bana hahahaha,,watakufa wale ipo siku atatoka kigali hadi dar kwa magoti wewe mwache..kenya wenyewe na jeuri yao yote wagombea urais wao wamekuja kutafuta support bongo kwa nyakati tofauti sasa wanakaa vikao nakudisikasi vitu wanavyojua bila tz EAC hamna pale .''THE FRIEND OF YOU'RE ENEMY HE IS ALSO YOU'RE ENEMY''
 
rwanda sasa imeamua kucheza rau kwa kwa kuanza kuihujumu bandari ta dar es salaam kwa kupandisha ushuru wa barbarani kwa magari ya mizigo yanayotoka tanzania pekeee. Hii ni kuanzia lusumo hadi kigari. kutoka dola za kimarekani 125 hadi dola 500. Kazi ipo......!!!

mkuu ni kigari kigali??
 
Rwanda sasa imeamua kucheza rau kwa kwa kuanza kuihujumu bandari ta Dar es salaam kwa kupandisha ushuru wa barbarani kwa magari ya mizigo yanayotoka Tanzania PEKEEE. hii ni kuanzia Lusumo hadi Kigari. kutoka dola za kimarekani 125 hadi dola 500. KAZI IPO......!!!
Ninawasikitikia sana hawa ndugu zetu kwani siasa za afrika mashariki zinaeleweka kuna kipindi uganda walikorofishana na kenya nao wakajuta kwa nini hakuna rail link kati ya tanga na ziwa victoria kama alternative option. Hawa jamaa hawana ujanja watapiga magoti tuu kwani wao wanatuhitaji sisi kuliko tunavyowahitaji wao
 
Rwanda sasa imeamua kucheza rau kwa kwa kuanza kuihujumu bandari ta Dar es salaam kwa kupandisha ushuru wa barbarani kwa magari ya mizigo yanayotoka Tanzania PEKEEE. hii ni kuanzia Lusumo hadi Kigari. kutoka dola za kimarekani 125 hadi dola 500. KAZI IPO......!!!

Hivi rwanda wanajiamini nini lakini?
Mbona wnajidai wababe ivi?
 
wananchi wa kawaida kigali wanateseka, wanadai maisha ni ghali sana, wanasema bandari ya mombasa ikianza kutumika ndio hali itazidi kua mbaya zaidi, kagame kawaingiza chaka..ni wachache wenye uwezo wa kuyazungumza haya hadharani
 
wewe waache hawa wenyewe watakuja tu,sisi chakufanya ni kuimarisha miondo mbinu yote pale bandarini ili iwe ya kimataifa zaidi watakuja na kodi tutapandisha zaidi bana ,siku ozte ukiwa na kitu kizuri bana wataeja watakuja wenyewe bana hahahaha,,watakufa wale ipo siku atatoka kigali hadi dar kwa magoti wewe mwache..kenya wenyewe na jeuri yao yote wagombea urais wao wamekuja kutafuta support bongo kwa nyakati tofauti sasa wanakaa vikao nakudisikasi vitu wanavyojua bila tz EAC hamna pale .''THE FRIEND OF YOU'RE ENEMY HE IS ALSO YOU'RE ENEMY''

Unasema tz mwimarishe miundo mbinu angali mshaingia mkataba wa bandari ya b/moyo ambayo hairuhusu kuendeleza bandari zote tz, na rwanda washaingia ubia na kenya ku2mia bandari ya kenya
 
Kwa sababu ya kutokuwa na element ya ufaifa na badala yake kutawaliwa na ubinafsi katika kuweka priorities za kitaifa tutapoteza kila kitu. In reality we are "SPLEEPING GIANT". Kuwa na bahari na bandari siyo jambo la kujivunia kama hatutaweza kuzitumia kwa manufaa ya kitaifa. Tumeshapoteza soko la Zambia na Malawi sasa wanatumia Beira port kutokana na effeciency yake na supportive infrastructures zilizopo za kufikisha mizigo nchini kwao kwa haraka na kwa bei nafuu. Hatuwezi kuona badari zetu zinakuwa na manufaa kwa nchi wakati reli zipo taabani. Kupitisha mizigo katika barabara kuna kila upuuzi wa kila kuanzia vizuizi, hongo kwa kila unaposimamishwa na askari, ucheleweshaji wa upakiaji wa mizigo bandarini kuwezesha utoaji wa mizigo kwa mizengwe ya kutaka hongo n.k. Watanzania tujiulize tukikosa soko la Rwanda baada ya kukosa soko la Malawi na Zambia tutakuwa na faida gani na bandari zetu achilia taarifa hizo za kuendeleza badari ya Bagamoyo, ya nini wakati tumeshidwa kutumia bandari zilizopo. Priority ingekuwa ku-modernise reli zetu lakini kutokana na ubinafsi uliopo jambo hilo haliwezekani kwa kuwa malori yaliyojazana katika barabara zetu na hayo ambayo yamezuiwa kuingia Rwanda ya wakubwa wa nchi hii. kwa wananchi wa kawaida kuna hasara gani kwa tukio hili?.
 
Back
Top Bottom