Sinkala JF-Expert Member Dec 22, 2008 1,773 684 Apr 29, 2012 #1 Jaza namba inayokosekana: Ruvu 3-0, Moro Utd 3-0, Ahly Shandy 3-0, Yanga...?
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Apr 29, 2012 #3 mmmmhhhh ukichangia tu wewe huipendi yanga..
Kombo JF-Expert Member Oct 29, 2010 1,812 509 Apr 29, 2012 #4 Wao nan hadi waspigwe hata "Kimoja cha Chizi"?
Sinkala JF-Expert Member Dec 22, 2008 1,773 684 Apr 29, 2012 Thread starter #5 Losambo said: 3-0. Nimekosea? Click to expand... Nasubiri majibu ya wengine kwanza, nitakwambia kama umepatia au umekosea baadae
Losambo said: 3-0. Nimekosea? Click to expand... Nasubiri majibu ya wengine kwanza, nitakwambia kama umepatia au umekosea baadae
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Apr 22, 2012 15,118 16,470 Apr 29, 2012 #7 Nyie rukeni rukeni weeeee, kwa Yanga ni kichapo tu. Hata uwe waziri mkuu au mchungaji, ukirudi home mumeo ni mumeo tu
Nyie rukeni rukeni weeeee, kwa Yanga ni kichapo tu. Hata uwe waziri mkuu au mchungaji, ukirudi home mumeo ni mumeo tu
Sinkala JF-Expert Member Dec 22, 2008 1,773 684 Apr 29, 2012 Thread starter #8 Mwana Mtoka Pabaya said: Nyie rukeni rukeni weeeee, kwa Yanga ni kichapo tu. Hata uwe waziri mkuu au mchungaji, ukirudi home mumeo ni mumeo tu Click to expand... Vipi mkuu, timu ipo kwa uongozi au kwa wazee?
Mwana Mtoka Pabaya said: Nyie rukeni rukeni weeeee, kwa Yanga ni kichapo tu. Hata uwe waziri mkuu au mchungaji, ukirudi home mumeo ni mumeo tu Click to expand... Vipi mkuu, timu ipo kwa uongozi au kwa wazee?
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Apr 22, 2012 15,118 16,470 Apr 29, 2012 #9 Sinkala said: Vipi mkuu, timu ipo kwa uongozi au kwa wazee? Click to expand... Mipango yetu hiyo ya kuifunga Simba. Nyie na wahindi wenu mna kasumba ya domokaya kwa hiyo mnaandaliwa kikomesheo
Sinkala said: Vipi mkuu, timu ipo kwa uongozi au kwa wazee? Click to expand... Mipango yetu hiyo ya kuifunga Simba. Nyie na wahindi wenu mna kasumba ya domokaya kwa hiyo mnaandaliwa kikomesheo
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,386 Apr 29, 2012 #10 Sinkala said: Jaza namba inayokosekana: Ruvu 3-0, Moro Utd 3-0, Ahly Shandy 3-0, Yanga...? Click to expand... Matumla aka mike tysoni
Sinkala said: Jaza namba inayokosekana: Ruvu 3-0, Moro Utd 3-0, Ahly Shandy 3-0, Yanga...? Click to expand... Matumla aka mike tysoni
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,386 Apr 29, 2012 #11 ngumi na mpira wapi na wapi?
Anselm JF-Expert Member Nov 16, 2010 1,710 291 Apr 30, 2012 #13 Saint Ivuga said: ngumi na mpira wapi na wapi? Click to expand... Mtajua siku hiyo
Anselm JF-Expert Member Nov 16, 2010 1,710 291 Apr 30, 2012 #14 Mbona mnaruka mechi nyingine jamani,twendage kwa mtiririko Ruvu 3-0,Es Setif 1-3,Moro Utd 3-0,Ahly Shandy 3-0,Yanga 0-?
Mbona mnaruka mechi nyingine jamani,twendage kwa mtiririko Ruvu 3-0,Es Setif 1-3,Moro Utd 3-0,Ahly Shandy 3-0,Yanga 0-?