Ni jambo la kusikitisha sana, mwanzoni mwa mwezi huu wa kumi mwaka 2013, wafanyakazi wenzangu wamepokea kushwa ya dola za kimarekani LAKI MOJA NA ELFU KUMI (110,000) kutoka hoteli ya kitalii ijulikanayo kwa jila la KIWENGWA STRAND HOTEL LTD maarufu Bravo holet au sea club huko zaman, ili kutolipa deni la ushuru kiasi cha dola laki nne na elfu hamsini (450,000), ufisadi huu umeratibiwa na Manager ajulikanae kwa jina la STEFANO CILOMBINO, na fedha hizo zimelipwa kupitia kwenye compuni moja ya ukaguzi hapa znz, Waziri uko wapi? Yaani huyo manager ndio kazi yake kuhonga kwani nae anakuwa na mgao wake hii nimeipata hapa ofisini kwa rafiki yangu ambae mgao nae amepata na anasema bado kula dili lingine kiasi cha dola milion moja, wako kwenye mazungumzo, waziri fanya uchunguzi haraka.
Nenda kafuatilie jinsi fedha zilivyotoka kwenye hiyo hotel kisha kaulize malipo yalikuwa ya nini hapo ndio utajua ukweli, imeniuma sana kuona sisi tulioaminiwa kukusanya kodi za wananchi ndio tumegeuza wezi yaani kuna madudu mengi sana hapa Zrb, na inasemekana hata TRA nao walihongwa, jaman fanyeni ukaguzi wa haraka huyo manager ni mafya sana hafai anaonekana hapendi maendeleo ya wanzanibari ikiwekekana aondoshwe na sisi wafanyakazi tufukuzwe na kufunguliwa mashitaka, niko tayari kutoa ushirikiano kama uchunguzi utaanza na nitawataja wahusika hapa ofisini kwetu wote kama kufa acha nife kwa kuwatetea wazanzibar wenzangu.
Inauma sana kuona fedha nyingi kiasi hiki kinapotea alafu watu wanajigamba hapa ofisini wananunua magari ya kifahari wanajenga majengoo ya kifahari wakati mshahara wetu ni kiduchu. Wanasiasa fanyeni uchunguzi juu ya hili waziri njoo uombe kuangalia madeni ya hii hoteli utaoa jinsi vizi unavyofanywa hapa.