LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,234
- 883
Ngoja na wewe AD kiboko yako Argentina inakuja kuwatoa! C'mon Argentinaaaa!
mi najua wanacheza mchana kumbe huwa hizi gemu zina chezwa asubuhi na sasa hivi ni argentina au na wao walishamaliza..
LoyalTzCitizen+
Asante sana kwa kuwa support Argetina
kila lakheri world cup ijayo...
Final Score
Argentina 10 All Blacks 33