Rugby World Cup 2011.. LIVE

Samahani wapendwa skuweza kuwa nanyi
wakati wa mwisho wa hu msakata wa kumbe la
dunia... mnisamehe bure ila ngoja niwawekee tu
picha za mwisho mwisho ... yaaahh Ice on a cake lol.

Asanteni sana kwa wapendwa na wapenzi wote
wa Rugby .. pamoja na guest wote mlio visit hii page
.....Tukutane miaka minne ijayo ENGLAND......

:) take care for now AfroD.... :)
 


Kama wote tujuavyo RWC 2011 imechukuliwa na ALL BLACKS ..
baada ya kuponyoka mikono mwa France 8-7...
 


was hard, tough, rough, + awesome game to watch ...



France had a real good defense..
 


Captain Richie McCaw of the All Blacks lifts the Webb Ellis Cup.



Richie McCaw of the All Blacks performs a haka with his teammates as they celebrate.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom