Rufaa ya Lema kuanza kusikilizwa Disemba 4; Jaji Mkuu aamua kujitoa

Status
Not open for further replies.
tusiwe waoga kiasi hiki
jaji au hakimu kujitoa katika kesi ni kawaida
JM mtu wa kazi nyingi na pia huenda ameona hatakuwepo tarehe zilizopangwa
tuwe na imani na mahakama kwa hili sina shaka Lema atarudi kuwa mbunge
garama ya kumtoa ubunge in kubwa kuliko ya kumrudishia ubunge
sidhani kama mahakama watafanya siasa katika hili.lets wait and see
 
Natamani tulianzishe ambushi kama la wamachinga wa Mbeya kama Lema hatatendewa haki.
yaani zinapigwa siku 3 mfululizo mpaka mandata wakae chini.
Baada ya hapo wakubwa na wadogo yunaheshimiana.


Jaribu muone...tunajeshi lakutosha, lile tulilolimwaga bara barani wakati wa maandamano ya waislam ni wachache mno. Tutawaswaga swaga na lichama lenu tutalifutilia mbali.
 
Jaribu muone...tunajeshi lakutosha, lile tulilolimwaga bara barani wakati wa maandamano ya waislam ni wachache mno. Tutawaswaga swaga na lichama lenu tutalifutilia mbali.

Ukiwa na Jeshi, SMG, AK 47, Delaya, vifaru, Mizinga, B52 Nk. huwezi kushindana na nguvu ya Umma uliza Gaddafi, Hosin Mubaraka na raisi wa Tunisia wanajua habari jinsi Nguvu ya Umma inavyo fanya kazi.
 
Mhe. CJ watu wa Arusha tunaamini kwamba kujitoa kwako katika kesi ya huyu mtu si kwa bure bali umeshafanya yale upaswayo kuyafanya na umetoa maelekezo ya kutosha juu ya Sheria, Taratibu na Kanuni za kuhakikisha kuwa alichokifanya ama kuamua Jaji Ruta yalikuwa sahihi na hakuna nafasi ya Jobless
acha u.p..umbav.......u who is Jobless? kwani hao majaji hawafahamu hizo sheria? mpaka wakaelekezwe? walisoma nini mpaka wakawa majaji? eti wameelekezwa kumbe Lissu anaposema majaji ni vilaza kumbe ni kweli............
mpaka wapewe maelekezo na huyo CJ wako?
 
Lowassa hana nguvu hapa Arusha kama baadhi yenu mnavyofikiria.Pia kuna mtu amenielezee kuwa ni mtu nisiyesoma na ninayeishi kwa wazazi. La hasha mimi ni msomi na ninajitegemea. Nina maisha yangu binafsi.
 
Jaribu muone...tunajeshi lakutosha, lile tulilolimwaga bara barani wakati wa maandamano ya waislam ni wachache mno. Tutawaswaga swaga na lichama lenu tutalifutilia mbali.

Kwa akili yako wanajeshi ni magamba?
Kwa taarifa yako wanaichukia CCM MUNGU apendi.
 
Nimeanza kuingiwa na wasiwasi kwa kujitoa jaji mkuu kwenye kesi lema kwa sababu tahari ambazo zipo hapa arusha inasemekana jaji mkuu amekataa shinikizo la kugeuza,sababu kwa kesi ilivyokuwa lema alionewa kwa hiyo atashinda hiyo rufaa ameombwa afanye anacho weza ili lema ashindwe hiyo rufaa,wanadai arusha sasa iko shwari, lema akirudi amani itatoweka.
 
Ndugu me mwenyewe huo wasiwasi pia nilikuwa nao niliposikia habari ya jaji mkuu kujiengua kwenye kesi hiyo. Inawezekana kabisa kuna mchezo mchafu aidha umefanyika ama unatakafanyika juu ya kesi hiyo, kwa hiyo katika kulinda heshima yake akaona ni bora ajiengue. Jaji mkuu ni mtu mkubwa sn hawezi ingia kwny mambo ya ajabu kirahisi hivyo.
 
Tunataka kujua sababu ya yeye kujitoa katika kesi hii,kilichomfanya aingie kilikuwa ni nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom