Rufaa ya Lema kuanza kusikilizwa Disemba 4; Jaji Mkuu aamua kujitoa

Status
Not open for further replies.
Anaona ajitenge na mizengwe kwani kwa kesi hii itamchafu zaidi

ilikulinda heshima yake na taaluma yake ameamua kujiengua,ile kesi ina invisible power from behind,sasa kwa mtu anaejielewa na anaeelewa cha kufanya hawezi kukubali kuelekezwa nini cha kufanya at a given point in time.ni mawazo yangu and i stand to be corrected
 
Afrter rading this piece I had the guts to check with Justice Chande and this is what he said;

"..The true reasons that I won't attend to this case is that I will be in Lucknow, India attending the 13th Conference o World Chief Justices to be held from 5 - 12 December 2012.

This is an election case and the deadline for the Court of Appeal to deal with all pending appeals is April 2013. Three Election Appeals will be heard by CoA this December 3rd. The panel of Judges is the same that heard the preliminary objection in Arusha (Kimaro and Mssari) and I am being replaced by Luanda....."
 
Heshima kwako Tundu Lisu hakika serikali ya CCM itakua imeshakuelewa ulikua na maana gani na uteuzi wa majaji wakuu Tanzania! Tunasubiri hiyo tarehe 4 Decembar kama haki itatendeke.:noidea:
 
Sababu za kuhamishiwa kesi Dar ni kwa sababu Chande alikuwa na majukumu mengi hivyo kushindwa kuja Arusha. Tunaomba warudishe kesi isikilizwe Arusha kwa sababu Chande is no longer in the list.
 
Umeambiwa ni Jaji Natalia Kimaro,Salum Massati na Bernard Luanda. wote wana uzalendo mkubwa kwa nchi hii. na naamini watatenda haki.
 
I have been informed authoritatively that the CJ Chande can not join the panel as he will be in Lucknow, India to attend the 13th Conference of World Chief Justices to be held between 5th - 12th December 2012. It is further explained that this is an election case and the deadline for the Court of Appeal to deal with all pending appeals is April 2013. These election appeals will be heard by the CoA this December 3. The panel of judges is the same that heard the preliminary objection in Arusha (Kimaro and Massari), the CJ is being replaced by Judge Luanda.
 
Hivi kwa nini wasimalize hiyo kesi kama ni kurudia uchaguzi ikajulikana? Kuna sababu yeyote ya kuendelea kusogezasogeza hii kesi? Au ndo danadana mpaka 2015?
hakuna danadana hapo mkubwa mbona kitaeleweka?'sheria itafata mkondo wake mpaka kieleweke dec 4..na kama sheria ni msumeno ikate pande zote..2nachotaka ni haki itendeke.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom