Rufaa ni ngumu kushinda sababu mna kusudio lenu

Toka hapa nani kakuita na umbea wako,? lol! Mmefitini hadi mmefanikiwa

chezeya mutu ya mujini kitambo! Ciello hawezi kunitibulia usiku na hubbie wangu mwenyewe ye aje anichore na Mtambuzi halafu nimwache apate raha!adui wa adui wangu adui yangu!saaaaaawah?
 
Last edited by a moderator:
Nahisi we ni ndugu yake wakati ndio sasa na mwenzio kapona we unaanza!
 
Toka hapa nani kakuita na umbea wako,? lol! Mmefitini hadi mmefanikiwa

Manoah !
Ngoja kesho tukae kama kamati ya watu wazima tuangalie namna utakavyopoza machungu!
Nitamuomba 52 akutafutie ka'mususu kadogo ambako hakajafumuliwa marinda !
Marinda ukafumue fumufumu we mwenyewe , wasemaje ?
 
Nichagulie hapo wawili. Lasivyo na hamishia kikosi upande wa huko unapo pataka

Mkuu mi nimekuona kule love connection ukiapply love kwa Mpole sana, kwani naye kakutosa? amekuambia umuandikie email na sio pm au hukumuelewa. wewe kwa lara 1 ndo basi tena! hahahaaa...!!. mia
 
Last edited by a moderator:
  1. Baba v
  2. mtambuzi
  3. erickb52
  4. c6
  5. Jeneneke
  6. figganigga
  7. kaizer
  8. judgement
  9. ruttashobolwa
  10. badili tabia
Alazwe mahali peponi RPC, hakujua kama angeuaua kwa kifo ambacho kingetokana na mkasa wa kimapenzi...

hahaha! Nina usingizi, ntarudi kesho
 
Manoah !
Ngoja kesho tukae kama kamati ya watu wazima tuangalie namna utakavyopoza machungu!
Nitamuomba 52 akutafutie ka'mususu kadogo ambako hakajafumuliwa marinda !
Marinda ukafumue fumufumu we mwenyewe , wasemaje ?
Sawa, nasubiri
 
Back
Top Bottom