Taarifa ya kutengua ndoa kati ya manoah na ciello

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Kichwa cha habari hapo juu chahusika, nikiwa kama mwenyekiti wa TUME YA MAHUSIANO NA NDOA hapa chit-chat nachukua fursa hii kutengua na kutangaza kutotambuliwa kwa ndoa kati ya manoah na Ciello.

Kwanza kabisa ikumbukwe kuwa kuna utaratibu ambao uliwekwa hapa jamvini ili ufuatwe kwa wanaotaka kuingia katika mahusiano na hatimaye ndoa.

Utaratibu ni kwamba kabla members hawajaanza mahusiano ni lazima wapite kwenye kamati mbalimbali ambazo ziko chini ya tume ambayo mimi ndo mwenyekiti wake, kamati hizo ni:-
i. Kamati ya screening chini ya Mamndenyi na Erickb52 ili wafanyiwe screening kuhakikisha kuwa kila member yuko free. huu ndo utaratibu walioufuata charminglady na C6 , Ronn M na jeneneke na ndio maana ndoa zao zimetulia, hawa manoah na Ciello hawajafanya hilo hivyo inaweza kuleta ugomvi baadae, kwa mfano tumeshuhudia manoah akitiririka kwa lara 1 na mashairi ya malenga wapya lakini kabla hatujajua hatma yao kaangukia kwa Ciello na ndoa juu, tunajuaje kama kesho hatarudi tena kwa lara 1 na kuleta mtafaruku hapa!?
Ciello kuna kitu na Erickb52, na vilevile kuna tuhuma kuwa ulionekana na mzee Mtambuzi dirishani kwa snowhite usiku wa manane.
ii. Pia kamati ya maadili chini ya BADILI TABIA na gfsonwin haina kumbukumbu zozote kuwa mmeshawahi kufika kwa ajili ya screening.
iii.Ofisi ya wanasheria chini ya Ruttashobolwa na Judgement hawana faili lolote linalowahusu manoah na Ciello.
iv. Kamati ya maombi chini ya Kaizer na Pombekali hawana taarifa zenu.

Kutokana na mapungufu yaliyojitokeza hapo juu nimejiridhisha kuwa hii ndoa ni batili na haina baraka za tume na natoa wito kwa wana chit-chat kutoitambua na kuifuta katika kumbukumbu zenu UNTIL FURTHER NOTICE. Rufaa iko wazi. wenu
Baba V
MWENYEKITI WA TUME YA MAHUSIANO NA NDOA CHIT-CHAT. 2012
 
Last edited by a moderator:
Kichwa cha habari hapo juu chahusika, nikiwa kama mwenyekiti wa TUME YA MAHUSIANO NA NDOA hapa chit-chat nachukua fursa hii kutengua na kutangaza kutotambuliwa kwa ndoa kati ya manoah na Ciello. Kwanza kabisa ikumbukwe kuwa kuna utaratibu ambao uliwekwa hapa jamvini ili ufuatwe kwa wanaotaka kuingia katika mahusiano na hatimaye ndoa. Utaratibu ni kwamba kabla members hawajaanza mahusiano ni lazima wapite kwenye kamati mbalimbali ambazo ziko chini ya tume ambayo mimi ndo mwenyekiti wake, kamati hizo ni:- i. Kamati ya screening chini ya Mamndenyi na Erickb52 ili wafanyiwe screening kuhakikisha kuwa kila member yuko free. huu ndo utaratibu walioufuata charminglady na C6 , Ronn M na jeneneke na ndio maana ndoa zao zimetulia, hawa manoah na Ciello hawajafanya hilo hivyo inaweza kuleta ugomvi baadae, kwa mfano tumeshuhudia manoah akitiririka kwa lara 1 na mashairi ya malenga wapya lakini kabla hatujajua hatma yao kaangukia kwa Ciello na ndoa juu, tunajuaje kama kesho hatarudi tena kwa lara 1 na kuleta mtafaruku hapa!? Ciello kuna kitu na Erickb52, na vilevile kuna tuhuma kuwa ulionekana na mzee Mtambuzi dirishani kwa snowhite usiku wa manane. ii. Pia kamati ya maadili chini ya BADILI TABIA na gfsonwin haina kumbukumbu zozote kuwa mmeshawahi kufika kwa ajili ya screening. iii.Ofisi ya wanasheria chini ya Ruttashobolwa na Judgement hawana faili lolote linalowahusu manoah na Ciello. iv. Kamati ya maombi chini ya Kaizer na Pombekali hawana taarifa zenu.Kutokana na mapungufu yaliyojitokeza hapo juu nimejiridhisha kuwa hii ndoa ni batili na haina baraka za tume na natoa wito kwa wana chit-chat kutoitambua na kuifuta katika kumbukumbu zenu UNTIL FURTHER NOTICE. Rufaa iko wazi. wenu Baba VMWENYEKITI WA TUME YA MAHUSIANO NA NDOA CHIT-CHAT. 2012
duh haya bana wamepiga majungu mpaka kuvunjwa!
 
Last edited by a moderator:
hata mm nilishangaa sana manake hatuja mfunda Ciello. snowhite cacico, sweetlady na FP sote tumebak vinywa waazi lolest! hebu kwanza apitie ukaguzi wa Asprin kisha aje tumwandalie mkole tumfunde huyu.
hamwoni mwenzie Madame B anasubiria ndoa yake na Ruttashobolwa mwez ujao? na vikao ninakaa chini ya mwenyekiti @figganiga?

Unajua @gfsnwin , hawa vijana wanadhani ndoa mchezo mchezo tu, manoah jana anamtongoza lara 1 hajamaliza kumuona tu Ciello huyo kamrukia na ndoa hapohapo, hawa ndo wataanza kutukeshesha baadae kusuruhisha ma ugomvi
 
Last edited by a moderator:
Halafu na na wewe mzee unazeeka vibaya, kadri umri unavyoongezeka na skendo zinazdi, na huyo muuza ubuyu kaja na neno, itabidi akina King'asti wakapimwe D.N.A

Nakupa wiki hutomuona muuza ubuyu humu, nampiga Jini KIBWESHUNA aende kusikojulikana.................

Mie huwa sichezewi hovyo.................
 
Last edited by a moderator:
Nakupa wiki hutomuona muuza ubuyu humu, nampiga Jini KIBWESHUNA aende kusikojulikana.................

Mie huwa sichezewi hovyo.................

What goes round comes round!!!!, wewe ndo unayejitafutia yote hayo, mzee mzima usku wa manane unakatiza na vibinti kwenye madirisha ya watu unategemea mama Ngina akae kimya tu, wamekusaidia kidogo
 
Last edited by a moderator:
Baba V umewahi. huyu manoah akisikia ndoa yake ni batili anaweza akaja kuntibulia kwa lara 1.
mimi nimeshaanza kurusha ndoano kwa lara 1 baada ya kuona manoah anamlingishia chombo chake kipya Ciello na kusahau ule usemi wa usitukane mamba kabla hujavuka mto. Nampa onyo manoah kwamba ndoa yake ikiwa batili akae huko huko na Ciello wake, asije kusumbua ua langu lara 1.
Hiyo ni precaution. mia
 
Last edited by a moderator:
Baba V umewahi. huyu manoah akisikia ndoa yake ni batili anaweza akaja kuntibulia kwa lara 1.
mimi nimeshaanza kurusha ndoano kwa lara 1 baada ya kuona manoah anamlingishia chombo chake kipya Ciello na kusahau ule usemi wa usitukane mamba kabla hujavuka mto. Nampa onyo manoah kwamba ndoa yake ikiwa batili akae huko huko na Ciello wake, asije kusumbua ua langu lara 1.
Hiyo ni precaution. mia

Everything is fair in love and war!!!, mwenye kisu kikali na ale nyama.
 
Last edited by a moderator:
Unajua @gfsnwin , hawa vijana wanadhani ndoa mchezo mchezo tu, manoah jana anamtongoza lara 1 hajamaliza kumuona tu Ciello huyo kamrukia na ndoa hapohapo, hawa ndo wataanza kutukeshesha baadae kusuruhisha ma ugomvi

umeona eeh!?. njia mbili zilimshinda fisi. naomba mumshauri manoah asirudi tena kwa lara 1 wangu la sivyo anaweza akafa bila kuugua coz nipo tayari kwenda bagamoyo. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom