Ruangwa

gkipps

Member
Dec 29, 2011
31
3
jamani,zile nafasi za halmashauri ya wilaya ya ruangwa zilizotangazwa na utumishi walishaita watu kwenye usaili?
 
bado ,kumbuka kufuatilia website ya wizara ya utumishi,wakiita lazima waanike wazi mm pia niliomba kila siku nafuatilia bado hawajaita tuvute subira
 
Nafasi zilishatoka kitambo na watu walishaitwa kazini. Kati ya watu 5 watano walioiwa, ni mmoja tu ameripoti kwan watu wanakasumba kuwa kusini hakufai kuishi.

Back
Top Bottom