RTO Mstaafu anaswa na binti mdogo

Aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa Mkoa (RTO) kabla ya kustaafu, Mashaka Mdachi amejikuta akipatwa na fedheha ya mwaka baada ya kunaswa ‘live’ kitandani kwake akiwa na ‘kabinti kadogo’ ka darasa la tano huko Mororgoro.

Mtoto huyo alipoulizwa alisema alikuwa akipewa shilingi 2000 – 5000 kila anapoenda kukutana naye, na wakaweka mtego kumpata.

View attachment 928419View attachment 928420

Mbona kama hii ishu ilitokea kenya wewe mtu unakuja kutudanganya hapa.....

Ukitaka kujua wewe ni muongo wa kutupwa tuwekee link ya hii habari.....

Hizi picha ume-screenshot kule youtube ndio hii habari ipo na ilitokea Nairobi Kenya kitu kama hicho...

Liers are always liers,sijui kwanini mtu anadanganya just for the sake of it!
 
Leta uthibitisho wako

Hata huyo polis mwenye dread humjui ,

Unakurupuka

Hii habari imeripotiwa had na EATV
 
Mbona kama hii ishu ilitokea kenya wewe mtu unakuja kutudanganya hapa.....

Ukitaka kujua wewe ni muongo wa kutupwa tuwekee link ya hii habari.....

Hizi picha ume-screenshot kule youtube ndio hii habari ipo na ilitokea Nairobi Kenya kitu kama hicho...

Liers are always liers,sijui kwanini mtu anadanganya just for the sake of it!
Mkuu huyo mwanamke ni askari wa moro anaitwa mwajabu labda kama na huko kenya ni kituo chake cha kazi.
 
Back
Top Bottom