RPC Mtwara: Wananchi kaeni mkijua ya kwamba hizo vurugu mnazozipanga kesho sisi tumejipanga vilivyo

mkuu THE BIG SHOW yule RPC wa ccm anasemaje?
Gas kwanza vyama baadae


Kuna muda flani asubuhi zimeonekana gari za polisi maeneo ya bima zinaranda randa,lakin uhalisia ni kwamba hakuna mwananchi mwenye dhamira ya kufanya fujo,na polisi hawana uwezo wa kuwaforce watu wafungue maduka yao na kufanya shughuli ambazo wao wameamua kuacha kwa khiyari yao..
 
Hakuna huduma hadi mida hii,maduka yote yamefungwa,,

Pamoja na kuwapo na taarifa ya kwamba hotuba ya wizara ya nishati na madini itatolewa siku ya juma tatu,bado wananchi wanaendelea na msimamo wa kutofungua maduka na huduma zingine za kijamii ili kuwapa somo serikali,

tutarudi na picha hapa mda si mrefu,,
Sizinga atakuja na Snaps za kutosha tuh...



UPDATE:

MADUKA YA BIMA YOTE CLOSED:
ao15om.jpg


JUCTION YA BIMA HAINA WATU KABISA, HATA NMB IMEFUNGWA:
2wfkdhg.jpg


KWA MBALI UTALIONA GARI YA ASKARI IKIRANDARANDA...KOKOBICHI, KIMYA KABISA YANI
33v2lmr.jpg


MADUKA YOTE YAMEFUNGWA LEO...
9le6xf.jpg


KWA UJUMLA HALI BADO SIO SHWARI KABISA...
9le6xf.jpg
 
Hatari sana Sizinga,mji upo kimya utadhani kuna maombolezo....!

Kweli gesi kwanza korosho baadae..!!

:yell: :yell:
 
Last edited by a moderator:
gas itatoka tu iwe isiwe kwanza gas yenyewe inavunwa bahari mtajitesa bure badala yakufanya mambo yenu muongeze kipato mnabaki kupambana na seerikali wameshawaambia itaenda kinyerezi na hakuna wakuzuia zaidi mnatafuta kifo. chezea serikali ww utalala njaa.
 
lakini jamani mtwara leo hakuna huduma yoyote ya kijamii. hawa watu wanaumoja wa AJABU sana. baadh ya maaskari wametanda barabarani na kuomba wtu wendelee na shughuli bt hakuna kincho endelea. safari zote ni ''KIGUU NA NJIA''


Hatari sana,mshikamano wa hali hii haujawahi kutokea...
 
Siku hizi kabla sijasoma comments za mtu, naangalia kwanza JOINING DATE AND YEAR, hili contena la January - April 2013, hakuna kitu kabisa, sijui ndiyo ile project ya Mwigulu ya 7000/-?

Ndugu yangu John Edward NSWIMA hongera kwa kutotaka another opinion na utabakia na ukakasi wa mawazo kwa kuchagua usome comment ya nani, maana umejijengea mawazo kuwa unajua yote na unayofikiri wewe na kundi lako ni top. Wrong you are as less informed as are your fellows.
 
Back
Top Bottom