RPC Mtwara: Wananchi kaeni mkijua ya kwamba hizo vurugu mnazozipanga kesho sisi tumejipanga vilivyo

Kupitia safari redio mtwara,RPC huyo alisikika akitoa tahadhari kwa wananchi wenye hasira kali dhidi ya mustakabali wa suala la gesi na nia ya serikali kwa maeendeleo ya watu wa kusini,

Licha ya serikali kutumia gharama nyingi kuendesha kipindi cha BARAGUMU LA MSIMBATI kupitia kituo chake cha habari cha TBCCM ambacho katika kipindi hiki ni kama nyenzo ya kutoa elimu kwa wananchi wa tanzania hususani KUSINI wananchi hao wameonekana kutoelewa na kutokubaliana moja kwa moja na serikali....

Wananchi manispaa ya Mtwara Mikindani wameaswa kununua mahitaji yao ya umuhim na kuweka ndani kwa siku ya leo kwani kwa siku ya kesho huduma za kijamii zitasimama ama zisipatikane moja kwa moja,kuna uwezekano mkubwa wa maduka mbali mbali ya vyakula,masoko,usafiri wa umma kama dala dala,boda boda na bajaji zikasitisha huduma kutokana na TAMKO la wanaharakati na wakereketwa wa gesi na mustakabali wa mtwara na kusini ya kwamba huduma hizo kesho zisimame na watu wawe macho kufuatilia mjadala wa hotuba ya waziri wa nishati na madini BUNGENI na iwapo hawataona la maana kwenye hotuba hiyo basi wataamua lao la kufanya...

Wanamshangaa RPC kukimbilia SAFARI RADIO kutoa tamko hilo kwani wao hawajapanga kufanya vurugu za aina yoyote zaid ya kuonesha tuh passive resistance...

Wanasema kwa kuwa serikali ya CCM imeamua kutumia ubabe basi na wao wataonesha ya upande wao kwa MASLAHI YA VIZAZI VYAO VIJAVYO...

STAY TUNED HAPO KESHO...!!

Kwa kweli na kama tunajali kweli na pia km Serikali inakitakia mema chama chetu kilichopewa ridhaa kwenye uchaguzi (CCM), basi busara, akili na utashi wa hali ya juu ni lazima utumike. Wasi wasi tu ni pale Wassira alipokiri hivi karibuni (akihojiwa juu ya bomu la kanisani Arusha) kuwa wakati mwingine Serikali huchelewa kuchukua maamuzi muafaka kwa wakati. Govt must do something positive to arrest the maturing tension, if it all can!
 
Mmmmmmm? Sasa wanaipiku Arusha?

Nahisi,ili kuwepo kwa ahadi mbalimbali za kuwapa matumaini watu wa kusini zitaendekea kutolewa katika kila Wizara yenye miradi kusini ya nchi;

Mfano Wizara ya ujenzi wanasema kipande cha barabara kilichobaki kitakamilika Disemba mwaka huu,na
Wizara ya Nishati watatoa ahadi zao kama bajeti iliyopita,na

Kubwa zaidi Mtwara inaweza kutangazwa kuwa jiji wakati wa uchaguzi ujao,kwani hata Arusha ilitangazwa jiji,lakini baada ya uchaguzi ikasemekana kwamba vigezo havikukamilika ili wapewe hadhi ya jiji.!!!
 
kama nimemuelewa sawasawa THE BIG SHOW ni kuwa kesho ni Passive resistance ( kwa tafsiri yangu ni "mgomo") hakuna huduma za kijamii usafiri na kadhalika. Wewe hayo maandamano yanatoka wapi ?

MpigaKelele
Uko sahihi,hakuna atakaendamana wala kuleta vurugu,duka langu nina lipa kodi vizuri tuh,nimeamua kesho kutofungua wao wanakimbilia kwenye vyombo vya habari kutangaza wamejipanga,wamejipanga kitu gani??kunilazimisha nifungue au wamejipanga kitu gani??

I will tell you something,sisi ndio waasisi wa hii passive resistance kama utakuwa unakumbuka historia vema,

Mjerumani kuna kipindi alijenga reli huku enz hizo na kuanzisha kilimo cha karanga maeneo ya nachingwea na kanda zingine za kusini,pia alianzisha na kilimo cha pamba pia,lakini wananchi wa huku asilimia kubwa kilimo cha pamba walikuwa hawakitaki na kutumikishwa tuh kwa ujumla walikuwa hawapendi,mjerumani msimu ulivyofika alivyokuja kuwaambia watu waandae mashamba,watu hawakupinga,walilima vizur na kuandaa mashamba,ilipofikia kipindi cha kupanda mjerumani alipogawa mbegu za pamba wananchi walizichukua na kwenda kuzichemsha hadi zikatokota kisha kesho yake wakaenda kuzipanda tena kwa ustadi wa hali ya juu sana,wajerumani wakashangaa sana,yani hawa jamaa wanalima,wanapanda bila kushurutishwa bila bakora??

Kivumbi sasa kikaanza miez ilivyoanza kukatika miche haichomozi,hadi kikafikia kipindi cha kuanza kutengeneza maua ardhi kimyaaa,haitoi chochote,walichofanya wajerumani ni kujaribu kuchimba baadhi ya mbegu na kwenda kuzipima ili waone kama zina hitilafu ama la,walichokiona hawakuamin macho yao..!,kumbe wale washenz hizi mbegu walizichemsha kwa makusudi??

Msimu umeisha na wao wameshapata hasara..!

Hiyo ndiyo passive resistance mkuu,wamakonde wana msemo mmoja unasema ya kwamba TUKOSE WOTE..!

Usifanye mchezo na wamakonde mpiga kelele,tumevurugwa sana..!!
 
Last edited by a moderator:
Kupitia safari redio mtwara,RPC huyo alisikika akitoa tahadhari kwa wananchi wenye hasira kali dhidi ya mustakabali wa suala la gesi na nia ya serikali kwa maeendeleo ya watu wa kusini,

Licha ya serikali kutumia gharama nyingi kuendesha kipindi cha BARAGUMU LA MSIMBATI kupitia kituo chake cha habari cha TBCCM ambacho katika kipindi hiki ni kama nyenzo ya kutoa elimu kwa wananchi wa tanzania hususani KUSINI wananchi hao wameonekana kutoelewa na kutokubaliana moja kwa moja na serikali....

Wananchi manispaa ya Mtwara Mikindani wameaswa kununua mahitaji yao ya umuhim na kuweka ndani kwa siku ya leo kwani kwa siku ya kesho huduma za kijamii zitasimama ama zisipatikane moja kwa moja,kuna uwezekano mkubwa wa maduka mbali mbali ya vyakula,masoko,usafiri wa umma kama dala dala,boda boda na bajaji zikasitisha huduma kutokana na TAMKO la wanaharakati na wakereketwa wa gesi na mustakabali wa mtwara na kusini ya kwamba huduma hizo kesho zisimame na watu wawe macho kufuatilia mjadala wa hotuba ya waziri wa nishati na madini BUNGENI na iwapo hawataona la maana kwenye hotuba hiyo basi wataamua lao la kufanya...

Wanamshangaa RPC kukimbilia SAFARI RADIO kutoa tamko hilo kwani wao hawajapanga kufanya vurugu za aina yoyote zaid ya kuonesha tuh passive resistance...

Wanasema kwa kuwa serikali ya CCM imeamua kutumia ubabe basi na wao wataonesha ya upande wao kwa MASLAHI YA VIZAZI VYAO VIJAVYO...

STAY TUNED HAPO KESHO...!!

Kwa kweli na kama tunajali kweli na pia km Serikali inakitakia mema chama chetu kilichopewa ridhaa kwenye uchaguzi (CCM), basi busara, akili na utashi wa hali ya juu ni lazima utumike. Wasi wasi tu ni pale Wassira alipokiri hivi karibuni (akihojiwa juu ya bomu la kanisani Arusha) kuwa wakati mwingine Serikali huchelewa kuchukua maamuzi muafaka kwa wakati. Govt must do something positive to arrest the maturing tension, if it all can!
 
Khaa!! Safi RPC ndiyo kazi yako kutuliza fujo. Usiache siafu wakupande hadi sehemu mbaya. Wasigine huko chini kwenye mabuti. Hii nchi yetu sote. Rasilimali zitumike kwa sehemu zote. Kama bado hawaelewi hilo na hawataki kueleweshwa kwa kuwa wameleweshwa na wanasiasa wapenda madaraka kwa kutumia vurugu wasigine tuu jeshi lako lianze kuheshimiwa.
kwa hiyo heshima ni kuwaua raia wanaodai haki zao?
 
We are tired of that slogan we need action and not trailer everyday bana. BIG SHOW tell em to kick the RPC ass kufa uku unarusha ngumi kuluko unauliwa uku umepiga magoti tunataka li move tumechoka na trailer
 
Kupitia safari redio
mtwara,RPC huyo alisikika akitoa tahadhari kwa wananchi wenye hasira
kali dhidi ya mustakabali wa suala la gesi na nia ya serikali kwa
maeendeleo ya watu wa kusini,

Licha ya serikali kutumia gharama nyingi kuendesha kipindi cha BARAGUMU
LA MSIMBATI kupitia kituo chake cha habari cha TBCCM ambacho katika
kipindi hiki ni kama nyenzo ya kutoa elimu kwa wananchi wa tanzania
hususani KUSINI wananchi hao wameonekana kutoelewa na kutokubaliana moja
kwa moja na serikali....

Wananchi manispaa ya Mtwara Mikindani wameaswa kununua mahitaji yao ya
umuhim na kuweka ndani kwa siku ya leo kwani kwa siku ya kesho huduma za
kijamii zitasimama ama zisipatikane moja kwa moja,kuna uwezekano mkubwa
wa maduka mbali mbali ya vyakula,masoko,usafiri wa umma kama dala
dala,boda boda na bajaji zikasitisha huduma kutokana na TAMKO la
wanaharakati na wakereketwa wa gesi na mustakabali wa mtwara na kusini
ya kwamba huduma hizo kesho zisimame na watu wawe macho kufuatilia
mjadala wa hotuba ya waziri wa nishati na madini BUNGENI na iwapo
hawataona la maana kwenye hotuba hiyo basi wataamua lao la kufanya...

Wanamshangaa RPC kukimbilia SAFARI RADIO kutoa tamko hilo kwani wao
hawajapanga kufanya vurugu za aina yoyote zaid ya kuonesha tuh passive
resistance...

Wanasema kwa kuwa serikali ya CCM imeamua kutumia ubabe basi na wao
wataonesha ya upande wao kwa MASLAHI YA VIZAZI VYAO VIJAVYO...

STAY TUNED HAPO KESHO...!!

Acha ujinga wewe! tena kwa namna ulivyoandika kishabiki,inaelekea wewe ndio unayesambaza vipeperushi vya uchochezi! watu wakijeruhiwa au kuuana we unapata faida gani! Basi ukae mbele kabisa ktk maandamano hayo sio kwenye laptop eboo!
 
Vp mbona mapovu mengi saana??
Nani kakuambia wananchi wamehasishwa kufanya fujo??umesoma kwanza au umekurupuka??
Au una 10 percent za wazee wako unazozitetea??
Kukaa nyumbani na kufanya shughuli zao za kawaida nazo ni fujo?
Pole sana,lakini kazi mtaijua mwka huu,kila kona ya nchi hapashikiki...
 
Mtwara muwe makini serikali hii inawatumikia mafisadi msije kuta mashimo gesi ikawa imeisha changamkeni kabla hawajaanza kuchimba vinginevyo so
 
Siku zote ubabe hauwezi saidia kutatua mgogoro, njia sahihi ni kusikiliza kilio cha wana Mtwara na kukifanyia kazi na hapo gesi itaondoka kirahisi.

Kinyume cha hapo ni hujuma kila siku katika bomba lenyewe.

Hongera wana Mtwara.

Polisi wao hufikiri kwa kutumia nguvu tu,hata jambo la kutumia busara wao hutumia nguvu.Sijui watajigawa vipi.
 
Back
Top Bottom