Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
Wadau,jana TCU wamefungua system yao tayari kwa application ya round ya tatu.
Tukumbuke application ilifanyika kwa round ya kwanza,nafasi zikabaki,ikaja second round,na sasa ni ya tatu!
Kuna maswali kadhaa muhimu ya kujiuliza:
1: Kwanini application imefanyika kwa round 3?
Tukumbuke kila muombaji alipewa nafasi ya kuchagua hadi vyuo vitano!
Sasa ina maana,mtu aliye kosa chaguo la kwanza hadi la tano ana sifa kweli?
2:Nini kimesababisha second round application kutotosheleza mahitaji?
Katika second round,applicants walipewa orodha ya vyuo vilivyo kuwa na nafasi,na pia system ilionesha kama mwanafunz ana sifa stahiki kwa kozi aliyo omba.
Further,kwa kila programme,namba stahk ikifikiwa,programme ilipotea kwenye list.
Then,iliwezekana vp watu wakahtajika ku apply tena kwa third round?
3: NINI LENGO LA TCU NA MTAZAMO/MUONO WAO KWA MUSTAKABALI WA ELIMU TZ?
Really,tunataka kujaza tu nafas ktk vyuo,hata kama sifa stahk hazjafkiwa?
Elimu yetu inaelekea wapi?
Karibuni kwa mjadala.