Rostam ni mmiliki wa Dowans, Richmond - Selelii

Rais analalamika, wabunge wanalalamika na sisi wananchi tunalalamika mafisadi wanapeta kazi kweli kweli!!
 
Kwani Rostam ni mtanzania? Nauliza tu!
Tangu lini ukaona mwenye pesa akachukuliwa hatua Tanzania??, hili jambo sasa liwe katika mikono ya wananchi wenyewe maana hao viongozi wetu na justice system ni marehemu. THEY DON'T EXIST!!. I do not condone what happened in Tunisia (deaths), but i support the efforts made and i can see it calling here in TZ!!
 
Back
Top Bottom