Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,785
this information is from a reliable source and is true.
HE Rustam Aziz has no shelter of his own in Igunga. hana hata banda la kuku.
hii ndiyo Tz.
so what??
this information is from a reliable source and is true.
HE Rustam Aziz has no shelter of his own in Igunga. hana hata banda la kuku.
hii ndiyo Tz.
RA hana hata ndugu, kama unabisha ukiwa Igunga uliza kwa kina rostam wapi kama utapelekwa.
Acheni kuleta habari za uzushi na uwongo. Rostam alizaliwa, alikulia na alisomea Igunga. Toka mababu na mababu zake ni wazaliwa wa Igunga. Wamejijenga sana Igunga hadi Mwanza na kufanya biashara wameanza muda mrefu uliopita. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
this information is from a reliable source and is true.
HE Rustam Aziz has no shelter of his own in Igunga. hana hata banda la kuku.
hii ndiyo Tz.
Asavali umesema au yeye alitaka awe na nyumba pale Kyela mjini au Karumburu ndio ajue kweli Mwakye kajenga Kyelamwanaizaya we. Mwakyembe ananyumba kyela kjj cha lkolo. Usiseme usichokijua.
hahahahaha!
huko ndiyo kulia vipi mkuu?
Kama unakumbuka Rostam aliwahi kukiri kupitia kwenye vyombo vya habari kwamba utajiri wake una asili tangu enzi za miaka ya 1890. Baadhi yetu tukaibua hoja kwamba wakati wa miaka hiyo ni serikali gani iliyokuwa inatambuliwa na Watanganyika (Tanzania Bara)? Je hizo mali za miaka 1890 ambazo ni mwendelezo wa hadi za leo ni halali kwa Rostam? Na kuna Makala iliwahi kuchapishwa MwanaHalisi ikiwa na kichwa kisemacho 'Rostam ni Nani?' mwandishi akiwa ni Mbasha Asenga ikifafanua hili kwa kirefu.
so what??