Rostam hana nyumba Igunga!

Nyota Ndogo

Senior Member
Aug 7, 2011
150
33
this information is from a reliable source and is true.

HE Rustam Aziz has no shelter of his own in Igunga. hana hata banda la kuku.

hii ndiyo Tz.
 
Kwa mujibu wa sheria za uchaguzi si lazima mgombea awe mkazi wa jimbo husika.
 
this information is from a reliable source and is true.

HE Rustam Aziz has no shelter of his own in Igunga. hana hata banda la kuku.

hii ndiyo Tz.

ni Rostam, wadanganyika mara nyingi huwa ni rahisi kudanganyika kwa hiyo hilo halishangazi!
 
Igunga ni wadanganyika,
hawapendi kuitwa wajinga
lakini ni wepesi kuchekacheka,
pale wanapomwagiwa vichenga
wakaambiwa ndo haswaa mpunga.
 
RA hana hata ndugu, kama unabisha ukiwa Igunga uliza kwa kina rostam wapi kama utapelekwa.
hahahahaaa!!!
kwahiyo alijichagulia jimbo lake la uswekeni akaamua kuliweka chini ya himaya yake??!!
 
hahahahaaa!!!
kwahiyo alijichagulia jimbo lake la uswekeni akaamua kuliweka chini ya himaya yake??!!

Ndiyo, hata wakati wa kampeni yeye hutumia pesa tu, anatuma watu wanpiga debe, kama alikodi watu wa kumlilia mpaka kuzimia wakati akijivua gamba atashindwa nini memo?
 
Kwanini hakugombea ubunge Dar?

It could've made more sense!

Nini kilimfanya akachaguwa Igunga?

Any one with a hint?
 
nilishajaza mafuta igunga kituo cha dada yake rostam,ukoo wao umesambaaa igunga nzega mpaka mwanza,baba yake yupo tabora,angeweza kua mbunge nzega,tabora,mwanza
 
Swala ni uwajibikaji jimboni. Kujenga au kutokujenga hizo ni personal issues.
 
nilishajaza mafuta igunga kituo cha dada yake rostam,ukoo wao umesambaaa igunga nzega mpaka mwanza,baba yake yupo tabora,angeweza kua mbunge nzega,tabora,mwanza

Hujajishtukia kuwe wewe ni MWONGO!

Utasutwa!g!
 
Acheni kuleta habari za uzushi na uwongo. Rostam alizaliwa, alikulia na alisomea Igunga. Toka mababu na mababu zake ni wazaliwa wa Igunga. Wamejijenga sana Igunga hadi Mwanza na kufanya biashara wameanza muda mrefu uliopita. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Kwa mujibu wa sheria za uchaguzi si lazima mgombea awe mkazi wa jimbo husika.

Hata kama sheria haisemi hivyo ila kwa wananchi yafaa watumie akili wajue ataenda kuwawakilisha je kama matatizo atakuwa hayajui
 
Back
Top Bottom