muhosni
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 1,108
- 152
Wacha wamalizane.
aa wapi, mchezo wa kuigiza tu, wenyewe wanajuana kwa vilemba
Wacha wamalizane.
Asante Mkuu! Umenikumbusha mbali sana:
When The river Between flows, Things fall Apart, people are No Longer at Ease and only A man of the People (Dr Slaa?) can right it!! :A S thumbs_up:
Katika kile kinachoonekana kuwa sasa wanatangaza vita, gazeti la Mtanzania linalomilikiwa na Rostam Aziz na kusimamiwa na Hussein Bashe limemchimba JK kwa kuandika leo kwamba Kikwete naye fisadi wakinukuu List of Shame iliyotolewa na Chadema Mwembe Yanga, huku wakinukuu tuhuma zotte ambazo zilielekezwa kwa JK na huku wakijifanya kuwarushia mpira Nape na Chiligati kuwa walisema mafisadi wote CCM wajiuzulu akiwamo JK.
JK, Mukama, Chiligati na Nape walizungumza wakirejea vikao vya CCM na si LIST of Shame na kama walitambua hilo wangesema mapema si baada ya kufukuzwa.
Katika vikao vya CCM List of Shame ya Chadema haijajadiliwa bali walijadili Richmond, Dowans, Kagoda na Rada na waliwataja kwa majina Lowassa, Rostam na Chenge. Hii ni sawa na mwizi kukamatwa na kusema "tuliiba na mwenzangu mbona hakamatwi?" Maana yake anakiri kuwa ni mwizi.
Acha wafu wazikane wenyewe. Siye macho yetu tuu.
Hivi "Namhala" hivi kitabu bado wanakisoma hawa jamaa na shule zao za Kata?
Utawala wa Monomotapa (Mwanamtapa) umeanguka!! Yetu macho
..Origin ya neno 'Mafisadi' katika uongozi na siasa za Tanzania ni MWEMBEYANGA. Hakuna reference nyingine!poor CCM
chinua achebe: "things fall apart"
Chinua Achebe: "Things Fall Apart"