Rostam Aziz kufanywa kama Daudi Balali?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WanaJF

Wengi watakuwa wanajua kuwa RA na wenzake ni vinala wa ufisadi EPA, KAGODA, RICHMOND na DOWANS MEREMETA ETC. Lakini ninachokiona ni kuwa ccm imeandaa mbinu ya kupoteza ushahidi wa hawa mafisadi kwa kutaka ROSTAM afukuzwe nchini.

Jana alijitokeza Paul Mkonda Mjumbe jana wa UVCCM kuwa ROSTAM AZIZ afukuzwe nchini sio RAIA WA TANZANIA why now? Nahisi huu ni mpango wa ccm kumpoteza ROSTAM ikiwa ndo ushahidi mkuu wakati wakijua ufisadi wake Je MAHAKAMA ZA TAZANIA CCM HAWAZIONI? ROSTAM akifukuzwa nchini sijui atapotelea wapi ushahidi ndo utakuwa umepotea.Tuanjua Mkonda katumwa kuongea lakini kwanini wasichukue hatua dhidi ya hawa majangili?

Kwanini NAPE nauye anapiga kelele majukwaani na TBC1 wakati mahakama wanaziona

Kwanini ROSTAM, LOWASA na Chenge wasipelekwe mahakamani??

Tafakari chukua Hatua.....
 
Acha apotee au wambalali tu,ameharibu taswira ya nchi ndani na kimataifa,ameleta hali ngumu kwa wananchi,amesababisha tusijadili maendeleo tunamjadili yeye tu,so kwa watanzania tumemchoka,wamuwahi kabla ajakimbia na kufa kwa utata
 
KWANINI apotezwe Je mahakama ccm hawzioni?
 
kama wanaweza kupeleka ushahidi wakutosha kufanya mahakama kumnyang'anya uraia ,kwanini huo huo ushahidi husitumike kumfunga? Kazi ya kwanza ni kumnyang'anya passport na vitambulisho vyote (haviitaji, kwani tayari kila mtu anamjua), baada ya kuhakikisha HATOKI nchini, ndio wakusanye ushahidi wakesi yenyewe.
 
Kwa sasa hawawezi wakamfanya kitu hadi hapo atakapoanza kukishambulia chama kilichomjenga.

Ni mapema kujua hii sinema itaishaje, watazamaji mnatakiwa kujiandaa vizuri tu (pop corn kwa wingi, juice, soda n.k) maana hili picha lina masteringi kibao JK, RA, EL, NM, AC, JMa-rope, NKarmg, n.k! Simply just unfasten, relax and enjoy the show!
 
Akina Nape na UVCCM wanaelekea kukosa hekima ya kujua kwamba RA ndiye rais HALISI wa Tz; ndiye anaye-dictate terms zote za kuunda chama cha CCM, serikali, bunge, na mahakama; bila RA hakuna JK: sasa hizi kelele kwa mwenye akili atajua kuwa ni za kutaka kututoa kwenye focus ya kuona jinsi wanavyokwenda kutimiza yale waliyojikomit kutimiza kaulimbiu ya "Towards New CCM". Ni mtego kwa CCM kama akina Nape na UVCCM hawajui!!!!! Kwanza kauli zao hawa mbele ya waTz ni za kibaguzi wa rangi!!!!!!!!!!!!. Hebu tusubiri tuwaone-wameanza kwa mbwembwe zote na mikikimikiki!!!!!!!!!!! CDM Pipoooooooooooooooos Pawaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
sivyema kuondoka rostam aziz, yafanyike mambo mema tu kwa ajili ya tanzania, tatizo sio RA tatizo watanzania hawapendi kufikiria kitu kinachotufanya tuwe tunalalamika tu kama wagalatia. thanks
 
Baada ya mradi wa Vikombe vya Babu ku-backfire sasa CCM na serikali yake wamejiingiza kwenye mtego wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya CCM!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Keep tuned!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
WanaJF

Wengi watakuwa wanajua kuwa RA na wenzake ni vinala wa ufisadi EPA, KAGODA, RICHMOND na DOWANS MEREMETA ETC. Lakini ninachokiona ni kuwa ccm imeandaa mbinu ya kupoteza ushahidi wa hawa mafisadi kwa kutaka ROSTAM afukuzwe nchini.

Jana alijitokeza Paul Mkonda Mjumbe jana wa UVCCM kuwa ROSTAM AZIZ afukuzwe nchini sio RAIA WA TANZANIA why now? Nahisi huu ni mpango wa ccm kumpoteza ROSTAM ikiwa ndo ushahidi mkuu wakati wakijua ufisadi wake Je MAHAKAMA ZA TAZANIA CCM HAWAZIONI? ROSTAM akifukuzwa nchini sijui atapotelea wapi ushahidi ndo utakuwa umepotea.Tuanjua Mkonda katumwa kuongea lakini kwanini wasichukue hatua dhidi ya hawa majangili?

Kwanini NAPE nauye anapiga kelele majukwaani na TBC1 wakati mahakama wanaziona

Kwanini ROSTAM, LOWASA na Chenge wasipelekwe mahakamani??

Tafakari chukua Hatua.....

acha wagombee fito hao
 
Kwa sasa hawawezi wakamfanya kitu hadi hapo atakapoanza kukishambulia chama kilichomjenga.

Ni mapema kujua hii sinema itaishaje, watazamaji mnatakiwa kujiandaa vizuri tu (pop corn kwa wingi, juice, soda n.k) maana hili picha lina masteringi kibao JK, RA, EL, NM, AC, JMa-rope, NKarmg, n.k! Simply just unfasten, relax and enjoy the show!

Blue :A S-coffee::A S-coffee:

:focus:Hii sinema NApe Nauye anapiga makelele jukwaani sisi tunataka vitendi sio makelele watu wanafilisi nchi wakati yenyewe yapo yamekaa
 
Huyu nae debe tupu. Walidhani wamejivua magamba ya uzee na kukosa hekima kumbe ndio wameingiza vihiyo watupu. Bila shaka tumepata Makamba wengine 10 kwenye hiyo safu yao. RA ni mwizi na alikuwa anaiba kwa manufaa yao , leo wanamwambia ondoka badala ya kumshtaki. Wanajua tu jinsi maji yake yalivyo marefu. Hawaondoki na hawathubutu kuwafuta uanachama. Period .
 
Kwa sasa hawawezi wakamfanya kitu hadi hapo atakapoanza kukishambulia chama kilichomjenga.

Ni mapema kujua hii sinema itaishaje, watazamaji mnatakiwa kujiandaa vizuri tu (pop corn kwa wingi, juice, soda n.k) maana hili picha lina masteringi kibao JK, RA, EL, NM, AC, JMa-rope, NKarmg, n.k! Simply just unfasten, relax and enjoy the show!

hahaaa... kwa kweli hii ni bonge la muvi lkn mastarring kama NM na Nkarmg waaapi waliko...? mbona hawasikiki au ndo CCM wamesha waBalali...?..!
 
Akina Nape na UVCCM wanaelekea kukosa hekima ya kujua kwamba RA ndiye rais HALISI wa Tz; ndiye anaye-dictate terms zote za kuunda chama cha CCM, serikali, bunge, na mahakama; bila RA hakuna JK: sasa hizi kelele kwa mwenye akili atajua kuwa ni za kutaka kututoa kwenye focus ya kuona jinsi wanavyokwenda kutimiza yale waliyojikomit kutimiza kaulimbiu ya "Towards New CCM". Ni mtego kwa CCM kama akina Nape na UVCCM hawajui!!!!! Kwanza kauli zao hawa mbele ya waTz ni za kibaguzi wa rangi!!!!!!!!!!!!. Hebu tusubiri tuwaone-wameanza kwa mbwembwe zote na mikikimikiki!!!!!!!!!!! CDM Pipoooooooooooooooos Pawaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Au utuambie una hoja gani ueleweke. Unasema Rostam anadictate maamuzi ya serikali which is bad for the public halafu tena hutaki aguswe kwa kuwa kufanya hivyo kunakuwa ni ubaguzi wa rangi.
Tuambie msimamo wako na kwa hoja gani pengine mchango wako utakuwa na tija zaidi...
 
Kwanza Namshukuru Mola kwamba yale amabayo Dr wa ukweli Phd Slaa aliyasema kitambo na watu wakaja na kukanusha na kumwita yeye mwongo na hana ushaidi sasa yanatoka vinywani mwao, Huyu kijana wa Moshi sijiu Arusha yeye ametumwa kwenda mbele ya vyombo vya habari na wakubwa ambao wanaona haya kuyaongea maana walitumia nguvu nyingi sana kuyakanusha.

Sasa kwa kuwa wameamua kukubaliana na ukweli na kama wanaushahidi wa kuweza kwenda mbele ya vyombo vya habari na kumwita RA tena mbele ta wananchi kwamba yeye ni mwizi na amelihujumu taifa, ninaamini watakuwa na ushahidi wa kutosha, sasa naomba wafanye yafuatayo:
Peleka RA mahakamani na sio kumwambia aondoke nchini. tuanataka mali zetu!
Peleka mahakamani wale wote kwa njia moja au nyingine walihusika/walimsaidia na kashfa zote alizonazo RA
Peleka mahakamani wale wote waliomtetea tena kwa nguvu zote RA kuwa ni mtu safi na amekamilika kila idara
taifisha mali zote za RA zilizomo ndani na zilizopo nje ya nchi
Serikali iombe radhi kwa Wananchi, Chadema na Dr Slaa
Serikali ijiuzuru, tuunde serikali ya mpito itakayoshughulikia mambo yafuatayo; Kukamata na kuwapeleka mahakani mafisadi wote, kutunga katiba mpya,kuunda tume huru ya uchaguzi, kusafisha Mhakama, Jeshi la polisi,Takukuru,usalama wa taifa, na baada ya hapo kuitisha uchaguzi ndani ya miaka miwili.

Nimesema hayo hapo juu kwa sababu, viongozi wetu hatuwaamini kabisa, kama mtu alikuwa na ushahidi wa kutosha kuhusu nchi inavyohujumiwa na viongozi wakatumia mamlaka yao kuwasafisha mafisadi, sasa kwa nini tuendelee na kuwa chini ya utawala huu dhalimu usiofuata sheria, usitaka kuchunguza pale watu wanaposema jambo, au kama walikuwa wanajua kwa nini wakae kimya! Watu wanagapi wamepoteza maisha kwa ufisadi huu!, Hasara ngapi watu wamepata kwa ufisadi huu!, Elimu imeshuka kiasi gani kwa ufisadi huu!, Uchumi wa nchi umeporomoka kwa kiasi gani kwa ufisadi huu.

HAWA HAWAFAI KUWA MADARAKANI HADI 2015 MBALI MNO NDUGU ZANGU TUCHUKUE HATUA!
 
Acha apotee au wambalali tu,ameharibu taswira ya nchi ndani na kimataifa,ameleta hali ngumu kwa wananchi,amesababisha tusijadili maendeleo tunamjadili yeye tu,so kwa watanzania tumemchoka,wamuwahi kabla ajakimbia na kufa kwa utata

Tunamtaka hadharani,fisadi no 1.
 
Back
Top Bottom