Rostam Aziz aachia ngazi CCM

Wandugu,

Kuna habari nimezipata Hivi sasa kuwa Mh. Rostam Aziz ameachia ngazi CCM pamoja na Ubunge .... Mwenye Taarifa Zaidi atusaidie Jamani!

Kama uwezi kudadavua habari hacha mambo yaende yenyewe, wewe soma tu, vyanzo yakinifu vitaleta habari. Umesikia wewe nani akusaidie kufafanua? tafakari kabla ya kukurupuka kimagamba.
 
Mkuu, wewe ndio umeleta hii habari jamvini, halafu unaomba taarifa zaidi kutoka kwetu

Unapoleta habari kwanza ndio wewe unapaswa kutuhakikishia umeipata wapi?. Sasa kama huna source afadhali ungesema jamani nasikia Rostam Aziz amejuzulu? Then watu ndio wangetokeza kusema mfano "hata mimi nimesikia" n.k.
Nadhani umenielwa
 
Wandugu,

Kuna habari nimezipata Hivi sasa kuwa Mh. Rostam Aziz ameachia ngazi CCM pamoja na Ubunge .... Mwenye Taarifa Zaidi atusaidie Jamani!

Mkuu,

Inawezekana ngoja tusubiri tutapata taarifa rasmi punde si punde!!

Ila nimejaribu kuongea na jamaa yangu mmoja wa huko Nzega, na kanithibitishia ya kuwa Mh. RA alitua Nzega leo mnamo saa 4:30 asubuhi na baadaye alielekea Igunga. Lakini pia nimejulishwa ya kuwa ataondoka Nzega saa 8:15 Mchana kurudi Dar.

Safari hiyo nimeambiwa anaifanya kwa kutumia ndege namba 5H VIP. Ila kwavile taarifa hizo za kuachia ngazi bado ni tetesi, basi let us wait!!!!
 
The post is getting longer and longer....RA can step down from MP post even from CCM membership under an agreement with JK o be protected and not get accused at all....But Lowassa and Chenge will never do that..So may be only RA otherwise the wholly KUVUA GAMBA movie is a just a political slogan from poor minds... But to me this wont happen today as there's no pressure yet for RA to do so,and if he does then definitely it is an agreement..How can a request to resign from CCM be a pressure enough for RA to resign?
 
inakuwaje mtu anapata tetesi humuhumu jamvini na yeye anairudisha katika jukwaa lingine kama tetesi???????????????
 
Tetesi hii mbona imezidi humu jamvini?? sasa tunataka habari ya uhakika, mara yuko igunga-tabora, mara kaingia kwenye ofisi za habari corporation. Ofisi hizo ziko tabota au Dar es Salaam!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hii ndo habari yenyewe, nimeongea naye anasema hakuna kitu cha namna hiyo
Hii ni habari za kizushi, anasema huu mchezo wa habari za kusadikika zinachezwa na
wanaccm wanzake hili kumchafua hasahasa katibu muenezi,
amesema "hii itasababisha chama changu kuwa hatari wakiendelea na mchezo huu" mwsho wa kunukuu

Wakuu ndo hayo tu

I can never ever trust you!
 
Kupeng'e,..
habari yako bana,so mchezo wenu umeendaje?
siku 90 bado au ?
 
Back
Top Bottom