Rostam Aziz aachia ngazi CCM

labda anajifukuzisha mwenyewe chama kwenye chama...
Anaweza kufanya hivo ili kuilinda CCM kama Lowasa alivyojiuzuru Uwaziri Mkuu kuilinda serikali isianguke kabisa. RA hana atakachopoteza kwa kufanya hivo. Kwanza akiwa "benchi" anautazama mchezo wa 2015 kwa vizuri zaidi.
 
Huu mchezo wa kung'ata na kupuliza unazidi kuimarika! Na kama kweli Jk kakutana na RA basi ccm kazi ipo! Na kwa kiasi kikubwa wabunge wa CCM kupita nidhamu ya woga watakuwa wanatumiwa kama 'mbolea' ya kukuza huu mchezo. Ukitazama vikao vya bunge ccm wanaonekana kuwa wasemaji wa serikali na wapitisha hoja hata kama zina mapungufu. Shida, wanajuwa serikali wanayoitetea ni ya nani?
 
unapobadili matumizi ya kichwa kufikiria sasa haya ndiyo madhara yenyewe.
Tatizo lako kuwa, unauona ukweli lakini huukubali. 1) Tazama hii nyuzi na hao waliobandikwa kuwa wanaiangalia kwa sasa. Kibao. Jee, hiyo haikudhirishii kuwa jina la Rostam lina uzika?2) Kuhusu Slaa kuwa maternity leave kwani hujasikia kuwa nyumba ndogo yake ina ujauzito? Kinachokushangaza ni nini?
 
Jina la Rostam linauzika. Hivi Dr. Slaa siku hizi idle kama mimi house wife, naona habanduki JF, au yupoi maternity leave?
ccm wote ni vichwa maji, Tazama upumbavu wao, tazama ukichaa wao, tizama fikra zao, soma maneno yao. . . Nitajie Timamu !
 
Tatizo lako kuwa, unauona ukweli lakini huukubali. 1) Tazama hii nyuzi na hao waliobandikwa kuwa wanaiangalia kwa sasa. Kibao. Jee, hiyo haikudhirishii kuwa jina la Rostam lina uzika?2) Kuhusu Slaa kuwa maternity leave kwani hujasikia kuwa nyumba ndogo yake ina ujauzito? Kinachokushangaza ni nini?

Fuso aliimanisha kuwa unatumia viungo vingine kufikilia sio kichwa
 
Tatizo lako kuwa, unauona ukweli lakini huukubali. 1) Tazama hii nyuzi na hao waliobandikwa kuwa wanaiangalia kwa sasa. Kibao. Jee, hiyo haikudhirishii kuwa jina la Rostam lina uzika?2) Kuhusu Slaa kuwa maternity leave kwani hujasikia kuwa nyumba ndogo yake ina ujauzito? Kinachokushangaza ni nini?

Hata kukamatwa kwa Carlos 'the jackal' kulikua habari.......
 
Ubunge sio nyadhifa, ubunge ni uwakilishi na wanaomchagua ni wananchi. Tazama Shibuda alipotemwa CCM akaukwaa Ubunge kupitia cdm. Au umesahau, nikukumbushe na Slaa? Alipopigwa chini akaukwaa ubunge kupitia wapi? Kuweni makini kidooogo. Kwa kiwango alichofika Rostam anaweza kuwatumikia wananchi bila ya kuwa Mbunge. Hilo likumbuke.

@FaizaFoxy, on the red: Mtu anawezaje kuwapata 'wadhifa'? Unaweza kuwa mbunge au cheo chochote lakini usiwe na wadhifa? Nini defination yake ya wadhifa?!
 
Sifa ya kuwa mbunge moja ni kuwa mwanachama wa chama cha siasa. hivyo RA bado atakuwa mbunge halali. Huu si wadhifa wa chama. Siamini amini. Tusubiri tuone.
 
Wanajamvi:Habari za kuaminika ni kwamba Rostam Azizi asubuhi hii atatangaza kujivua gamba rasmi katika mkutano na waandishi haabari Tabora. Anajiuzulu nyadhifa zote nakubakia na kadi ya CCM tu.
Baada ya kuisoma hii thread,nimewasiliana na jamaa zangu watano ambao ni wana habari hapa tabora mjini kama kuna mwana magamba yoyote anaye vua gamba hapa tbr leo.majibu ya ni kwamba,hamna mtu yoyote aliyewaita kwenye press conferannce.hiz taarifa sio sahihi,though kuna tetesi za RA kuja tabora.
 
JF haina memba Tabora? Invizibo yupo wapi kuangalia source zake? tetesi inaenda masaa mawili duh.
 
Ni bora atoke asisubiri aibu pia ni vyema arudisha na kadi ya chama ,nawengine wafuate ili kulinda hadhi ya chama.
Wanajamvi:Habari za kuaminika ni kwamba Rostam Azizi asubuhi hii atatangaza kujivua gamba rasmi katika mkutano na waandishi haabari Tabora. Anajiuzulu nyadhifa zote nakubakia na kadi ya CCM tu.
 
ila nianchojua ni kwamba jk anakutana na Rostam leo jion huko serengeti Bilila lodge kempinski ambako jk ameenda kwa ajili ya mapumziko.....

Ni haki kabisa kwa mtu yoyote kupata mapumziko. Ila naomba kuuliza, haya mapumziko ya JK yanalipiwa na Ikulu au ni 'zawadi' toka kwa Serengeti Bilila, au yeye JK binafsi, au mtu mwingine yoyote? Kama Rais wa nchi ni vizuri kukawa na transparency na kujiridhirisha kuwa ofisi ya Urais haiko kwenye hatari ya kuwa persuaded katika maamuzi kutokana na vizawadi.
 
COUNTERPUNCH COUNTERPUNCHCOUNTERPUNCH COUNTERPUNCH COUNTERPUNCH COUNTERPUNCHCOUNTERPUNCH bado unatafuta tetesi????

TUPE SOURCE, NAONA UMEZAMA MITINI
 
Wanajamvi:

Habari za kuaminika ni kwamba Rostam Azizi asubuhi hii atatangaza kujivua gamba rasmi katika mkutano na waandishi haabari Tabora. Anajiuzulu nyadhifa zote nakubakia na kadi ya CCM tu.

not so fast. where is our f...g money??
 
Back
Top Bottom