Kusilizana ndani ya nyumba na kuheshimiana ndio hasa vikubwa unatakiwa ufanye. Pale unapofanya kosa kiri kweli umefanya na omba msamaha kama linafaa kuomba msamaha. Usiwe jeuri wa kupinga makosa yako.
Asante, hayo uliyosema nayatekeleza vizuri tuu. Ila mwenzangu amekuwa akinilalamikia sana simuamshi hisia zake inapofikia tendo na ha feel kama kuna upendo wangu kwake. Pengine kufafanua vizuri mimi huwa na choka sana na kazi maana huanza mchana na kumaliza 6 usiku kila siku J´tatu mpaka Ijumaa. So huwa inapita kama one week hivi bila kufanya. Sasa hili limekuwa likimkosesha raha sana mwenzangu. Yeye kwa sasa hivi anasoma chuo tuu.
So nimgependa kupata maoni ni jinsi gani nitakavyoweza kumridhisha mke wangu nampenda sana.
... mimi huwa na choka sana na kazi maana huanza mchana na kumaliza 6 usiku kila siku J´tatu mpaka Ijumaa. So huwa inapita kama one week hivi bila kufanya. Sasa hili limekuwa likimkosesha raha sana mwenzangu.
...kaka, usichoke basi japo kumpiga mabusu ukitoka/ukirudi nyumbani, ikiwezekana hadharani kama mpo pamoja, na wala usione tabu kumshika mkono mkeo hadharani, si umemlipia mahari bwana?...
COLOR]
Za leo wakuu, napenda kuuliza ni mambo gani yatakanayo kufanywa na mwanume ili kuwa romantic kwa mwenzake. Noambeni ushauri maana hili swala limekuwa tatizo sana kwenye uhusiano wangu na wife. Asanteni
mkuu,kila mtu anaromantica kivyake,mfano,mm huw sitaki makuu,ukifanikiwa kuniongelesha kwa upole kila wakati ,nakunirespect,like kuniambia ratiba zako kila siku ,pamoja na kuwa mweli ,basi mm hiyo tosha,so kwakukusaidia zaidi,peleleza anapenda nn huyo mke wako,so na wewe uma palepale.
L,nimecheka mpaka basi,yaani kunijulisha tu jamani,na hiyo ndicho nachopenda,wala sina makuu jamani.
Kukujulisha nitafanya kwa simu au hata sms nachoongelea ni ile kukuambia asubuhi kuwa leo jioni nitachelewa,mara nyingi plani hizi huanzia mchana rafiki ananipigia simu kuna kitu muhimu anataka tujadili au hatujaonana siku nyingi anataka tukutane kisimani(watering hole) ku-touch base.Nakuhakikishia huko nitakula kwa macho tu uko peke yako.
weekend moja moja unampa huduma ya malkia,unaamka asubuhi na kutayarisha kifungua kinywa,kama unajua kupika unampikia chakula cha mchana au usiku na kumkalisha kwenye kochi[miguu yake unamwekea mto kwenye stuli]na kumnawisha na kumletea kila kitu yeye asiamke pale.
Weekend moja moja unampa huduma ya malkia,unaamka asubuhi na kutayarisha kifungua kinywa,kama unajua kupika unampikia chakula cha mchana au usiku na kumkalisha kwenye kochi[miguu yake unamwekea mto kwenye stuli]na kumnawisha na kumletea kila kitu yeye asiamke pale.