Romantic

katika mawazo yako ni watu wangapi ndani ya TANZANIA hii wenye uwezo wakufanya hayo ?na kwanini tusijaribu mambo ambayo yamo katikamazingira yetu katika kufurahiya mambo kama hayo baada ya kufuata wazungu ambao wametuwacha miaka elfu ishirini nyuma tuangalie hali ya kipato cha waliowengi maisha tunayoishi tungeweza kuja na marifa kama vile kusema zikifika siku kama hizo muhimu msheherekee ndani ya famili kwa chakula kizuri kununuliana zawadi kadri ya uwezo wenu unavyokupeni lakini leo cha kusikitisha unakuta watu wengi hapa Tz wanataka kufanya yale ambayo wazungu wanafanya kuna asari zake mbele tuendapo leo unasikia Tz nao wanasheherekea halowini mapya hayo sasa
 
Kwa kifupi mdekeze ili umuonyeshe kwamba you care about her. Siku moja moja kama pochi linaruhusu (weekend) mwende kula nje wanawake wengi hupendelea dinner katika mahoteli mazuri lakini ambayo bei zake ni poa. Pia ukumbuke kununua Valentine card (February 14 siku ya wapendanao) na siku zake za kuzaliwa na pia siku za anniversary zenu na kama ikiwezekana mkaenda kusherehekea kwa kula nje. Ni vitu vidogo vidogo ambavyo havihitaji kuvunja bank ili uweze kumudu gharama zake.

katika mawazo yako ni watu wangapi ndani ya TANZANIA hii wenye uwezo wakufanya hayo ?na kwanini tusijaribu mambo ambayo yamo katikamazingira yetu katika kufurahiya mambo kama hayo baada ya kufuata wazungu ambao wametuwacha miaka elfu ishirini nyuma tuangalie hali ya kipato cha waliowengi maisha tunayoishi tungeweza kuja na marifa kama vile kusema zikifika siku kama hizo muhimu msheherekee ndani ya famili kwa chakula kizuri kununuliana zawadi kadri ya uwezo wenu unavyokupeni lakini leo cha kusikitisha unakuta watu wengi hapa Tz wanataka kufanya yale ambayo wazungu wanafanya kuna asari zake mbele tuendapo leo unasikia Tz nao wanasheherekea halowini mapya hayo sasa
 
Sitaki, naona hapa kuna kutwanga maji kwenye gunia!!! mi yangu macho na masikio ... we have a looooong way to go that's all I can say.

Usijali wala usitie shaka, hili ni darasa, Naamini tuliopita hapa JF tukabahatika kuipitia hii thread tumepata mawili matatu na yatatusaidia kubadili tabia
 
Za leo wakuu, napenda kuuliza ni mambo gani yatakanayo kufanywa na mwanume ili kuwa romantic kwa mwenzake. Noambeni ushauri maana hili swala limekuwa tatizo sana kwenye uhusiano wangu na wife. Asanteni
Soma hisia za mke wako ujue sasa hivi anahitaji ubabe ni ubabe kweli sasa hivi anahitaji uturivu uturivu kweli sasa hivi anahitaji umbea umbea kweli

Ndo maana mwanaume ukaambia uishi naye kwa akili
 
Uchumi uwe poa,uwe una nyumba,usafiri,na ujipende mwenyewe kimavazi yawe simple lakini yakukutambulisha kuwa umepevuka,kujiamini,mlevi kiasi,uwezo wa kupafomu yale mambo n.k;hapo watakufuata mpaka uchanganikiwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom