Super H
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 1,070
- 405
Wakuu heshima kwenu,
Kuna hospital ya moyo ilikuwa ijngwe pale Mashine tools njia panda ya Machame na ujenzi wake ulianza msingi tu ikawa ndio mwisho wake.
Na kwa nilivyomsikia mzee Mengi kwa kinywa chake miaka 2~3 iliyoita wakati walikiwekeana saini ya mkataba na madakitari wa india ni kuwa Mzee Mengi alikuwa ajenge jengo na wahindi walete madakitari na vifaa.
Kuna mdau anajua kilichotokea hata ujenzi kusimama?ila naamini mzee Mengi hawezi kukosa pesa ya ujenzi.
Kama kuna anayejua atiririke hapa maana niliziona furusa nyingi za pesa kwa wakaazi wa moshi na nchi kiujumla kwani hakuna mgonjwa angepelekwa tena nje ya nchi