Robert Francis Lowassa (Bob) Afikishwa Mahakamani na Wafanyakazi wa Radio 5 Arusha

Unko T

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
200
266
Mtoto wa waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa na mkurugenzi wa Tan Communication Media wamiliki wa Radio 5, ajulikanaye kwa jina la Bob Lowassa au Robert Francis amefikishwa mahakama ya Usuluhishi na Uamuzi wa ajira CMA baada ya kuwaachisha kazi wafanyakazi zaidi ya 20 kinyemela pasipo kuwalipa stahiki zao.

Chanzo cha habari hii ni mmoja wa wafanyakazi hao ambaye alisema kuwa Robert Lowassa alimtuma mwanasheria wake ajulikanaye kwa majina ya Andrew Maganga katika shauri hilo ambapo mwanasheria huyo alitamka kuwa Kampuni ya Tan Communication Media haidaiwi na mfanyakazi yoyote kitu ambacho sio ukweli kwa mujibu wa wafanyakazi hao.

Mmoja kati ya wafanyakazi hao aliachishwa kazi kwakuwa alipata maradhi ya misuli na kurudishwa nyumbani. Kampuni haijawahi kumlipia gharama za matibabu wala kumhudumia kwa chochote zaidi ya kumtelekeza. Kampuni hiyo haijawahi kujiunga na bima ya afya wala mfuko wa kijamii kwa wafanyakazi wake.

Bob Lowassa kwa upande wake hajali chochote kuhusu wafanyakazi hao kwani nguvu ya kupambana nao mahakamani anayo.

Maamuzi ya shauri hilo yatatolewa na CMA tarehe 1 August 2017.

Nitaleta updates ya kitakachojiri siku hiyo, kama Bob Lowassa atashinda au wafanyakazi watapata haki yao.

Chanzo cha habari ni wafanyakazi walioachishwa kazi na Rober (Bob) Lowassa.

NB: Kama baba yao anawajali sana watanzania kwanini anashindwa kuwasaidia wafanyakazi wanaonyanyaswa na mtoto wake?
Hii tafsiri yake ni kuwa hakuna anayejali yoyote isipokuwa maslahi yake binafsi
 
Mtoto wa waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa na mkurugenzi wa Tan Communication Media wamiliki wa Radio 5, ajulikanaye kwa jina la Bob Lowassa au Robert Francis amefikishwa mahakama ya Usuluhishi na Uamuzi wa ajira CME baada ya kuwaachisha kazi wafanyakazi zaidi ya 20 kinyemela pasipo kuwalipa stahiki zao.

Maamuzi ya shauri hilo yatatolewa na CME tarehe 1 August 2018.

Una uhakika kuwa siyo mwana ukoo tu maana huyo anaitwa Robert Francis Lowassa
 
Subiri

uamuzi wa CME hapo"1 August 2018" kama ulivyoeleza
 
Lowassa Yupi wewe Mbwiga? Ngoyai au? acha kuchafua watu wewe KIBUYU>.
 
Haina shida ni mambo ya kawaida ajira zote zina changamoto wata malizana wenyewe sisi haya mambo hayatuhusu wata juwana wenyewe huko huko labda ndivyo walivyo kubaliana !!
 
hembu uwe unaelezea vitu kwa ufafanuzi maana ninachojua ni CMA na kirefu chake ni Commission of mediation and Arbitration (Tume ya usuluhishi na uamuzi) sasa CME maana yake ni nini? halafu haya mambo ya kuwalipa au kutowalipa sidhani kama yanakuhusu sana, pambana na hali yako Mkuu, mimi nadhani kama wangekuwa wanadai wasingeenda kwenye Tume wakati kuna mahakama, wangefungua kesi,
 
Mtoto wa waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa na mkurugenzi wa Tan Communication Media wamiliki wa Radio 5, ajulikanaye kwa jina la Bob Lowassa au Robert Francis amefikishwa mahakama ya Usuluhishi na Uamuzi wa ajira CME baada ya kuwaachisha kazi wafanyakazi zaidi ya 20 kinyemela pasipo kuwalipa stahiki zao.

Chanzo cha habari hii ni mmoja wa wafanyakazi hao ambaye alisema kuwa Robert Lowassa alimtuma mwanasheria wake ajulikanaye kwa majina ya Andrew Maganga katika shauri hilo ambapo mwanasheria huyo alitamka kuwa Kampuni ya Tan Communication Media haidaiwi na mfanyakazi yoyote kitu ambacho sio ukweli kwa mujibu wa wafanyakazi hao.

Mmoja kati ya wafanyakazi hao aliachishwa kazi kwakuwa alipata maradhi ya misuli na kurudishwa nyumbani. Kampuni haijawahi kumlipia gharama za matibabu wala kumhudumia kwa chochote zaidi ya kumtelekeza. Kampuni hiyo haijawahi kujiunga na bima ya afya wala mfuko wa kijamii kwa wafanyakazi wake.

Bob Lowassa kwa upande wake hajali chochote kuhusu wafanyakazi hao kwani nguvu ya kupambana nao mahakamani anayo.

Maamuzi ya shauri hilo yatatolewa na CME tarehe 1 August 2018.

Nitaleta updates ya kitakachojiri siku hiyo, kama Bob Lowassa atashinda au wafanyakazi watapata haki yao.

Chanzo cha habari ni wafanyakazi walioachishwa kazi na Rober (Bob) Lowassa.

NB: Kama baba yao anawajali sana watanzania kwanini anashindwa kuwasaidia wafanyakazi wanaonyanyaswa na mtoto wake?
Hii tafsiri yake ni kuwa hakuna anayejali yoyote isipokuwa maslahi yake binafsi
Mkuu tume ya usuluhishi kifupi chake ni CMA na sio CME

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa jinsi ulivyoleta post yako naona unaingilia uhuru wa tume ya usuluhishi na unataka ubebwe kwenye maamuzi. Subiri hiyo Agost 1 tuone tume itaamuaje.
 
Hivi wlio tuhumiwa kuwa na vyeti feki na wengine wakiwa wako ktk harakati za kustaafu utumishi wao kwa mjibu wa sheria,wao wemesha/watapewa haki zao?

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Mtoto wa waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa na mkurugenzi wa Tan Communication Media wamiliki wa Radio 5, ajulikanaye kwa jina la Bob Lowassa au Robert Francis amefikishwa mahakama ya Usuluhishi na Uamuzi wa ajira CME baada ya kuwaachisha kazi wafanyakazi zaidi ya 20 kinyemela pasipo kuwalipa stahiki zao.

Chanzo cha habari hii ni mmoja wa wafanyakazi hao ambaye alisema kuwa Robert Lowassa alimtuma mwanasheria wake ajulikanaye kwa majina ya Andrew Maganga katika shauri hilo ambapo mwanasheria huyo alitamka kuwa Kampuni ya Tan Communication Media haidaiwi na mfanyakazi yoyote kitu ambacho sio ukweli kwa mujibu wa wafanyakazi hao.

Mmoja kati ya wafanyakazi hao aliachishwa kazi kwakuwa alipata maradhi ya misuli na kurudishwa nyumbani. Kampuni haijawahi kumlipia gharama za matibabu wala kumhudumia kwa chochote zaidi ya kumtelekeza. Kampuni hiyo haijawahi kujiunga na bima ya afya wala mfuko wa kijamii kwa wafanyakazi wake.

Bob Lowassa kwa upande wake hajali chochote kuhusu wafanyakazi hao kwani nguvu ya kupambana nao mahakamani anayo.

Maamuzi ya shauri hilo yatatolewa na CME tarehe 1 August 2018.

Nitaleta updates ya kitakachojiri siku hiyo, kama Bob Lowassa atashinda au wafanyakazi watapata haki yao.

Chanzo cha habari ni wafanyakazi walioachishwa kazi na Rober (Bob) Lowassa.

NB: Kama baba yao anawajali sana watanzania kwanini anashindwa kuwasaidia wafanyakazi wanaonyanyaswa na mtoto wake?
Hii tafsiri yake ni kuwa hakuna anayejali yoyote isipokuwa maslahi yake binafsi
Bob Lowassa kwa upande wake hajali chochote kuhusu wafanyakazi hao kwani nguvu ya kupambana nao mahakamani anayo.

Imekaa kishabiki
 
Baba fisadi, na mtoto fisadi.

Family ya wezi na chadema yote

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom