Unko T
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 200
- 266
Mtoto wa waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa na mkurugenzi wa Tan Communication Media wamiliki wa Radio 5, ajulikanaye kwa jina la Bob Lowassa au Robert Francis amefikishwa mahakama ya Usuluhishi na Uamuzi wa ajira CMA baada ya kuwaachisha kazi wafanyakazi zaidi ya 20 kinyemela pasipo kuwalipa stahiki zao.
Chanzo cha habari hii ni mmoja wa wafanyakazi hao ambaye alisema kuwa Robert Lowassa alimtuma mwanasheria wake ajulikanaye kwa majina ya Andrew Maganga katika shauri hilo ambapo mwanasheria huyo alitamka kuwa Kampuni ya Tan Communication Media haidaiwi na mfanyakazi yoyote kitu ambacho sio ukweli kwa mujibu wa wafanyakazi hao.
Mmoja kati ya wafanyakazi hao aliachishwa kazi kwakuwa alipata maradhi ya misuli na kurudishwa nyumbani. Kampuni haijawahi kumlipia gharama za matibabu wala kumhudumia kwa chochote zaidi ya kumtelekeza. Kampuni hiyo haijawahi kujiunga na bima ya afya wala mfuko wa kijamii kwa wafanyakazi wake.
Bob Lowassa kwa upande wake hajali chochote kuhusu wafanyakazi hao kwani nguvu ya kupambana nao mahakamani anayo.
Maamuzi ya shauri hilo yatatolewa na CMA tarehe 1 August 2017.
Nitaleta updates ya kitakachojiri siku hiyo, kama Bob Lowassa atashinda au wafanyakazi watapata haki yao.
Chanzo cha habari ni wafanyakazi walioachishwa kazi na Rober (Bob) Lowassa.
NB: Kama baba yao anawajali sana watanzania kwanini anashindwa kuwasaidia wafanyakazi wanaonyanyaswa na mtoto wake?
Hii tafsiri yake ni kuwa hakuna anayejali yoyote isipokuwa maslahi yake binafsi