Road map 2024: Muongozo kwa vijana wanaotaka kuoa mwaka huu

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,686
106,811
Salute,
Kwa vijana wote specifically wa kiume waliozaliwa mwaka 1990s ambao wanataka kuingia maisha ya ndoa. Basi wajitatahidi sana kuzingatia mambo haya wakati wanapochagua wenzi wao wa maisha.

✔️Mwanamke awe anaishi kwao na wazazi wake , sio anaishi geroo

✔️Hakikisha huo mwanamke aliyekwisha kuzaa na kama kashazaa wewe ndio uwe ulimzalisha. Usithubutu kuoa mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine. Hata Saint Joseph baada ya kusikia maria kapewa mimba na mwanaume mwingine aliamua kumuacha mchumba wake. USITHUBUTU KUOA SINGLE MOM...

✔️Hakikisha mkeo mtarajiwa amelelewa na wazazi wawili hasa uwepo wa baba yake maishani mwa mke wako ni muhimu sana kwa ajili ya afya ya ndoa yenu.

✔️Hakikisha unatafuta mke ajili ya kujenga na kutunza familia achana na hao wanaojiita Superwomen... Kama unataka kiharusi/stroke ya mapema oa mwanamke halafu nyote wawili muwe mnatoka kwenda kusaka pesa. Aloooh utaishia kujidunga maana stress ni mingi. Mwanaume inatakiwa wewe ndio utafute hela za kuendesha familia yako na kumtunza mkeo, na sio nyote mkatafue. Utakua unaenda kinyume na Uasili wa kiume pia kinyume na maagizo ya Mungu. Dini zote zinapinga hili. (Dini ya mashoga tu ndio inakubali.. Washirika wake wanaume utawaona wakipinga hili)

✔️Hakikisha unaoa mwanamke ukiyemzidi umri angalau miaka 10. Ni jambo la ajabu ww umezaliwa 96/95 afu unaoa mwanamke aliyezaliwa mwaka 97,98, au99. Wanaume wote waliozaliwa 95 mpaka 99 hakikisha huoi mwanamke wa 90s. Kuna wanawake wengi wazur na wanafaa kuolewa wamezaliwa 2000-2005. Achana na namba D au C chukueni namba E. 2000s

✔️Hakikisha huyo mke wako mtarajiwa sio mlokole...yaani sio wale wanaojifanya wapo deep in praying. Kila kitu wanakemea kila kitu wanajifanya kuhusisha uwepo wa roho mtakatifu. Wengi ni wanafki na washenzi. Wana tabia zote mbaya! Na kubwa zaidi asiwe anasali kwa manabii au anasali kwenye haya makanisa yapo kama vibanda umiza. Au yale yanayojiotea tu kama mchicha. Waokope sana wanawake wa namna hiyo... Wengi huko huenda kutega ili wajipatie maboya wa kuwaoa.

✔️Hakikisha mwanamke wako anakutii na kukuheshim.. Wanawake wa aina hii hutawakuta kenya na mikoa inayopakana na kenya. Mwanamke bora inatakiwa pindi inapotokea kutokuelewana kati yenu siraha yake kuu iwe "naomba nisamehe mme wangu" kisha baadae hali ikishakua shwali ndio anaeleza uliyomuudhi. Nb. Kumuomba msamaha mwanamke wako ni jambo jema ila mwanaume usizoee kufanya hivyo. Mkeo atakadharau na kukuona wewe submissive hence atatafuta mwanaume mwingine mbabe kukuzidi. Coz hatokua anafeel ule uanume wako wa ukali na ubabe

✔️Jiepushe na wanawake wenye element za ufeminist. Yaani ujuaji mwingi kila kitu kwake ligi anajua.

✔️Bikra ni muhimu ila isiwe kigezo cha.

Yangu ni hayo... Mwenye masikio na asikie.

Ndimi,
Da'Vinci
-Mwenyekiti wa vijana wa 90s. (self proclaimed)
Taifa.
FB_IMG_17066242456412899.jpg
 
Hizo sheria zako zote zinaweza vunjwa tu, natoa mifano;

Ke akiishi geto haimaanishi ana tabia zozote mbaya, wapo wabaya wanaoishi kwao

SIngle mother anaweza kutulia

Mtoto kulelewa na mzazi mmoja hakumharibu, inategemea huyo mzazi mmoja aliachana vipi na mwingine

Ngumu sana me kugharamikia familia peke yake hivi sasa

Bora ukachukue ushauri wa ndoa kwa wazazi na ndugu kwanza, jf watu hawaandiki uhalisia, wanaandika wanachoona ni sawa vichwani mwao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom