Rizmoko ahusika na sms za wabunge wa chadema

tunatandikana na nani sema bora vita itokee akina mnyika mbowe kikwete tundulisu makakamba yaani hawa wanasiasa wote wakale kuku ughaibuni sisi choka mbaya tuuwane au sio mwana.
 
cdm ccm wote ni siasa tu siwakubali hata kidogo sisi hatutaki siasa tunataka maendeleo katika nchi yetu na si siasa ya cadema na ccm wote na hayawani wanatufanya tuishi maisha mabovu ni bora hiyo vita itikee tukaishi ukimbizini labda tutapata hafueni.
 
Nakumbuka katika uchaguzi wa 2010 huyu kijana Miraji alishutumiwa kuhusika katika juhudi za kuchakachua kura kwa kutumia kompyuta. Vilevile kuna mkuu wa shirika la mawasiliano naye alihusishwa na kashfa ya kutuma sms nyingi za propaganda chafu. Hizi habari ambazo Marando ameziweka wazi si za kupuuziwa ukichukulia kwamba ccm imashutumiwa na kujulikana kutumia mbinu chafu ili iendelee kutawala katika himaya yake ya kuwafanyia maovu Watanzania.

viceversa could also be true.
 
Hana lolote huyo mhasibu wa ccm. Huyu jamaa alikua hana umaarufu ndio maana amekuja na stail ya kuzua mambo bungeni. Kwani ana hatari gani kwa cdm mpaka atishiwe kifo? Hio ni janja ya kufunika ishu ya EPA

mwaka hazina mkuu...

treasury na accountancy ni fani tofauti mkuu.
 
Siyo 5mt bali 5Km

Haaaaahahaha, swala la kukataa moja kwa moja sikubaliani nalo Mapaoz. Marando sio kwamba mi mtu ambaye kabobea sana kwenya mambo ya IT< so you might find kwamba alikuwa an refer an application lakini kutokanana kutokuwa na uelewa sana wa haya mambo akasema ni kifaa! Naamini kabisa kwamba yule jamaa ni mwanasheria na anajua wazi kabisa ni nini madhara ya kutoa kauli ambazo hazina ushahidi, ila aliona si vyema kupasua bomu live pale mjengoni maana pangekuwa hapatoshi! Mi binafsi naona ni busara tu za kawaida iliamua kutumia.
 
Inasadikika amenunua mtambo Israel unaoweza kuingiliana na simu ya mtu yoyote kwa mita 5, na ndo aliyehusika kumtumia Nchemba mesej za vitisho vya mauaji kupitia simu za wabunge wa chadema,
ndg mbona unazungumzia mambo kirahis rahis ivo!
 
Loh...nimeamini TBL ni noumer sana.yaani washikaji wamekata kilaji weee hadi zikawatuma waite press conference.

Mtambo wa kutuma fake SMS ....huh?...cooomon marando punguza ulabu mzee.THERE IS NO SUCH A THING.
Bora angesema application,software but mtambo?..no man.
Kwa kujua anasema uongo ndo maana akakataa kutaja jina kwa kuogopa Lawsuit.
Am not buying this mtambo story.

You cant buy it coz its too expensive,this aint walmart buddy...where the chinky stuff are flooded
 
Back
Top Bottom