Rizmoko ahusika na sms za wabunge wa chadema

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
Inasadikika amenunua mtambo Israel unaoweza kuingiliana na simu ya mtu yoyote kwa mita 5, na ndo aliyehusika kumtumia Nchemba mesej za vitisho vya mauaji kupitia simu za wabunge wa chadema,
 
Marando na wenzie Walikuwa wamelewa wale siku nzima wameshinda baa kurasini wanakunyw siku nzima ni mambo ya ulevini wanayaleta huku
 
Mungu yupo, vitu vyote vitafika mwisho. Wawo wanamajeshi na pesa, sisi tuna Mungu.
 
Please don't try to implicate the Uday, Qusay, Motassim & Saif Al Islam stuff. Too early.
 
Inasadikika amenunua mtambo Israel unaoweza kuingiliana na simu ya mtu yoyote kwa mita 5, na ndo aliyehusika kumtumia Nchemba mesej za vitisho vya mauaji kupitia simu za wabunge wa chadema,

nitakuja baadae kuona kama kunaushahidi unaoonesha kuwa siku ya tukio Riz alikuwa karibu(5m) kutoka wabunge tajwa wa cdm. Itasaidi kuanza para ya hitimisho.
 
Hana lolote huyo mhasibu wa ccm. Huyu jamaa alikua hana umaarufu ndio maana amekuja na stail ya kuzua mambo bungeni. Kwani ana hatari gani kwa cdm mpaka atishiwe kifo? Hio ni janja ya kufunika ishu ya EPA
 
Marando na wenzie Walikuwa wamelewa wale siku nzima wameshinda baa kurasini wanakunyw siku nzima ni mambo ya ulevini wanayaleta huku
Loh...nimeamini TBL ni noumer sana.yaani washikaji wamekata kilaji weee hadi zikawatuma waite press conference.

Mtambo wa kutuma fake SMS ....huh?...cooomon marando punguza ulabu mzee.THERE IS NO SUCH A THING.
Bora angesema application,software but mtambo?..no man.
Kwa kujua anasema uongo ndo maana akakataa kutaja jina kwa kuogopa Lawsuit.
Am not buying this mtambo story.
 
Wewe lazima ni ***** kweli kweli kwani APPLICATION SOFTWARE sio mtambo? Unajua kikwere tu lakini kiswahili hujui!!
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Wewe lazima ni ***** kweli kweli kwani APPLICATION SOFTWARE sio mtambo? Unajua kikwere tu lakini kiswahili hujui!!
you are a NUTJOB, unataka kusema nini hapa?

Haya tuambie huo mtambo umesimikwa wapi na umeingiaje hapa nchini
 
Back
Top Bottom