RIWAYA: Mtumwa wa Ngono

SEX(mtumwa wa ngono)…….(10)
MTUNZI….EMMANUEL F. KWAY
Contact….+255718 862176
AGE…..(18+)
ILIPOISHIA.
“Nakuomba kamata hizi pesa,naomba tuongozane
mimi nitakurudisha usijali upon a Ester”
Gloria bado alikuwa njia panda, Ester akamkanyaga
mguu kumpa ishara kuwa akubali kuzipokea pesa
hizo nyingi.
SONGA NAYO.
Gloria alikuwa katika wakati mgumu, ndani ya
moyo wake zilibishana nafsi mbili, moja ikitaka
ichukue pesa na nyingine ilikataa katakata na
kumwambia kuwa baadaye ingemuingiza kwenye
matatizo makubwa kwani zamani alivyokuwa
mkoani kwao Moshi alikuwa akisikia neno ‘mjini
hakuna cha bure’.Alimtizama kila mmoja na
alishtuka zaidi baada ya pedeshee kway kuingiza
tena mkono ndani ya koti lake na kutoa kibunda
kingine cha pesa,moyo wake ukapiga kwa nguvu,
alivyomtizama Ester alipewa ishara kuwa
azipokee,nafsi ya kukataa pesa izo ikawa
imezidiwa na nguvu za watu waliokuwa
wakimshawishi!
“Au lete nimshikie”
Ester akakinga mkono ili apewe pesa na Pedeshee
Kway.
“Hapana,nataka mwenyewe ashike,anaitwa nani
umesema?”
“Anaitwa GLORIA”
“Gloria,kamata pesa nakuomba twende ukanipe
kampani”
Ester aliona Gloria anachelewesha muda,
alichofanya ni kuzichukua pesa hizo na kuvuta
mkoba wa Gloria kisha kuziweka, akamvuta mkono
wote wakasimama mpaka nje huku wakiacha mziki
unapigwa na kelele nyingine,
ilikuwa imegonga saa saba ya usiku
tayari.Wakaongozana mpaka kwenye maegesho ya
magari na kulifikia gari aina ya Range Rover nyeusi
hapo Pedeshee Kway alitoa funguo zenye rimoti na
kubonyeza,likapiga kelele huku taa zikiwaka
kuashiria kuwa milango imejifungua tayari.
“Gloria pita mbele”
Pedeshee Kway akawa amemfungulia mlango,wote
wakaingia ndani ya gari na safari ya kwenda posta
kuanza mara moja katika ukumbi wa Bill canaz.
Moyo wa Gloria bado ulikuwa mzito na alihisi kitu
anachokifanya hakikuwa sahihi kabisa, muda
mwingi alimuwaza mume wake Nickson,na
alishindwa kuelewa endapo kama marafiki zake
wangekuwepo na kumuona ingekuaje,ilikuwa ni
lazima wangepeleka unoko kwa Nickson,hilo ndilo
lilimfanya aogope zaidi.
“Esta”
Gloria aliita huku akigeuka nyuma na kumuangalia
rafiki yake.
“Nambie shosti”
“Uliniambia tutawahi kurudi?”
“Ndio tutawahi,usijali upo na pedeshee hapo hilo
ondoa shaka,mwenyewe utafurahi”
“Sawa”
Pedeshee kway akawa ana kazi ya kukanyaga
mafuta na mara kadhaa akawa anatupa jicho la
wizi kwa Gloria na kumkagua jinsi alivyokuwa
mzuri,alikuwa ana uhakika alikuwa mbioni kwenda
kumvua nguo yake ya ndani,weupe wa msichana
huyo ndiyo ulimfanya apagawe zaidi na zaidi!
Nusu saa baadaye walikuwa katika maegesho ya
magari katika ukumbi wa Bill canaz wote
wakashuka,kila aliyemuona Pedeshee Kway
alimsalimia hiyo ilimshangaza sana Gloria.
“Pedeshee pedeeshee Kway Papaa Mujogolo,pita
huku”
Baunsa mmoja wa mlangoni alimpungia Pedeshee
Kway mkono nayeye akamfuata, nyuma yake
wakiwepo Gloria na Esta,wakafika na kulipia
kiingilio kisha kuingia,ukumbi ulikuwa una kelele
mno,wasichana kwa wavulana walikuwa wanacheza
katikati kwenye ‘dance floor’ nguo walizovaa
zilimfanya Gloria ashtuke,wasichana wengi walivaa
nusu uchi huku vitovu vyao vikiwa nje!
“Twendeni huku”Pendee Kway alisema.
Wote wakapanda kwa juu na kutafuta sehemu ya
V.I.P. kama kawaida pedeshee Kway alikuwa
akisalimiwa na kila mtu,muhudumu alikuja na
kuwasikiliza.
“Mimi nipe Red wine”
Pedeshee Kway aliagiza.
“Mimi Reds”
“Fanta”
Kitendo cha Gloria kuagiza soda kilimfanya Ester
akunje sura na kumtizama kwa macho makali.
“We mshamba nini?Fanta ya nini? dada mlete Reds
nayeye. asitake kuleta wazimu hapa”
“Ester”
“Embuu,Leo kunywa nawewe khaaa,kila siku
masoda tu,Reds hata ivyo sio mbaya kwa afya
yako moja tu kwa leo”
Ili kutomuabisha rafiki yake alikubali kishingo
upande kisha Reds ikaletwa mezani,kila mtu akawa
anakunywa kinywaji chake taratibu sana.
“Kunyweni kunyweni hapa nataka niteketeze milioni
moja taslimu”
Aliongea Pedeshee Kway kwa sifa kisha kusimama
na kuelekea msalani.
“Gloria mbona unataka kunitia aibu jamani,usinifan
yie ivyo”
“Ester mimi ni mke wa mtu kumbuka”
“Najua kwani mimi sijui,huyu jamaa anapesa kazi
kwako alafu kakupenda sasa”
“Ishia hapo hapo,kama umepanga kuja kuniuza
umeshindwa,tena ushindwe katika Jina la
Yesu,kama ndiyo njama zako izo,zimegonga
mwamba, kwanza naomba nirudi nyumbani”
“Jaaamaniii yamekuwa hayo tena?”
“Hapana Ester sio siri,mimi najuta sana kukubali
kuja nawewe”
“Usiseme ivyo”
“Sa….”
Gloria alinyamaza kimnya baada ya Pedeshee kway
kufika mezani na kuketi.
“Psiii psiiii weita,ongeza vileo”
Pedeshee Kway akaamuru baada ya kuona vinywaji
vimekaribia kuisha.
Vinywaji vikaongezwa, Ester akawa ana kazi ya
kumlazimisha Gloria anywe pombe na kila
ilipoongezwa alimdanganya kuwa ndiyo ya mwisho
kisha wanaondoka.
Kichwa cha Gloria kilianza kuwa kizito
mno,machoni aliona ukungu na kizunguzungu ni
dhahiri kuwa pombe ilikuwa tayari ipo
kichwani,licha ya kuhisi ivyo Ester alimchanganyia
tena na Red wyn kwenye glass ya pombe.
“Nipelekeeee nyumbaaaaaaani Esteeerr”
Gloria aliongea kilevi huku akirembua,ilikuwa
imetimu saa tisa tayari.Hapo ndipo walimvuta
Gloria na kumuingiza ndani ya gari aina ya Range
Rover la pedeshee Kway!
“Ester,kamata hii tafuta taxi tuwasiliane kesho”
Ester akapewa bahasha ya kaki iliyotuna ambayo
ndani ilijaa noti za elfu kumi.
“Mhhhhh”
“Vipi?”
“Kesho basi”
“Poa”
Gloria alikuwa hajielewi,amelala hajiwezi tena
pombe ikawa imemponza,hakuelewa
kinachoendelea kuanzia hapo.
*****
Range rover ya pedeshee kway ilipiga honi nje ya
geti jeusi kubwa kisha akatokeza mlinzi na bunduki
na kuchungulia, baada ya hapo geti likafunguliwa
na mlinzi na gari likawekwa sehemu
salama,Pedeshee Kway akashuka mpaka upande
wa pili na kumbeba Gloria ambaye alikuwa
anayakaza macho yake kutaka kuyafumbua.
Wakaingia ndani na kupandisha ngazi mpaka juu
gorofani,Gloria akatupwa puu! kitandani na
Pedeshee Kway akapanda juu yake mpaka
mdomoni mwa Gloria na kuanza kumla denda.
Reds alizokunywa Gloria zilikuwa zimempandisha
hisia, bila kutegemea nayeye alianza kuonesha
ushirikiano wakaanza kulana denda,habari za
Nickson hakuzikumbuka tena kwa wakati huo.
walizidi kugusanisha ndimi zao,pedeshee Kway
akaitoa nguo ya juu ya Gloria akabakiwa na sidiria
peke yake,baada ya muda mfupi sidiria ikatolewa,
Pedeshee kway akaanza kumnyonya Gloria Maziwa
taratibu na hapo ndipo Gloria akapoteza ‘network’
zote na mkono wa Pedeshee Kway ulipofanikiwa
kufika chini karibu na kitovu ndiyo kabisa alipoteza
uelekeo, kwa jinsi alivyoshikwa sehemu hizo mbili
hata iweje ilikuwa ni lazima atoe nguo zake
mwenyewe.
Ni kweli taratibu alianza kutoa sketi yake
mwenyewe bila kuambiwa na baadaye akatoa chupi
yake akamvuta pedeshee Kway karibu yake kabisa
huku akimvuta kwa nguvu karibu zaidi akiwa
anamng’ang’ania huku akimtoa mkanda wa
suruali,Pedeshee Kway hakua na papala hata
kidogo alichofanya ni kumsogeza kidogo pembeni
kisha kuichanua miguu yake huku na kule, akiwa
ameishika na kuingiza kichwa chake katikati ya
miguu akatoa ulimi na kuanza kudeki bahari,kwa
mara ya Kwanza Gloria kufanyiwa ivyo alihisi kufa
kufa,mwili wake ulipatwa na joto kali mno, alijiona
ameota mabawa na alihisi raha za ajabu,mambo
aliyokuwa anafanyiwa siku hiyo hakuwahi
kufanyiwa kamwe,
kitendo cha kuguswa maziwa juu ya chuchu zake
huku ulimi ukiwa ndani ya mgodi wake ndiyo
ulifanya ahisi yupo juu ya dunia viumbe vyote
anaviona kwa chini, damu ilimuenda
mbio,alikikamata kichwa cha pedeshee kway na
kukindamiza kabisa ndani ya ikulu yake huku
akitoa sauti za puani.
Ghafla alianza kukatika huku akiwa amefumbua
mdomo wake, alihisi vitu vinatoka ndani ya tumbo
lake kwa ndani na raha kuongezeka na kuanza
kutetemeka, hapo hapo aliibana miguu yake akawa
amefika mshindo.Pedeshee Kway taratibu
akapanda juu yake na kuanza kumnyonya mdomo
huku akishusha boxa yake ilivyotoka yote,taratibu
aliingiza mashine ya kuchimbia mgodi mahala
pake na kuanza uchimbaji,Mguu wa Gloria mmoja
ukawekwa begani na mechi kuanza mara moja.
Baada ya sekunde tano Miguu ya Gloria ikawa
imeshikwa kwa pamoja imeelekezewa kwa juu na
mechi ikaendelea,baada ya staili hiyo kuisha
mbuzi kagoma ndiyo ikafuata na wakamalizia na
staili ya kibaiskeli!
*****
“Hapa waaapi?”
Hilo ndilo swali la kwanza kuliuliza Gloria baada ya
kulifunua shuka jeupe na kujikuta yupo uchi wa
mnyama amechoka kichwa kinamuuma,pembeni
yake alikuwa amelala Pedeshee Kway wapo juu ya
kitanda kimoja kilichokuwa kikubwa.
“Kwangu”
Pedeshee Kway alijibu.
“Laki….”
Kabla ya Gloria kumalizia maneno aliyokua anataka
kuongea aliisikia mlio wa simu yake inaita ikitokea
ndani ya mkoba wake uliokuwa pembeni kidogo,
akachukua na alipotoa simu yake moyo wake
ukapiga paa!alivyoona juu ya ‘screen’ jina
HUSBAND kumaanisha kuwa anayepiga ni mumewe
Nickson asubuhi,alitetemeka kwa hofu.
Na harakaharaka kuipokea na kuiweka sikioni.
“Uko wapi?”
Hilo ndilo swali la kwanza kulitupa Nickson tena
kwa sauti ya kukasirika bila salamu.
“Mimi..Mimi…nipo.. mbona”
Gloria alipata kigugumizi cha ghafla.
“Ndio upo,upo wapi?”
“Nipo nyumbani”
“Gloria acha uwongo,haupo nyumbani”
BILA KUSAHAU KWAMBA HADITHI HII INAPATIKANA
YOTE WATSAP NA INBOX KWA MALIPO YA TSHS
3000/- KWA MWEZI.mawasiliano namba +255718
862176
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi
insta@storyzakway
ITAENDELEA.
 
SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)……(1)
MTUNZI….EMMANUEL F. KWAY
Contact…+255718 862176
AGE…..(18+)
******
Jasho lilizidi kumtoka Mzee Alex Mwandambo!hasira zilimpanda maradufu, mapigo yake ya moyo yalimwenda mbio,kifo cha kuteseka ndicho kitu alichokuwa anakifikiria kichwani mwake huku akiwa katika kasi ya ajabu akiendesha gari lake usiku wa saa saba kurejea nyumbani kwake,alishaelewa nini maana ya ugonjwa hatari wa virusi vya UKIMWI unavyotesa kabla ya kukutowesha duniani,aliona bora afe haraka kuliko kufa na kifo kibaya kama hicho,

alijilaumu sana kuisaliti ndoa yake,alimlaumu shetani siku zote.Watoto wake Jamal na Mackline aliwaonea huruma sababu bado walikuwa wadogo mno kukosa mapenzi ya baba yao.Alifika nyumbani kwake Afrikasana na kuweka gari getini kabla ya kuingiza gari ndani.Geti likafunguliwa na mlinzi.
“Noo! Hapana lazima nikumalize Hafuani,siwezi kukuacha uendelee kuishi duniani”Alisema.

Hapo ndipo Mzee Alex Mwandambo alipogeuza shingo yake nyuma na kuanza kurudisha gari kinyume nyume na kulitoa kwa kasi kama mtu aliyechanganyikiwa,alitetemeka kwa hasira,Msichana mdogo aliyemuambukiza ukimwi hakutaka kumuacha hai,alitaka kumuua,hiyo ndiyo aliamini kuwa ingekuwa adhabu ya binti huyo ambaye atakaye ukatisha uhai wake.
Kifupi Mzee Alex Mwandambo alikuwa mfu aliye hai na hivyo ndivyo alivyoamini tangu apewe majibu hayo wiki nne zilizopita.
Alivyofika Mwenge mataa alikunja kulia na kuchukua barabara inayokwenda Ubungo baada ya dakika kumi baadaye alifika maeneo ya chuo kikuu cha UDSM bado alikuwa katika mwendokasi uleule,alivyofika kituo cha polisi alikunja kona na mbele kidogo kulikua kuna msitu wenye giza na miti mingi,aliweka mguu kati na kupiga breki za ghafla na kufanya vumbi litokee na kuonekana japokuwa kulikuwa kuna giza totoro,kutokana na hasira alizokuwa nazo alishuka garini bila ya kufunga mlango huku gari likiwa bado linawaka, linamulika! taa za mbele hazijazimwa.
“Wewe Malaya bado haujafa tu?”
Hilo ndilo swali la kwanza kulitupa kwa msichana aliyekuwa amefungwa kwenye mti na kamba za katani amezungushiwa mwilini.

Licha ya kufungwa kwenye mti huo kwa siku mbili bila kupata matunzo lakini bado alikuwa mzuri,alikuwa mweupe wa kung’aa mwenye midomo milaini pamoja na macho makubwa ya kusinzia.Kwa harakaharaka ungemtizama ungedhani wenda ni ‘Africast’
“Al…ex niu..e basi”
“Utafia hapo hapo mtini,kwanini lakini hukuniambia kama wewe ni muathirika,kwanini?hukujua kuwa nina familia?nakuuliza wewe Malaya mbwa?”
“Nilishawahi kukwambia nakumbuka,lakini kwa tamaa zako ukaamua kunibaka”
“Kukubaka?kwanini hukukataa sasa?hata ivyo lazima nikuue leo,baada ya hapo namimi natoweka duniani,siwezi kufa kifo cha mateso”
“Sawa niue,na naomba nikwambie ukweli kabla hujaniua,nishawaambukiza ukimwi karibia ndugu zako wote,na kuna wengine tisini na moja,kuna karatasi za wanamme niliyowaambukiza ukimwi”
“Unasema nini?”
“Baba yako ndiyo alitaka haya yatokee”
“Malaya unasema nini Hafuan?Baba yangu ni mtumishi wa Mungu,mpaka nayeye umeamua kumuambukiza?”
“Ndio ivyo sasa wewe hujui kitu,fanya unavyo taka,na kitu kingine jina langu sio Hafuani naitwa Sonia Nickson Shayo”
Sonia aliongea kwa hasira na katika mazungumzo yake hakukua na tone la utani hata kidogo,
hiyo ilizidi kumkera zaidi Mzee Alex Mwandambo aliyekuwa mbele yake anamtizama kama chui aliyeona kitoweo amevimba kwa hasira,hapo hapo alishindwa kujizuia na kumtandika kofi.
“Rudia tena”
“Ndio ha…ta ukinitesa hauwezi kuubadili ukweli,nishakupa ukimwi tayari na muda mfupi utaenda kuungana na wenzako waliotangulia Alex”
Jasho lilizidi kumtoka Mzee Alex na kupandwa na mori za hasira maneno ya Sonia yalizidi kumchoma moyoni sababu aliona ndoto zake zote zimepeperuka,tamaa za mwili zilimponza na kujikuta amenasa kwa msichana mrembo aliyekuwa mbele yake.

Hakutaka kujiuliza mara mbili alirudi ndani ya gari na kutoka na bastola kisha kumsogelea Sonia.
“Hiki ndiko kinakutia Jeuri sio?”
Mzee Alex Mwanadambo alisema huku bastola yake akiwa ameikandamiza sehemu za siri za Sonia.
“Nakuuliza hiki kidude chako ndiyo kinakufanya uwe kiburi wewe Malaya?haya ndiyo malipo ya wema wangu na leo ndiyo mwisho wako”
Baada ya kuongea hayo Alex alichomoa magazine na kukagua risasi ndani ya chemba kama zinatosha,alikasirika zaidi baada ya kukuta kuna risasi moja peke yake.
Nia ya kuchukua bastola ilikuwa ni kumuua Sonia kisha yeye ajimalize pia.Kitendo cha kukuta risasi moja ndani ya bastola kilimchanganya akili yake,lakini alivyogeuza shingo yake nyuma aliona gari lake aina ya Prado linaunguruma bado.
Akawa amepata wazo jingine jipya,alirudi ndani ya gari na kulirudisha nyuma kwa kasi.
“Huwezi kupona leo”
Kitendo cha kurudisha gari nyuma kwa kasi kilimfanya Sonia aelewe nini maana ya kifo anachoenda kukabiliana nacho,aliogopa zaidi!
Hapo ndipo alipoanza kulia kwa uchungu, aliliona gari la Mzee Alex linarudi nyuma kwa kama umbali wa mita mia moja na mbili,na kuanza kusali sala yake ya mwisho, aliamini kuwa aliyokuwa akiyafanya hakupenda!licha ya yote alikuwa yupo tayari kwenda jehanam!
Mapigo ya moyo ya Mzee Alex yalimdunda sio masihala, bastola yake alikuwa ameikoki ipo pembeni ya gia na katika mahesabu yake alikuwa ni lazima amgonge Sonia na gari lake aliyekuwa mtini.

Kwa umbali aliokuwa yupo, aliamini kitendo anachoenda kukifanya kingemuondosha duniani.Aliweka gia namba moja na kuachia clachi kisha kulitoa gari kwa kasi, lilivyochanganya alishusha gia namba mbili likazidi kwenda kasi zaidi.
Gari lilikuwa katika mwendo wa ajabu likitimua mavumbi na alivyoukaribia mti alipofungwa Sonia aliyafumba macho yake,hazikupita hata sekunde mbili alisikia kishindo na kelele za sauti kisha ukimya kutawala.
Aliyafumbua macho yake taratibu na kuona damu juu ya kioo cha mbele huku kichwa cha Sonia kikiwa kimelala juu ya boneti la gari akiwa anavuja damu.Hakutaka kupoteza wakati, hapohapo alichukua bastola yake na kujiwekea kichwani huku akitetemeka mno,aliipenda sana familia yake hasa alipomkumbuka mke wake Latifah,alielewa ni jinsi gani ataenda kuteseka akiwa mjane,
lakini hakuwa na chaguo lingine,machozi yalimtoka na taratibu kidole chake kikiwa kinasogea kwenye kifyatulio kinachoitwa triga.
“Paaaaaaaaaaa”
Ubongo wa Mzee Alex ukawa umemwagika chini na damu kuruka kwenye vioo,fuvu lake la kichwa likawa limefumuliwa na risasi, huo ndiyo ukawa mwisho wa maisha yake duniani.
*****
Ilikuwa ni tarehe ishirini na moja mwezi wa kumi na mbili saa kumi na moja ya asubuhi siku ya Jumatano,Ubungo kulikuwa kuna hekaheka na tarehe hizo wachaga ndiyo husababisha vurugu wakigombania mabasi ya kwenda mikoani kwao kula siku kuu ya chrismass na mwaka mpya.

Kipindi cha mwezi wa kumi na mbili hata nauli zilikuwa ghali,Magari ya Dar express,Meridian,Msae yote yalikuwa yakijaza, hata pengine wachaga walikuwa wapo tayari kukalia makreti ili mradi tu waweze kufika mkoani Kilimanjaro, Moshi!
“Oyaaa Nickson,umepata siti?”
“Ndiyo George”
“Mimi nasepa,safari njema ndugu yangu,wasalimie bibi na babu waambie mimi kazi zimenibana nitakuja wiki ijayo”
“Poa poa aisee haina mbaya”
“Poa Meku safari njema Mzee,ukifika nivutie waya”
“Aminia aminia”Sauti ya kijana aliyekuwa nje chini ilisikika akiwa ana muaga mwenzake.

Basi la kampuni ya Meridian lilikuwa teyari limeanza kupiga honi kuashiria kuwa safari inatakiwa kuanza, na ilivyofika saa kumi na mbili juu ya alama mabasi yakawa yameruhusiwa kuanza safari,kila basi likaanza kuchomoka kwa kasi ubungo terminal.
Nickson alivuta pumzi na kutabasamu,alikuwa anatamani kufika mapema mkoani kwao Kilimanjaro.
Nickson alikuwa ni kijana wa miaka kati ya ishirini na tano mpaka na saba.Ni mwaka mmoja tu tangu apokee shahada yake ya sheria na alibahatika kuajiriwa na serikali katika mahakama ya kisutu, alikuwa ni kijana mzuri mweupe wa kichaga, aliyechanganyika na damu ya kirangi.
siku zote Nickson alitamani kuja kuoa mapema pindi tu atakapopata kazi, siku zote alitamani kupata familia bora na yenye misingi imara ya kidini.
Hata siku moja hakutaka kuja kuoa nje ya mkoa wake,alitamani kupata msichana wa kichaga na kitu kingine kilichokuwa kinampeleka Mkoani Kilimanjaro siyo kusalimia wazazi wake peke yake tu,bali kutafuta kigoli arudi naye mjini Dar es saalam,
hakutaka safari hiyo arudi peke yake,kama sio kurudi na msichana basi awe keshapata tayari.

Basi lilizidi kusonga mbele na lilivyofika kimara mwisho likawa limesimama kupakia abiria wengine.
“Kaka samahani hiyo siti namba ngapi?”
Sauti ya msichana mrefu ilimshtua Nickson aliyekuwa kwenye mawazo ya kupata kigoli.
“Ahaa hii siti?”
“Ndio”
Nickson akasimama kidogo na kuchungulia namba.
“E-6”
“Basi ndiyo hapa,samahani kaka?”
“Bila samahani”
“Ninaweza nikakaa dirishani?”
“Hakuna shaka”
Nickson akawa amempisha jirani yake kisha akapita dirishani.Kila mtu akawa kimnya na basi likaendelea na safari yake.Mpaka wanafika sehemu ya kula chakula cha Mchana inayoitwa ‘Liverpool’ hakuna hata mmoja aliyemuongelesha mwenzake.
Nusu saa baadaye safari ikaanza tena.
“Dada yangu tukifika Marangu niamshe”
“Ndiyo unaposhukia?”
“Hapana”
“Unashuka wapi kwani?”
“Mwika,Mwika, Kishingoni”
“Wewe mchaga wa Marangu mwika?”
“Ndio”
“Shimbonyi”
“Nashcha Mae”
“Mimi naitwa Rebeca”
“Nickson Shayo”
“Ukoo wakina shayo umesambaa kumbe,mimi Kimaro,ila mama yangu ni mchaga wa huko kwenu”
“Nafurahi kukufahamu aisee,nawewe unaenda kuhesabiwa sio?”
“Ha ha ha ha ha haaaaa”
Huo ndio ukawa mwazo wao wa kufahamiana.
Baadaye Nickson akawa amepitiwa na usingizi mzito na alipofika Marangu kama alivyotaka iwe, aliamshwa na jirani yake Rebeca.
Waliendeleza stori,hatimaye Nickson akawa anakaribia kufika safari yake,alianza kusimama na kuchukua mabegi yake yaliyokuwa juu sehemu maalumu.
“Konda Kishingoni hapo niache”
“Sogea sogea karibu kaka”
“poa”
Gari liliposimama Nickson akashuka na akapokelewa na wazazi wake ambao walikuwa wenye furaha kumuona mtoto wao.
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@storyzakway
ITAENDELEA
SLAVE SEX AU SEX SLAVE???????
 
SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)……(11)
MTUNZI…..EMMANUEL F.KWAY
Contact….+255718 862176
AGE….(18+)
****

“Samahani kaka sijui nakufananisha au niwewe?”
“Umenifananisha na nani?”
“Kuna jamaa mmoja anaitwa Nickson,tulisoma wote Azania”
“Azania?ndiye mimi”
“Ahh Mimi Richard,Richard Mpogole”
“Acha utani bwana”
“Kweli tena Nickson,ujue nimekaa kwenye kona kule nikawa nakucheki navuta picha nilikuona wapi”
Nickson alisimama kwa furaha na kumpa mkono kijana aliyejitambulisha kwa jina la Richard Mpogole,kwa furaha waliyokuwa nayo walijikuta wanakumbatiana na kupigana migongoni,ni dhahiri kuwa kwa kipindi kirefu hawakuonana na siku hiyo walikutana baa,
walicheka kwa sauti huku wakianza kukumbushiana mambo yao ya shule ya sekondari AZANIA.
“Richard,asiee siamini macho yangu, niwewe au naota ndoto mshakaji wangu?Hiiii! siku nyingi zimepita enzi za mwalimu Kitalu wa hesabu”
“Aisee usinikumbushe bwana,Yule ticha nuksi kweli yaani”
“Siku izi upo wapi lakini?”
“Nipo nasimamia magari makubwa ya mshua napeleka mizigo Zambia,Zimbabwe yaani hapa navyokwambia nimekuja Kigoma Mara moja, napakia mzigo kesho napita Dar napakua mwingine kibati Mpaka Malawi”
“Aisee kweli wewe Jembe”
“Alafu sijaona Nickson naona kidoleni hapo,umeoa siku izi?”
“Ndio ndugu yangu ndoa yangu inakaribia mwaka sasa”
“Unanitania,wewe uoe?”
“Niamini nakwambia, Mke wangu yupo Dar hapa nipo kikazi nimeajiliwa serikalini kama mwanasheria,alafu bora unaenda Dar,nikutume kwa shemeji yako ili umjue,ningempigia simu sema hapo nilipopangiwa kuishi hakuna umeme simu yangu imezima chaji,mpaka nikachaji huko mjini”
“Nitume tu,tena itakuwa vizuri sana nimfahamu usijali kwa hilo”
Nickson Shayo na Bwana Richard Mpogole waliendelea na maongezi yao huku bia zikiongezwa, wote walikuwa wanywaji, ilikuwa teyari imetimu saa tano ya usiku na wote wakaagana kila mtu akaelekea upande wake!
****

KAMA WALIVYOHAIDIANA na Bwana Richard kuwa ataondoka siku inayofuata,na ilipofika wote wakaongozana mpaka kwenye maduka ya vyakula vya jumla, Nickson akanunua magunia mawili ya mchele na kumkabidhi Richard ampitishie mke wake endapo akifika jijini Dar es salaam.

Ni kweli jioni ilipofika magunia ya mchele yalipakiwa kwenye Scania na safari ya Richard ikawa imeanza baada ya kuelekezwa nyumba anayoishi rafiki yake,Nickson.kutokana na Gari kusumbua njiani ilimchukua siku mbili, hatimaye akafika asubuhi ya saa kumi na mbili, hakutaka kuishia juu kwa juu alinyoosha mpaka nyumbani kwa Nickson ili amkabidhi Shemeji yake magunia ya mchele aliyopewa na Nickson wakiwa mkoani Kigoma.

Alifika na kuanza kugonga nyumba aliyoelekezwa lakini hakukua na dalili ya mtu yoyote yule kuwepo ndani,hakutaka kukata tamaa aligonga kwa masaa takribani mawili akizunguka na kurudi lakini hali ilikuwa hiyo hiyo, Richard alichukia kwa kupoteza muda mahali hapo na kuamua kumpigia simu Nickson amwambie kinachoendelea.
Nickson alionesha hali ya mshtuko sana.
“HAKUNA MTUUU?”
Nickson aliuliza.
“Nadhani, maana nimegonga zaidi ya lisaa limoja sasa. Mimi naondoka nimeona kuna duka hapa pembeni nitaacha huo mzigo hapo maana nishachelewa Nickson”
“Sawa hakuna tabu wewe uache hapo utakuwa umefika nyumbani,ahsante kwa kila kitu na samahani kwa usumbufu”
“Usijali Nickson”
“Safari njema”
Nickson alikerwa, hasira ilimkaba shingoni hakutaka kufikiria kuwa mke wake hayupo nyumbani, aliamini kuwa hakuna sehemu yoyote anayoijua na ndiyo maana hakutaka kumfikiria kitu chochote kibaya licha ya yote alikasirika sana na kumtafuta hewani,akimuuliza ni wapi alipo.
“Haupo nyumbani Gloria acha uwongo”
“Nipo nyumbani”
Gloria alizidi kukazia msimamo wake,ilibidi adanganye, maana alijua kusema ni wapi alipo kitendo hicho kingemuumiza moyo Nickson na hata siku moja hakutaka jambo hilo litokee,hata ivyo alijilaumu sana kutoka na Ester katika moyo wake,kifupi alijuta.
“Mbona kuna mtu alikuja kugonga hapo nyumbani haukufungua mlango?”
“Mtu?”
“Ndio”
“Bado yupo kwani?”
“Keshaondoka tayari”
“Sasa Nickson mume wangu,unataka kunilaumu bure, hapa mjini mimi simjui mtu isitoshe nipo mwenyewe ningewezaje kufungua mlango?”
Gloria alipata cha kujibu na kujitetea hapo kwa hapo na hakuelewa jibu hilo lilikujaje mdomoni kwa haraka, alijishtukia amepata jibu la ghafla.
“Samahani sana Gloria,hapo mimi nina makosa sikukupa taarifa,umefanya jambo la maana sana kutokufungua mlango,any way kuna mzigo hapo kwa mangi umeachwa ni magunia mawili ya mchele,uyachukue hapo”
“Sawa Mume wangu nitafanya ivyo”
“Nakupenda”
“Mimi pia”
Simu ilivyokatwa Gloria alikurupuka kitandani na shuka na kuzichukua nguo zake chini, haraka akapita bafuni kwenda kuvaa,alivyotokeza alikuwa amekunja sura.
“Nataka kwenda kwangu”
“Punguza jazba mtoto mzuri”
“Nipeleke bwana nyumbani”
“Mimi sipajui,nielekeze”
“Hata mimi sipajui pia”
Suluisho lililofanyika hapo ni Pedeshee Kway kumpigia simu Ester ili kumpa maelekezo ya wapi Gloria anaishi.

Penzi alilopewa na Gloria lilimpagawisha kiasi kwamba muda wote alikuwa akimuwaza kichwani mwake na aliapia atatumia gharama yoyote ile kumvuta karibu hata kama atatumia nusu ya utajiri wake.
Ni wazi alijua kuwa Gloria ni mke wa watu lakini hakutaka kujali hilo yeye aliona ni haki kutembea naye kimapenzi.Gloria alifikishwa nyumbani Saa saba ya mchana na kukabidhiwa kiasi cha shilingi laki sita kama shukrani.
“Hii Yanini?”
Gloria aliuliza kabla ya kushuka garini.
“Lunch”
“Ahsante”
Pesa ni sabuni ya roho, Pedeshee Kway kama alivyopania kumuweka karibu Gloria na ndivyo ilivyokuwa, alifanikiwa kwa asilimia Fulani,baada ya wiki moja alimtafuta na kupanga naye safari ya kwenda visiwani Zanzibar wakafurahie maisha.
Gloria akakubali, alishaelewa kuwa jambo hilo halikuwa sahihi katika ndoa yake, Pesa za Pedeshee Kway zilimdanganya na akajiona yeye ndiye yeye jijini Dar es salaam,kufumba na kufumbua alikuwa amebadilika kiasi cha kutosha,
Gloria alijua kuzitumbua pesa za pedeshee Kway,wakiwa Visiwani walikula bata watakavyo, walikunywa na kulewa na kufanya ngono kila sehemu watakayo,Mapenzi kwa Nickson yakawa yanaanza kupungua taratibu ndani ya moyo wake hakumuwaza tena na kwa wakati huo kichwani kwake alikuwa ametawala pedeshee Kway, alimuona ndiyo kila kitu katika maisha yake.
Hata wakati mwingine Nickson akimpigia simu alikuwa akimjibu atakavyo yeye.
“Mke wangu nimekumisi”
“Ahsante”
“Kwani wewe hujanimisi?”
“Kawaida tu”
“Unasemaa?”
“Kwani hujanisikia Nickson,nipo Bize kidogo nipigie baadaye”
Gloria alikata simu na Nickson alipojaribu kuipiga akaizima ili kutoa usumbufu hakutaka kumsikia binadamu anayeitwa Nickson tena masikioni mwake kwa wakati huo.
“Nani alikuwa anakupigia?”
Pedeshee Kway alimuuliza Gloria wakiwa ufukweni mwa bahari wanaponda mali.
“Si yule mbwa kasoro mkia”
“Ha ha ha ha,mwambie asikupotezee time”
Gloria ghafla alisahau alipotolewa na alisahau pia tumboni alikuwa ana mtoto, wakati mwingine aliwaza kumtoa amuuwe,sababu aliamini ndiyo angemfanya asiweze kutanua vizuri na pedeshee huyu aliyekuwa na pesa nyingi,tangu siku hiyo Nickson hakukumbukwa tena.
“Mpenzi wangu”
“Abee baby wangu”
“Ulishawahi kufika Uingereza?”
“Hapana”
“Nataka twende huko wiki ijayo”
“Kweli?”
“Niamini”
Moyo wa Gloria ukapiga paa! Kwa mshtuko, nchi hiyo alikuwa akiisoma tu kipindi yupo shule ya msingi kwenye ATLAS,mambo yaliyokuwa yanamtokea katika maisha yake yalikuwa kama ndoto, kamwe hakuwahi kudhani kama atakuja kutanua kiasi hicho,Gloria alifundishwa kunywa pombe na akawa anavaa vinguo ambavyo ungemuangalia usingethubutu kusema huyu ni mke watu au huyu ndiye aliyetoka kijijini Mwika akiwa anapasua kuni migombani.

Gloria alizidi kuwa mzuri siyo masihala, japokuwa alikuwa mchaga lakini nyuma alikuwa amefungasha,ana mzigo yaani wezere!
Pedeshee Kway alizidi kuitanua mikono yake kila alipopita na msichana huyu mzuri mke wa watu,aliwatambulisha kwa marafiki zake kila alipokwenda.Wiki moja baadaye wakawa wamerejea mkoani Dar es saalam kwa miadi ya kuwa ajiandae na baada ya siku mbili waruke waende uingereza wakale,kuku kwa mrija!
“Sasa mimi nakuacha hapa,ujiandae Malkia wangu”
“Sawa nakupenda Kway”
“Mimi zaidi yako”
Gloria alisogeza mdomo wake ukakutana na wa Pedeshee Kway waakaanza kulana denda huku wakiwa wameyafumba macho yao,
baada ya hapo waliagana na Pedeshee kway alitoa gari mbio akimuacha Gloria nyuma amesimama analiangalia,bado hakutaka kuyaamini mambo yanayomtokea katika maisha yake yalikuwa ni kweli.
***
Nickson alibakia akiwa ameshika tama machozi yanamtoka analia mfululizo, hakuelewa mke wake amekumbwa na shetani gani,alipojaribu kujiuliza alikosa jibu la harakaharaka na kuzidi kulia zaidi,ni kweli mke wake alibadilika kiasi cha kutosha,moyoni aliumia vibaya sana!
kengele ya kusalitiwa ndiyo ilikuwa inagonga kichwani kwake,
lakini upande mwingine wa sauti ulimwambia kuwa jambo hili Gloria hawezi kulifanya kamwe kwasababu alikuwa ni mwanamke mwenye msimamo kimaisha,siku hiyo haikuwa kawaida yake kushinda nyumbani.

Alipokea simu kutoka kwa rafiki yake akimtaka waende sehemu kunywa pombe naye akakubali kwasababu alitaka kuomba ushauri.Jioni walikutana na Bwana Lukundo na kuanza kupiga mvinyo,moja baridi moja moto!
“Ndugu yangu Lukundo mimi ndugu yako nina matatizo makubwa”
“Matatizo yapi hayo tena?”
“Mke wangu”
“Kafanya nini?”
“Simuelewi hata kidogo,amekuwa akinijibu kwa mkato siku hizi nashindwa kumuelewa,sio kama hapo zamani,sasa hivi amekuwa kiburi”
“Nawewe umechukua hatua gani?”
“Mimi sijui cha kufanya,ndio nakwambia wewe unishauri”
“Au kuna kitu umemkosea?”
“Hapana sijawahi hata siku moja,Mungu ndiye shahidi,lakini ngoja nikuulize swali?”
“Ndio niulize”
“Wewe mke wako alivyoshika mimba alikuwa akikujibu ovyo?”
“Mimba ya kwanza?”
“Ndio maana yake”
“Kwani mkeo ana mimba?”
“Ndio”
“Basi ndiyo maana,wanakuwa wasumbufu sana mimba ya kwanza inatesa,yaani mimi mke wangu alikuwa ananichukia vibaya sana,mara aniambie sijui nanuka kama beberu,nanuka kama kuku nikaoge,Daa! ikafika kipindi nikataka kumuacha,alikuwa hataki hata kuniona kwa mara ya kwanza nilidhani wenda ana kimwanaume nikaanza kufuatilia lakini nilivyokuja kuchunguza vizuri na kufanya utafiti nikagundua ndiyo matatizo ya wanawake wengi sana,itakuwa tatizo ndiyo hilo”
“Kweli eeeh?”
“Ndiyo ndugu yangu,lakini inakubidi ukakae karibu naye omba ruksa kazini mimi nitakusaidia,unajua mwanamke mwenye mimba anahitaji ukaribu sana,ulimuacha na nani nyumbani?”
“Peke yake”
“Haipendezi hata kidogo,Omba ruksa ukakae naye japo siku mbili,tatu,mtafutie msichana wa kazi,sasa akipata matatizo nani atamsaidia unadhani?”
Wazo la Lukundo likawa limejenga picha mpya kichwani kwa Nickson,hakuchelewa kesho yake aliandika barua ya ruksa ofisini na akakubaliwa akakae mkoani Dar es salaam kwa muda wa wiki moja kisha arejee Mkoani Kigoma aendelee na majukumu ya kazi,
alifurahi mno na hakutaka kumwambia Gloria juu ya yeye kurejea kwake mkoani hapo.
“Kweli nitaweza?hii mimba ndiyo inafanya anichukie kiasi hiki lakini nitajitahidi,ndiyo mambo ya ndoa haya,naomba unisamehe Gloria kwa kukuwazia mabaya”
Aliwaza Nickson akiwa ndani ya ndege na alipotua Mkoani Dar es salaam uwanja wa wa kimataifa, Mwalimu Nyerere, alitafuta Taxi mpaka nyumbani kwake Tabata segerea, ilikuwa tayari imefika saa kumi ya jioni.

Ila Ghafla alivyofika na kufungua mlango alikutana macho kwa macho na Gloria aliyekuwa ameshika begi kubwa mkononi akitaka kutoka nje huku akiwa na hati ya kusafiria mkononi mwake,alimkagua na kuona kimini alichovaa kilichoonyesha mapaja yake nje,ndicho kitu kilichomfanya Nickson apigwe na bumbuazi zaidi!
Gloria hakushtuka alivyomuona Nickson, japokuwa hawakuwahi kuonana kwa miezi mingi.
“Mke wangu wapi sasa hivi?”
Uzalendo ulimshinda Nickson ilibidi aulize swali huku akimuangalia mkewe kuanzia kwenye nywele mpaka chini miguuni.
“Nipishe nina safari,unanichelewesha bwana, toka mbele yangu NICKSON”
Gloria aliongea kwa ukali na kuyafanya mapigo ya moyo ya Nickson yazidi kwenda kwa kasi na jambo hilo kumshangaza sana Nickson na kudhani wenda anaota ndoto!

BILA KUSAHAU KWAMBA HADITHI HII INAPATIKANA YOTE WATSAP NA INBOX KWA MALIPO YA TSHS 3000/- KWA MWEZI, mawasiliano namba +255718 862176
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@storzyakway
ITAENDELEA.
 
Back
Top Bottom