clecla
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,155
- 1,415
Huo n uzembe uliotukuka Kwa professional killerKoplo sio muuaji professional kila ukiua unaacha link ya ganda LA pipi ili uje ukamatwe kirahisi.
Huo n uzembe uliotukuka Kwa professional killerKoplo sio muuaji professional kila ukiua unaacha link ya ganda LA pipi ili uje ukamatwe kirahisi.
Huyo koplo alishahesabiwa amekufa Kwa hiyo hana cha kuhofia !Koplo sio muuaji professional kila ukiua unaacha link ya ganda LA pipi ili uje ukamatwe kirahisi.
Aliyeagwa alikua ni ke kama Koplo mkuu, hivyo isinge sumbua labda DNA ndo ingeleta shida.Nimefurahishwa na kitendo cha maiti ya koplo Sega kuagwa na kuzikwa bila kuchunguzwa kama ni me/me.
Otherwise story imekaa njema including plot & style
Baadae utakuja kujua kumbe ni professional kuacha leadHuo n uzembe uliotukuka Kwa professional killer
Asante kwa kumwelewesha.Aliyeagwa alikua ni ke kama Koplo mkuu, hivyo isinge sumbua labda DNA ndo ingeleta shida.
Safi kabisa. Sasa pipi itamkonect vipi na marehemu?Huyo koplo alishahesabiwa amekufa Kwa hiyo hana cha kuhofia !
mwambie tena alipigwa kichwa kikapasuliwa na akamvisha mavazi yake ya jeshi la tz.. wengine sijui wanasomea puani!Aliyeagwa alikua ni ke kama Koplo mkuu, hivyo isinge sumbua labda DNA ndo ingeleta shida.
tupoWadau mpooo? Nataka kuiamsha hii story. Pliz i need to hear from you
Amsha mzee babaWadau mpooo? Nataka kuiamsha hii story. Pliz i need to hear from you
Lipua kabisaaaaaaWadau mpooo? Nataka kuiamsha hii story. Pliz i need to hear from you
Nafikiri ni swaga za muuaji. Imekaa vzrB
Safi kabisa. Sasa pipi itamkonect vipi na marehemu?
Asante mkuu kwa kunielewesha nilijua lovebird alikuwa wa kiume nikaamua kurudia kusoma ile sehemu ya kwanza koplo sega aliposema alivutiwa naeAliyeagwa alikua ni ke kama Koplo mkuu, hivyo isinge sumbua labda DNA ndo ingeleta shida.
Wadau mpooo? Nataka kuiamsha hii story. Pliz i need to hear from you
Wadau mpooo? Nataka kuiamsha hii story. Pliz i need to hear from you
Tupo mkuu tuwekeeWadau mpooo? Nataka kuiamsha hii story. Pliz i need to hear from you
Hilo si la kuuliza jamanWadau mpooo? Nataka kuiamsha hii story. Pliz i need to hear from you
Dondosha mzigo kkWadau mpooo? Nataka kuiamsha hii story. Pliz i need to hear from you