Rita Mlaki: Cha muhimu sio kutenga fedha za kutosha cha muhimu ni kuwa na mipango mizuri

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
huyu Mama Rita mlaki yuko kwenye ndoto za serikali ya awamu ya tatu, eti anasema sio issue bilioni ngapi zimetengwa kwa ajili ya reli na mambo kama hayo, cha muhimu ni mipango mizuri ambayo serikali ya awamu ya nne inayo, eti makosa yalifanyika huko nyuma lakini sasa wanajipanga vizuri na hilo ndio la muhimu, Jamani huyu mama vipi?
 
Back
Top Bottom