Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Hiyo inayofuatia ni ya KiswahiliTanzania bwana! sasa kwanini report ni ya kiingereza?
Hiyo inayofuatia ni ya KiswahiliTanzania bwana! sasa kwanini report ni ya kiingereza?
Mkuu hiyo ni prediction tu.Kama hiyo ripoti haijalaaani mauaji ya Mwangosi, itakuwa ni useless
Zipo ripoti mbili ambapo moja ni kiswahili na nyingine ya kiingereza.Tanzania bwana! sasa kwanini report ni ya kiingereza?
Umeisoma?Kuliko niisome bora nichukue Novel nisome au niende jukwaa la MMU nikakutane na wakina Smile
Sijaelewa bado. Sijaona conclusion na suggestions labda alieelewa anisaidie.
Ni ripoti nzuri ila kuna maeneo yalitakiwa kuboreshwa zaidi
Nimeisoma inaumiza!! hata kipindi cha ubaguzi Africa Kusini hali haikuwa hivi. Eti Kamuhanda anapiga honi halafu uhai wa wa mtu unatoweka!! Who is Kamuhanda for heavens' sake! is this beast dwelling arround us? Kweli TZ ni NCHI ya ajabu! Eti anaombwa atoe amri ya kuacha mauaji yasiendelee anajifungia kwenye gari ya kiyoyozi nilichomnunulia mimi na wewe kwa kodi zetu! Eti polisi ninaowalipa mshahara kwa kodi yangu wanapiga na kuua bila huruma!! DAMN IT DAMN IT!! Do we have a country here?! NI kweli wewe JK ni dhaifu!! huna mamlaka wala huna nchi!!Wakuu ripoti ya Mwangosi (MCT) imeshatolewa.
Fungua atachmenti hapo chini.
You don't know how to read and write!! how did you know it is cooked (Koocked)!Koocked report! This is what we expected! Pathetic!
Bado Ripo Mitaaani. Yaani rinatakiwa rupango saa hii afande.Naomba kujuzwa hili.. Yule RPC Kamuhanda bado yuko na wadhifa wake hapo Iringa..?