Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,431
Wakuu hongereni sana kwa Sherehe za Pasaka zinazoendelea , ambapo Wakristo kote Duniani wanasherehekea kufufuka kwa Bwana Yesu .
Baada ya Utangulizi huo Taarifa kabambe
inasambazwa kwa watu wote Duniani kwamba , Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitisha Mkutano wa Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Ufipa Street , kwa lengo moja tu la kuzungumzia ripoti ambayo imetolewa na CAG , ripoti ambayo imejaa upigaji wa kutisha .
Kama unataka kuwafahamu Wahusika wote waliojichotea mihela ya umma , na kama unataka kufahamu kwanini wanalindwa , na kama ungependa kumjua kiundani Biswalo Mganga na Washirika wake wakiwemo Mawakili wazito wa serikali walioshiriki kufilisi nchi basi hutakiwi kukosa kwenye Mkutano huu , Chadema haitamung'unya maneno , hata kama miongoni mwa wahusika wamo waliopandishwa vyeo , hilo halitazuia kuwataja hadharani .
Waandishi wa Habari mnaombwa kuja na Makaratasi mengi sana maana mnyororo ni mrefu .
Wote Mnakaribishwa .
UPDATES
=========
View attachment 2583411