kwenye hoja nzito kama hizi huwezi kuwaona bongo lala wachumia tumbo wa nape, Ritz na rejao woote wamekimbilia jukwaa la mapenz
Hii document nimeisoma yoote, mpaka nimetapika ngoja nii-save wasije wakaitoa hapa, kwa madai kwamba masuala ya kimahakama hayatakiwi kuwa mitandaoni
Weremaaa upooo???chukua hiyo na bi kiroboto wako...wataanza ooh kukutwa na siri za serikali ni kosa,tutamshitaki Tundu lisu...du jamaa amewaacha midomo wazi watoka povu wote!tunamsubiri bingwa wa kuropoka aje atoe povu!Nape wapi wewe?twakusubiri
Kaka ni wish yangu tu. Na ninaamini CHADEMA yote tuko makini so passion yangu kwa Lissu haizuii mwingine kuwa Rais.Hata hao akina Tundu wenyewe wanajua kuwa muda wa kujadili mambo ya urais bado.Wapo strong people ndani ya CDM kuliko hata Tundu Lissu,haimaanishi Lissu ndo zaidi ya wote wakati kaka yako mzaramo anasema haitaji kura za wafanyakazi.
Alikuwa anajua hakuna mgombea anaeweza kumtingisha hata kidogo,hakuna aliyejua Dr. Slaa angeweza kuwa chaguo la wengi so mpaka kufikia June 201,tarajia yanaweza kutokea mabadiliko kalagabaho.
Hebu fikirieni. Kama dhaifu ameweza kufanya hivi kwa mahakama, je katika usalama wa taifa, jeshi la polisi amefanya mangapi kudhoofisha utawala wa kisheria?
Walidhani kakurupuka sasa amewaumbua bila chenga.