Ripoti Maalum: Utetezi wa Tundu Lissu (MB) mbele ya kamati ya Haki na Maadili ya bunge

Nimekosa kabisa hamu na nchi yangu Tanzania.I'm Speechless and Mouth open.

I wish hata nusu Watanzania wangejua haya madudu ya Serikali ya CCM.

But hang on, it is my wishful thinking, most of the Tanzanians wanaogelea kwenye lindi la ujinga na maskini.
Kujua ukweli huu kwao ni sawa na kumuona Yesu mawinguni.

Sasa ngoja tumsubiri Werema na Kichwa chake cha kufungia nywele. Lakini ipo siku Mungu atatupatia haki yetu mliyotunyang'anya CCM, Watanzania tuzidi kuomba.

Inawezekana hata uteuzi wa Werema haukufuata taratibu ndio maana anajikomba sana mpaka inabore
 
BitaboNdio maana JK na AG Wamefanya mahakama kuu genge la waporaji haki za watumishi wa serikali dhaifu wanajua kuna watu wasio na hadhi ya ujaji ni mwendo kulindana tu.Naamini majaji wa ukweli Tanzania hawazidi 10 wachache ni hawa Luanda,Dr.Bwana,Dr.Ruangisa,Kalegeya, Kipenka .
 
Last edited by a moderator:

Nimemkubali jamaa,ningekuwa na uwezo japo nusu tu kama jamaa iliniitete nchi yangu but kwa mwendo huu nadhani baada ya muda nitaupa uwezo.mungu ibariki tz mungu ibariki cdm uwazi daima ndiyo ngao kuu ya ushindi.amen
 
Nimeisoma hii mpaka macho yameuma....Ntaendelea kusoma pole pole ili nielewe zaidi maana kama mambo ndio hivi kuna uwezekano mkubwa wa watu wengi ambao hukumu zao zimepita kwa watu hawa waka appeal na kushinda kesi zao kiulaiiini
 
Nafikiri Tanganyika Law Society wanapaswa kutupa majibu kwani wao wanafanya nini kusimamia taaluma ya sheria kwa sababu hii inadhalilisha tasnia ya sheria Tanzania wenzao zanzibar chama cha wanasheria walisimama kidete kupinga uteuzi wa baadhi ya majaji ingawa uteuzi wao haukubatilishwa lakini angalau walionyesha msimamo wao
 
Hii ni aibu sana kwa Serikali na CCM yake. Ina maana haya yote hawajayaona au kuyasikia mpaka Mh Lissu anayatoa adharani? Watajuta
 
natamani kila mwananchi angesoma huu waraka akaona madudu ya serikali hii inaonesha hakuna haki kabisa katika mahakama zetu.
 
Magamba hahahaa! Sasa kampeni iko wapi? Hiyo ni wish yangu!
Hata hao akina Tundu wenyewe wanajua kuwa muda wa kujadili mambo ya urais bado.....wapo strong people ndani ya CDM kuliko hata Tundu Lissu....haimaanishi Lissu ndo zaidi ya wote.....Wakati kaka yako mzaramo anasema haitaji kura za wafanyakazi....alikuwa anajua hakuna mgombea anaeweza kumtingisha hata kidogo...hakuna aliyejua Dr. Slaa angeweza kuwa chaguo la wengi....so mpaka kufikia June 2015...tarajia yanaweza kutokea mabadiliko...kalagabaho
 
Kama hii ni kweli, and I believe to be true, case waliamua hawa majaji zinaweza kuwa questioned mahakamani CA.
Kama JK alivunja sheria hawezi kuwa impeached. Maana naona kama ushahidi ni wa wazi mno bila mashaka.
Hili la kuvunja katiba hata baada ya kushauriwa lina hatari sana. Bahati mbaya bunge letu nalo ndio wale wale, halina ujasiri wa kumshitaki Rais. Ni kama nawaona jinsi watakavyotoka mapovu kujaribu kuteteana juu ya kadhia hii!
 
Nimekosa kabisa hamu na nchi yangu Tanzania.I'm Speechless and Mouth open.

I wish hata nusu Watanzania wangejua haya madudu ya Serikali ya CCM.

But hang on, it is my wishful thinking, most of the Tanzanians wanaogelea kwenye lindi la ujinga na maskini.
Kujua ukweli huu kwao ni sawa na kumuona Yesu mawinguni.

Sasa ngoja tumsubiri Werema na Kichwa chake cha kufungia nywele. Lakini ipo siku Mungu atatupatia haki yetu mliyotunyang'anya CCM, Watanzania tuzidi kuomba.

Haki itapatikanaje mahakamani kwa mtindo huu?
 
Nafikiri Tanganyika Law Society wanapaswa kutupa majibu kwani wao wanafanya nini kusimamia taaluma ya sheria kwa sababu hii inadhalilisha tasnia ya sheria Tanzania wenzao zanzibar chama cha wanasheria walisimama kidete kupinga uteuzi wa baadhi ya majaji ingawa uteuzi wao haukubatilishwa lakini angalau walionyesha msimamo wao
Hawa walishatugeuka taaluma yao wanitumia kukandamiza haki za wanyonge.na sababu kubwa nafasi za juu wamekabidhiwa vichaa.Kwa harakaharaka nijifunza kitu kwa tundu lissu kuwa udhaifu huu haijaanza kipindi cha JK bali tangu siku nyingi.Madhara yake ndiyo tunaanza kuyaona leo kesi za ajabu zinafunguliwa na huku serikali ikiendelea kutumia mahakama kama kichaka,kumbe mpango wa kuandaa play makers ulianza siku nyingi.Na sasa kuwaondoa wale itatuchukua muda kwa maana nyingine haki za kimahakama hazipo tena.Kilichobaki ni kuiondoa ccm madarakani ili kuweza kufumua mtandao wa vihiyo wa sheria
 
....majaji wengine waliotajwa kwenye Addendum hii hawakupendekezwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama. Majaji wengine ambao pia hawajawahi kupendekezwa na Tume hiyo ni pamoja Fatuma Massengi, Mary Sumari, Imani Mkwawa-Aboud na Sekela Mushi....

HIVI HAWA NDIO HATA KIMOMBO HAKIPANDI EH?
 
Si Ndugai wala Lukuvi au Werema, achilia mbali vilaza wengine wa ccm pale bungeni watakaosema neno katika suala hili.

Nasikitika MWANAHALISI wamelifungia kwani nina uhakika wangeichapisha habari hii jinsi ilivyo ili kila mtanzania aione.
 
Hebu fikirieni. Kama dhaifu ameweza kufanya hivi kwa mahakama, je katika usalama wa taifa, jeshi la polisi amefanya mangapi kudhoofisha utawala wa kisheria?

Umenena mkuu, huko ndio balaa, nadhani mkurugenz wa NIDA aliwaumbua polisi wana vyeti bandia...binafsi nawatambua sita wanatumia majina ya watu na kwa sasa wana vyeo, mbaya zaidi kuna mmoja alimuua jamaa aliekuwa na cheti chake I mean anaetumia jina lake....
 
nimeipenda hii.Imenikumbusha siku siku Rais anatoa hukumu ya waalimu kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi,maana kesho yake mahakama ikamalizia kazi aliyoanza Rais.Hii mihimili ya kishikaji(ilikuwa serikali ya washikaji bila kujali taaluma na uwezo wa mtu,sasa mahakama nayo imeingia).Washauri wa Rais ni dhaifu,Mh Rais unaaibisha IKULU yetu.
`Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete na uzembe wa CCM`na Mh JJ Mnyika, Bunge
 
117 Reactions
Reply
Back
Top Bottom