Ripoti Maalum: Utetezi wa Tundu Lissu (MB) mbele ya kamati ya Haki na Maadili ya bunge

Umenena mkuu, huko ndio balaa, nadhani mkurugenz wa NIDA aliwaumbua polisi wana vyeti bandia...binafsi nawatambua sita wanatumia majina ya watu na kwa sasa wana vyeo, mbaya zaidi kuna mmoja alimuua jamaa aliekuwa na cheti chake I mean anaetumia jina lake....

Mzee hapo umeniogopesha, kumbe wahuni hawa wanaweza kukuua kwa ajili ya cheti chako??
 
Majaji hawa aliowataji kamanda Lissu nime- wa-google ni aibu! grrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!

1.Fatuma Massengi,
2.Mary Sumari,
3.Imani Mkwawa-Aboud
4 .Sekela Mushi,
5.
KASSIM NYANGARIKA,
6.ZAINAB G. MURUKE,
7......
 
Si Ndugai wala Lukuvi au Werema, achilia mbali vilaza wengine wa ccm pale bungeni watakaosema neno katika suala hili.

Nasikitika MWANAHALISI wamelifungia kwani nina uhakika wangeichapisha habari hii jinsi ilivyo ili kila mtanzania aione.

mkuu, gazeti la jamhuri limeichapisha kama ilivyo ktk toleo lake la jana. liko mitaani sasa. ila sijui circulation yake km ni kubwa km mwanahalisi kipenzi chetu watz au la.
 
Hawa walishatugeuka taaluma yao wanitumia kukandamiza haki za wanyonge.na sababu kubwa nafasi za juu wamekabidhiwa vichaa.Kwa harakaharaka nijifunza kitu kwa tundu lissu kuwa udhaifu huu haijaanza kipindi cha JK bali tangu siku nyingi.Madhara yake ndiyo tunaanza kuyaona leo kesi za ajabu zinafunguliwa na huku serikali ikiendelea kutumia mahakama kama kichaka,kumbe mpango wa kuandaa play makers ulianza siku nyingi.Na sasa kuwaondoa wale itatuchukua muda kwa maana nyingine haki za kimahakama hazipo tena.Kilichobaki ni kuiondoa ccm madarakani ili kuweza kufumua mtandao wa vihiyo wa sheria

Hapa utagundua kwanini kesi za wananchi, wapenda haki dhi ya serikali lazima serikali ishinde... na pale kunapokuwa na kesi za madai dhidi ya serikali lazima seriali ishindwe ili wahuni hawa wapate ulaji......
 
Mzee hapo umeniogopesha, kumbe wahuni hawa wanaweza kukuua kwa ajili ya cheti chako??
Mkuu its true story. marehemu JPM alikuwa anadai cheti chake original, wataki pia askali huyo akitakawa kuthibitisha vyeti vyake. alternative akaona amumalize kwenye mazingira tata.
 
Nafikiri Tanganyika Law Society wanapaswa kutupa majibu kwani wao wanafanya nini kusimamia taaluma ya sheria kwa sababu hii inadhalilisha tasnia ya sheria Tanzania wenzao zanzibar chama cha wanasheria walisimama kidete kupinga uteuzi wa baadhi ya majaji ingawa uteuzi wao haukubatilishwa lakini angalau walionyesha msimamo wao

Mkuu hao Tanganyika Law Society wako kimaslahi binafci zaidi.. Yule aliekuwa Raisi wao ci na yeye aliteuliwa kuwa Jaji.. I don't trust them completely.. :A S thumbs_down:

Naomba nimpongeze Jembe TL.. Hakika ametumwa na walala hoi wa nchi hii akawatetee bungeni.. Kitaeleweka tuu..
:poa
 
Ngoja nikasome sheria kidogo ili nijiridhishe juu ya wale waliokuwa wakimkosoa Lissu katika hotuba yake ya kambi rasmi ya upinzani bungeni na kuwatetea watu hawa, tena kwa maneno makali.

Walifanya hayo kwa mujibu wa kifungu gani cha katiba au sheria za bongoland! Nakwenda pia kufuatilia kama waliyajua haya mapema kabla ya kuanika udhaifu wao bungeni. Nikitoka huko nakuja "kubomoka"!

walitumia sheria za bongolala na sio bongoland
 
Hamu yangu kubwa ni kuona hiyo 'addendum' kwani Werema anaweza akawemo!

Ooooh my Gosh? Kumbe si hao tu waliotajwa kwenye hii report, bado wapo wengine kibao kwenye addendum (appendix)??!!!.

Nchi hii hatuna tena muhimili wa mahakama. Tuwekeeni hiyo appendix/addendum ya hao majaji washikaji/makanjanja. LIWALO NA LIWE
 
eehhhh! Ushahidi mzito sana huu, ngoja ni ucopy nimpelekee kubenea mara moja.

ntakutukana wewe!!!!!!!!!

Kubenea yupi wakati ccm wamefunga mdomo wake? Au unapima upepo? Kwanza kwa livyo mpekuzi kwake asilia 50 ya aliyoyaandika tundu lisu, anayafahamu. Hahitaji umpelekee lolote. Usinitafutie ban bwana.
 
Majaji hawa aliowataji kamanda Lissu nime- wa-google ni aibu! grrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!

1.Fatuma Massengi,
2.Mary Sumari,
3.Imani Mkwawa-Aboud
4 .Sekela Mushi,
5.
KASSIM NYANGARIKA,
6.ZAINAB G. MURUKE,
7......

Umeona nini mkuu? tiririka!!
 
kwenye hoja nzito kama hizi huwezi kuwaona bongo lala wachumia tumbo wa Nape, Ritz na rejao, wote wamekimbilia jukwaa la mapenzi.
 
Mh. Tundu Lisu, wewe ni mdogo wangu kiumri ila kwa hili ninaomba nikusalimie "Shikamoo mkubwa".

Kwa serikali na mihimili yake, ninawaomba sana kwa kuwa mambo hayako fresh kwenye teuzi nyingi naomba mfunge midomo msitake sana ushahidi, mkiutaka ndiyo kama huu hapa.

Umewaacha uchi kwa aibu kubwa mno. Mhe. Spika na msaidizi wako, please msipoangalia by 2015 mtakuwa mmekuwa vinara wa kuidondosha CCM. This is shameless, very shameless.

Huu ni udhaifu na ulegelege mkubwa sana kwa teuzi za nchi hii, zina utata. Ningekuwa mimi Mwanasheria Mkuu, Jaji Kiongozi, na Jaji Mkuu hata na Registrar ningejiuzulu kabisa.

It is a shame, tuna majaji wa mahakama kuu na rufani halafu are not learned lawyers,incompetent. I would like to see pro CCM coming here to give us a word,welcome.
 
Kuna majaji wengine nuksi kwelikweli. Bora huyo nyangilika alivuruga katika utumishi wake, lakini huyo sumari ni kimeo halafu ana dharau sana. Kuna jamaa ni soldier alipelekwa lindo nyumbani kwake, aisee mtu huyo ukiomba maji ya kunywa unapewa maji yaliyokingwa ukiona kwenye bomba. Askari wa mwanza hawampendi hadi leo.

Askari wanamsifia nyangarika, kuwa ni mtu wa watu mwenye upendo, anyependa kujua matatizo ya wanaomlinda na kuyatatua. Alihama mwanza, na wamemiss.
 
kwa maoni yangu huyu jamaa anafaa kuwa Jaji kiongozi

Ndiyo maana tunawasihi Watanzania wote tuinusuru nchi hii kwa kuichagua CDM 2015. Japo tuone tena kwa upande mwingine jamani pengine tutaliona tena jua maana sasa ni giza tupu. Tujaribu hata kwa miaka mitano ya awali tuone madabiliko tu jamani, chonde watanzania wenzangu. Sikuwahi kuwa mwanasiana ila nataka mabadiliko. Fed up!
 
mh. Tindu lisu, wewe ni mdogo wangu kiumri ila kwa hili ninaomba nikusalimie "shikamoo mkubwa". kwa serikali na mihimili yake, ninawaomba sana kwa kuwa mambo hayako fresh kwenye teuzi nyingi naomba mfunge midomo msitake sana ushahidi, mkiutaka ndiyo kama huu hapa, umewaacha uchi kwa aibu kubwa mno. Mhe. Spika na msaidizi wako, please msipoangalia by 2015 mtakuwa mmekuwa vinara wa kuidondosha ssm. This is shameless, very shameless. Huu ni udhaifu na ulegelege mkubwa sana kwa teuzi za nchi hii, zina utata. Ningekuwa mimi mwanasheria mkuu, jaji kiongozi, na jaji mkuu hata na registrar ningejiuzulu kabisa. It is a shame tuna majaji wa mahakama kuu na rufani halafu are not learned lawyers!!! Incompetent, incopetent incompetent. i would like to see pro ssm coming here to give us a word!!! Welcome.

thubutu, huwezi mwona ritz1, njiwa, tume ya katiba. Mwita alizikwa siku nyingi hawezi kuja na yule ff
 
Back
Top Bottom