Rip Amani Nzigule Jidulamabambasi

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,867
8,282
Namuombea Mungu amuweka mahali pema Amani Nzigule,mwanaharakati mahiri ambaye alitetea demokrasia kwa nguvu zote hapa nchini,kwa wale waliokuwa Bima enzi hizo nafikiri mtakuwa mnamkumbuka Amani alivyokuwa tayari kujitoa na kusaidia watu mbali mbali kwa kile alichonacho,iwe ushauri na mambo kadha wa kadha ,pia atakumbukwa kwa harakati zake za kumng'oa kwenye uenyekiti wa UMD bwana John Cheyo ambaye ameufanya uenyekiti kama vile ni Uchifu .
Amani katutoka angali kijana na akiwa katika harakati za kugombea ubunge,RIP Amani,
 
RIP Jidulamabambasi---- You fought your battle and accomplished it now it is your time to rest May the Lord give you eternal peace
 
Back
Top Bottom