KICHAKA
Member
- Jun 17, 2009
- 58
- 9
Katika hali ya kutapatapa ama kutojua la kufanya kama sio kukosa makuzi mema gazeti la Majira Jumapili limechapisha mahojiano ya Ridhwani Kikwete akichambua serikali ya Baba yake na Chama chao.
Katika mahojiano hayo, anasema bora CCM ya Mwalimu Nyerere huku pia akitoa vijembe kwa uongozi mzima wa CCM toka ngazi ya baba yake hadi chini na akifafanua pia kuwa serikali imejaa watu wasiotenda bali waongo na wasiokubali kusema ukweli. Wadau tafuteni habari hiyo muisome na mtafakari namna nchi ilipo kutokana na kuwa na vwatu visivyo kuwa na uwezo hata wa kuendesha familia.