Ridhiwani aapisha makamanda wapya

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="606">

</td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) taifa, Ridhiwani Kikwete, jana aliwasimika makamanda wapya wanne wa UVCCM, Kata ya Kijitonyama katika mkutano wa hadhara uliofanyika shule ya Msingi Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.

Makamanda walisimikwa katika mkutano huo ni Shyrose Banji, Tonny Ngombale Mwiru, Reule Nyaurawa pamoja na Philip Komanya.
<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Wanachama na mashabiki wa CCM wakijimwaya na burudani katika mkutano huo.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Mbunge wa Kinondoni, Idd Azzan mwenye shati la kijani (kulia) akikaribishwa katika hafla hiyo. Kushoto (aliyevaa sare ya CCM) ni Shyrose Banji, ambaye naye alisimikwa ukamanda wa UVCCM Kata ya Kijitonyama

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Shyrose Banji akicheza ‘kiduku’ wakati wa kumsubiri mgeni rasmi.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Baada kuwasili, mgeni rasmi alizindua shina la CCM la wakereketwa la madereva wa teksi wa Kijitonyama.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Bendera ikipandishwa na mgeni wa heshima kuashiria kufunguliwa kwa tawi hilo.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Shyrose Banji akisimikwa ukamanda kwa kuvalishwa gwanda maalum la ukamanda.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Kamanda mpya, Tonny Ngombale Mwiru, akisimikwa kwa kuvishwa gwanda na kofia za chama chake...

</td></tr></tbody></table>
 
Bado napinga mtoto wa rais kuingia siasa ilhali babaye yupo madarakani.
Ninamshuku Kikwete anatupeleka kusiko na atakuja kulaumiwa na umma wa watanzania muda si mrefu.
Tunamkumbuka Nyerere kwa mema yaliyopitiliza. tutamkumbuka na kumtukuza Muungwana kwa madudu yaliyipotiliza
 
Makamanda walisimikwa katika mkutano huo ni Shyrose Banji, Tonny Ngombale Mwiru, Reule Nyaurawa pamoja na Philip Komanya."

Hivi huko CCM ndo wanaridhishana au vipi? Mbona hao waliosimikwa ni watoto wa wakubwa wa CCM?! Ngombale Mwiru, marehemu waziri Marcel Komanya na marehemu mbunge Richard Nyaulawa! Wanasimikwa na mtoto wa rais!
Naona kichefuchefu........sijui nyie wanajamii mwaonaje?

It's not fair kwa waTZ. Mie najihisi kizunguzungu.
 
Bado napinga mtoto wa rais kuingia siasa ilhali babaye yupo madarakani.
Ninamshuku Kikwete anatupeleka kusiko na atakuja kulaumiwa na umma wa watanzania muda si mrefu.
Tunamkumbuka Nyerere kwa mema yaliyopitiliza. tutamkumbuka na kumtukuza Muungwana kwa madudu yaliyipotiliza
Kuna siku tutachoka waache waendelee tu,unajua punda akichoka ukimlazimisha utakiona cha mtema kuni kaa karibu yake tu utaona.uyu jamaa anajiita ridhiwani lini nae kawa brigedia?au ndio mambo ya dingi inabore sana na zidi kupata asila na viongozi wqa nchi hii subiri tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom