Babuu blessed
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 1,362
- 490
Huyu mtoto akajifunze kuchana nywele kwanza.
kipilipili kile kama nyasi za jangwani mda wote zinasinyaa
Huyu mtoto akajifunze kuchana nywele kwanza.
na hili litapita! dr waukweli ataingia magogoni 2015!
ila niwe mkweli kati ya watu ambao siwapendi huyu jamaa yumo(ridhiwani)
Dogo naona kaamua kung'ang'ana na fupa lililomshinda fisi, Dingi ake kamshindwa Dk. yeye sijui katokea wapi kutaka kupambana na Dk. Slaa. Na imani kwa kipindi chote alichokuwa kimya alikuwa anapoteza ushahidi, ila kwakuwa sifa ya muongo ni kupoteza kumbukumbu, hatuna shaka na hilo. Sisi tutege masikio tu hiyo tar 12/12/2011. ninachokiona ataishia kumponza baba yake.washitakiwa wengine ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya free media ltd,mhariri mtendaji wa tanzania daima na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya printech ltd
kesi imefunguliwa jalada namba 109,ilitajwa jumatatu wiki hii mbele ya msajili wa mahakama kuu kanda ya dsm amir msumi
ridhiwan pamoja na mambo mengine anataka washitakiwa hao kumlipa fidia ya shilingi bilioni 2
pia ameitaka mahakama kuwazuia wadaiwa hao na mawakala wao kutorudi tena kutangaza maneno ya KASHFA katika vyombo vya habari likiwemo gazeti la tanzania daima kwake binafsi na BIASHARA ZAKE na wamwombe radhi bila masharti yoyote
kesi imeahirishwa tena hadi disemba 12 mwaka huu
kesi itaahishwa mpaka 2015 halafu dr.slaa anatiwa ndani miaka kadhaa
wameshausoma upepo wa 2015 kupitia igunga
Slaa akapumzishwe tu Keko...tayari haka kazee kameshajichokea
Mwache apasuke msamba huyu dogo hajitaki nini?anataka kupigana na kungwi
Rizi kawai mahakamani hili asibugudhiwe na mtu kwenye biashara yake.
Poa tu kijana rizi hipo siku hisiyokuwa na jina.
Mfano ni watoto wake na Gadafi wapo wapi sasa,
watoto alikuwa rais wa misri mbaraka wapo wapi.?
Slaa akapumzishwe tu Keko...tayari haka kazee kameshajichokea
katika watu ambao ninawachikia hapa tanzamagamba ni hako karidhiwani!! Yan aombe mungu wachakachue vizuri 2015 kwani lazima afungwe keko miaka ya pepo. Wana jf yan huyu jamaa nifisadi wakutupwa. Kwa wale wakazi wa upanga au wanaofahamu maeneo hayo kuna ghorofa ya ndefu kama storey 17 ni ya kwakwe na ninasikia anamiliki petrol steshen kadhaa hapa jiji. Yan simpendi,
siyo hao tuuu NA MAGAMBA WOOTE!Ni kweli aisee!Lakini aende na MKAPA,KINGUNGE,SITTA,MANGULA,MWINYI,KINANA NA WEWE MWENYEWE
na hili litapita! dr waukweli ataingia magogoni 2015!
ila niwe mkweli kati ya watu ambao siwapendi huyu jamaa yumo(ridhiwani)