Ridhiwan Kikwete awashitaki Dr. Slaa, Mtikila

Kijana hawezi fanya lolote lile,watu wana DATA za kufa mtu,akikurupuka tu imekula kwake,yaani unafikilia kuwa Dr Slaa atoe kitu ktk jamii bila kuwa na uhakika nacho? hiyo haipo sina chama ila namwamini sana Dr slaa huwa akurupuki,so Kijana hawezi,hatoweza na hatojaribu kufanya hivyo kwani akijaribu tu vitawekwa wazi hata visivyotakiwa kuwa wazi kuanzia zile mali za Arusha hadi Dodoma hahahahahahahahahahahahaha
 
Kijana hawezi fanya lolote lile,watu wana DATA za kufa mtu,akikurupuka tu imekula kwake,yaani unafikilia kuwa Dr Slaa atoe kitu ktk jamii bila kuwa na uhakika nacho? hiyo haipo sina chama ila namwamini sana Dr slaa huwa akurupuki,so Kijana hawezi,hatoweza na hatojaribu kufanya hivyo kwani akijaribu tu vitawekwa wazi hata visivyotakiwa kuwa wazi kuanzia zile mali za Arusha hadi Dodoma hahahahahahahahahahahahaha

Kwa kuongezea tu alionywa mapema kwamba hataweza na Slaa akasema anangoja aone yeye ana ubavu gani .
 
Yaweza kuanza kusikilizwa mapema mwaka huu. Hii ilbandikwa hapa Oktoba 2011.

[h=2]Ridhiwan Kikwete awashitaki Dr. Slaa, Mtikila[/h]
Washitakiwa wengine ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya free media ltd, mhariri mtendaji wa Tanzania daima na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya pPintech ltd. Kesi imefunguliwa jalada namba 109, ilitajwa jumatatu wiki hii mbele ya msajili wa mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam Amir Msumi.

Ridhiwan pamoja na mambo mengine anataka washitakiwa hao kumlipa fidia ya shilingi bilioni 2, pia ameitaka mahakama kuwazuia wadaiwa hao na mawakala wao kutorudia tena kutangaza maneno ya KASHFA katika vyombo vya habari likiwemo gazeti la Tanzania daima. Kwake binafsi na BIASHARA ZAKE, na wamwombe radhi bila masharti yoyote.

Kesi imeahirishwa tena hadi disemba 12 mwaka huu.
 
jamani nauliza hii kesi inaendeleaje MAHAKAMANI au imefutwa na JK

Hii kesi unaitakia nini? Mbona unaiuliziaulizia; inaelekea una maslahi nayo. Fanya au fikiria mambo yenye maana kuliko kupoteza muda wako kwenye mambo ya kupuuzi. Amka sasa acha kulala.
 
kama kuna mwenye taarifa kuhusu kinachoendelea atufahamishe yasije kuwa yale ya mtikila na rostam! Anapiga kelele kwenye media jioni ana _raise invoice kwa watuhumiwa!
 
Namwamin Dr. wa ukweli kijana akimwaga mboga anamwaga ugali, yaani mafisadi ndo walivyo, mara leo hee mimi sina ki2, mara eee msinifuatilie kwenye biashara zangu, mwingine wa kumvaa nani mtikila wee amuulize ding yake, chezea mchungaji we dogo.
 
Wewe iPo Siku utatumbia Uda yetu zote wewe unapora na Huko Mahakamani Mbona utatuumbuka una uwezo
wa kupambana na Hawa vigogo wanakudanganya futa kesi haraka sana
 
huyo ana hamu ya kuchambuliwa, watamchambua hadi atajuta. ningekuwa mimi ningenyamaza kimyaaa ili nipone kupopolewa mawe. kama kweli anajiona yeye ni msafi, basi aaendelee, la sivyo, ataiona manake watampopoa
 
Na hata Huko uswis taarifa zetu nae yumo kuficha kodi yetu hivi Hawa Watu awatoshekiiiiiiiii jamaanii
 
Hawa wamezidi kuwa waongo na kuwachafua watu, washitakiwe na walipe fidia hiyo wakome na wasirudie tena. Wanapenda kujitengenezea umaarufu
 
Safi sana, inatakiwa kila wanapozuwa na kudanganya kwa siasa zao maji-taka wanafunguliwa kesi.

Amma waendelee amma wawache uongo usio na mpango.
 
Back
Top Bottom