Ridhiwan Kikwete awashitaki Dr. Slaa, Mtikila

washitakiwa wengine ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya free media ltd,mhariri mtendaji wa tanzania daima na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya printech ltd
kesi imefunguliwa jalada namba 109,ilitajwa jumatatu wiki hii mbele ya msajili wa mahakama kuu kanda ya dsm amir msumi
ridhiwan pamoja na mambo mengine anataka washitakiwa hao kumlipa fidia ya shilingi bilioni 2
pia ameitaka mahakama kuwazuia wadaiwa hao na mawakala wao kutorudi tena kutangaza maneno ya KASHFA katika vyombo vya habari likiwemo gazeti la tanzania daima kwake binafsi na BIASHARA ZAKE na wamwombe radhi bila masharti yoyote
kesi imeahirishwa tena hadi disemba 12 mwaka huu


kesi itaahishwa mpaka 2015 halafu dr.slaa anatiwa ndani miaka kadhaa
wameshausoma upepo wa 2015 kupitia igunga
Dogo naona kaamua kung'ang'ana na fupa lililomshinda fisi, Dingi ake kamshindwa Dk. yeye sijui katokea wapi kutaka kupambana na Dk. Slaa. Na imani kwa kipindi chote alichokuwa kimya alikuwa anapoteza ushahidi, ila kwakuwa sifa ya muongo ni kupoteza kumbukumbu, hatuna shaka na hilo. Sisi tutege masikio tu hiyo tar 12/12/2011. ninachokiona ataishia kumponza baba yake.
 
Akajisafishe kwanaza sio kwenda kuropoka ropoka tu mahakamani au mkewe ndio mwana sheria wake?ha ha ha watoto wa prezdaa bwana
 
Rizi kawai mahakamani hili asibugudhiwe na mtu kwenye biashara yake.
Poa tu kijana rizi hipo siku hisiyokuwa na jina.
Mfano ni watoto wake na Gadafi wapo wapi sasa,
watoto alikuwa rais wa misri mbaraka wapo wapi.?
 
Ridhiwan Jakaya Mrisho Kikwete elewa kuwa mimi Rais wa moyo wangu ni Dr W.P Slaa anayeogopwa sanaaa na baba yako.Sasa usicheze na mtu huyu kwani ninaweza kukumaliza wewe na kizazi chenu endapo Dr Rais wangu Slaa atadhurika.
 
katika watu ambao ninawachikia hapa tanzamagamba ni hako karidhiwani!! yan aombe mungu wachakachue vizuri 2015 kwani lazima afungwe keko miaka ya pepo. wana jf yan huyu jamaa nifisadi wakutupwa. kwa wale wakazi wa upanga au wanaofahamu maeneo hayo kuna ghorofa ya ndefu kama storey 17 ni ya kwakwe na ninasikia anamiliki petrol steshen kadhaa hapa jiji. yan simpendi,
 
Tukichoma vituo vya mafuta unavyomiliki wewe Ridhiwani hii jeuri yako itakoma,kwasababu hauna adabu kabisa dogo.Lakini wewe saizi yangu nitaweza kupambana na wewe na kukushinda.
 
Mwache apasuke msamba huyu dogo hajitaki nini?anataka kupigana na kungwi

ANATAFTA SIFA ZA KIJINGA HUYU mtoto na inaelekea huu ukoo unakiherehere cha kuzaliwa.like daingi like son,rejao nae atakuwa dereva au mlinzi getini anapenda kuwashadadiiiia
 
Rizi kawai mahakamani hili asibugudhiwe na mtu kwenye biashara yake.
Poa tu kijana rizi hipo siku hisiyokuwa na jina.
Mfano ni watoto wake na Gadafi wapo wapi sasa,
watoto alikuwa rais wa misri mbaraka wapo wapi.?

Very Big Mistake kwa huyu kijana.ukimya wake ungemsaidia sana, hii kesi inaweza kwenda vizuri upande wake kama anavyoona sasa because of his current political influence. Itafika wakati hii kesi itaendeshwa kwa haki na kuibua mengi yatayokuja kuharibu vibaya sana. Kuna vitu vingi kulingana na timing yake ya kufungua kesi huko mbele vitamgharimu.

Kama angekuwa na huhakika kuwa source za miradi yake yote ipo clean sawa but contrary to that amejianzishia legal consequences in future tena kwa kesi hii hii. Haya mambo kwa mtu wa status ya ridhiwani alipaswa kuyaangalia beyond legal proceedings.

Sijui kama kuna anaelewa ninapoona.in future kuna mabadiliko makubwa sana kisiasa nchini yatayoibua mengi na kwasasa hakuna anaejua nini kitatokea kutokana na siasa za CCM yenyewe na muelekeo wa vyama vya upinzani.
 
Kumshitaki Dr Slaa umetushtaki sisi walalahoi wote wakati Tunajua Ridhiwani na Baba yako Jakaya nyie ni wezi sasa nguvu ya kwenda Mahakamani umetoa wapi? HAUNA CHAKO TANZANIA NI YETU NA MUNGU ANAJUA.
 
Slaa akapumzishwe tu Keko...tayari haka kazee kameshajichokea


Alimwita JK fisadi, hakufikishwa mahakamani unafikiri wewe na huyu dogo mtapona?, kwanza CCM na serikali yake hawafiki 2015 wanaondoka madarkani na Dr Slaa anakuwa Rais. Kama huamini subiri.
 
katika watu ambao ninawachikia hapa tanzamagamba ni hako karidhiwani!! Yan aombe mungu wachakachue vizuri 2015 kwani lazima afungwe keko miaka ya pepo. Wana jf yan huyu jamaa nifisadi wakutupwa. Kwa wale wakazi wa upanga au wanaofahamu maeneo hayo kuna ghorofa ya ndefu kama storey 17 ni ya kwakwe na ninasikia anamiliki petrol steshen kadhaa hapa jiji. Yan simpendi,

papa choriii toto mizi bana
 
Riki anataka watu wasimfuatefuate,magazeti yasiandike juu ya mali zake ndo maana kawai mahakamani
 
Mwisho wake hautatofautiana na mwisho wa watoto wa ghadaffi
 
Anataka kumwondoa Dr Slaa kwenye siasa angalau kwa sasa. Dr Slaa alikwenda mbali mno kuhangaika na haka katoto. Hii kazi angewapa akina Wenje tu.
 
Back
Top Bottom