Richard wa Big Brother atimkia Moshi, sasa anauza sura na wazungu

Wewe Sekulu acha kuponda watu,wewe si ndugu yake richard na ndiye ulikuwa unakaa kwenye nyumba yao dar kwenye nyumba ya kona 'kwa wajanja',ukapata bahati kwenda marekani miaka ya tisini hujarudi hata kusalimia,juzi kati si ulioa,sio wewe? Maana ninayemsema anaitwa Sekulu.
Mwenzie Mwisho Mwampamba yupo moro anauza nyago na Ngedere na kucheza pool kwenye cafeteria ya SUA. Huku akigongea Gari za familia yake na huku akiacha baba yake anatembelea Baiskeli!
 
kwanza unakuwa hujajiandaa maanake unabahatisha na ukizipata
we ni mitungi na kugonga ngozi,muda ci mwingi
unakuwa na njaa zaidi ya ile uliyokwea nayo pipa
nilimuona kwenye supermarket moja pale moshi inaitwa nakumatt
how do u use $100,000 so quickly?? kuna haja ya washindi kutafuta washauri wa pesa maana inasikitisha kama kafulia baada ya muda mfupi kiasi hiki...
 
Jamani richard yuko moshi anajishughulisha na kilimo..which is the best things...kilimo ndo kila kitu
 
Labda mimi ni mgeni hapa!!....hivi hili ni jukwaa la udaku au ni jukwaa la nini? ok amemaliza Dollar laki moja vipi nyinyi mmeshawahi hata kumiliki dollar 10,000/= tu? hoja zingine za kipuuzi kabisa.
Matola mkuu wacha ushamba yani kutamka dolla ndo kuna kushtua dola 10,000/= ni sawa na 15,850,000/=sasa hii ni hela gani unayoiona kubwa wewe bana tatizo lako hesabu F NDIO SABABU UONE NI HELA MILIONI 15 ,WATU WANAMSHANGAA SABABU DOGO HAIONEKANI ALICHOKIFANYA SIO UKUBWA WA HELA AU WINGI WAKE LOH!!!!!!
 
richard amekwenda moshi kwa kuwa mke wake amepata ajira kwenye NGO moja and she is paid handsomely, ila richard anapenda tu kuuza sura na wazungu, kama hela imeisha basi anaishi kwa nguvu ya wife, ila yupo na anakaa shanti town with wife and kid
 
kwani yeye kuwa na wazungu si nikawaida yake?sidhani kama ni mada hapa,,,labda ungesema kafulia ungeeleweka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom