Richard wa Big Brother atimkia Moshi, sasa anauza sura na wazungu

Labda mimi ni mgeni hapa!!....hivi hili ni jukwaa la udaku au ni jukwaa la nini? ok amemaliza Dollar laki moja vipi nyinyi mmeshawahi hata kumiliki dollar 10,000/= tu? hoja zingine za kipuuzi kabisa.
 
Mkuu matola Huku ni udaku kwa kwenda mbele rudi kwenye jukwaa lako la siasa
 
Labda mimi ni mgeni hapa!!....hivi hili ni jukwaa la udaku au ni jukwaa la nini? ok amemaliza Dollar laki moja vipi nyinyi mmeshawahi hata kumiliki dollar 10,000/= tu? hoja zingine za kipuuzi kabisa.

Kwani Matola unataka nini kijadiliwe kwenye jukwaa hili? Tujadili jinsi Diamond na Wema walivyomwagana ama tujadili Matola anavyojua kutoa hoja za kukera?
Nakuheshimu sana mkuu lakini tafadhali usituchagulie cha kujadili. Halafu kama hukuona cha kuchangia ungepita tu kama ambavyo maelfu walivyopita.
Hapa wanakumbushwa masupa staa kwamba kuna leo na kesho.
 
Baada ya kuona maisha ya DSM yanamzingua hasa baada ya kujaribu kila fani kuanzia kwenye muvi hadi mziki na kuona hakulipi, yule bingwa wa mapilau toka Big Brother Africa, Richard hivi sasa amekimbilia Moshi.

Rich ameonekana viwanja mbalimbali Moshi akiwa na wazungu wake huku wakilana denda hadharani.

Richard anakumbukwa sana kwa kazi kubwa aliyoipiga ndani ya mjengo wa BBA.

chanzo cha habari hii?...
japo na mimi nimemuona sana LALIGA ila sijajua kama ndo kafulia...mm najua anakula BATA tuu!
 
Baada ya kuona maisha ya DSM yanamzingua hasa baada ya kujaribu kila fani kuanzia kwenye muvi hadi mziki na kuona hakulipi, yule bingwa wa mapilau toka Big Brother Africa, Richard hivi sasa amekimbilia Moshi.

Rich ameonekana viwanja mbalimbali Moshi akiwa na wazungu wake huku wakilana denda hadharani.

Richard anakumbukwa sana kwa kazi kubwa aliyoipiga ndani ya mjengo wa BBA.

vp? Alikunyma bia?
 
vp? Alikunyma bia?

Nikisema unatumia ile kitu kufikiri utanilaumu kweli? Mtu anayelelewa anaweza kuninunulia bia? Halafu nani kasema mamboya bia jombaa? Au unataka kunitibua nyongo tu.
 
Chilli kwani kipi cha ajabu hapo mpaka PM itumike.?

hakuna cha ajabu lakini stori zenu binafsi za nini katikati ya post? Acheni kujifanya hamuelewi.
Kama mnataka kuleta michongo yenu tupianeni maPM as lon as hayatuhusu.
 
Last edited by a moderator:
hakuna cha ajabu lakini stori zenu binafsi za nini katikati ya post? Acheni kujifanya hamuelewi.
Kama mnataka kuleta michongo yenu tupianeni maPM as lon as hayatuhusu.

aya mkuu...ngoja tuondoke endelea kuuza gazeti man!
 
Usinielewe vibaya mkuu BAGAH nilikua nawaza tu kwa sauti.
Poa basi ngoja mi niendelee kuuza gazeti. Bila shaka mtakua mmeiva sasa kwenye matumizi ya PM.
 
Nikisema unatumia ile kitu kufikiri utanilaumu kweli? Mtu anayelelewa anaweza kuninunulia bia? Halafu nani kasema mamboya bia jombaa? Au unataka kunitibua nyongo tu.
hahha anatumia kitu gani embu kuwa muwazi bwana live and direct BANGI,KUBERI,AU NINI mpendelee kidogo basi au unaogopa kupingwa ban hahahahahahahahahah
 
Yule meya wa jiji la DSM bana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom