Richard wa Big Brother atimkia Moshi, sasa anauza sura na wazungu

Chilli

JF-Expert Member
Jul 17, 2011
1,655
743
Baada ya kuona maisha ya DSM yanamzingua hasa baada ya kujaribu kila fani kuanzia kwenye muvi hadi mziki na kuona hakulipi, yule bingwa wa mapilau toka Big Brother Africa, Richard hivi sasa amekimbilia Moshi.

Rich ameonekana viwanja mbalimbali Moshi akiwa na wazungu wake huku wakilana denda hadharani.

Richard anakumbukwa sana kwa kazi kubwa aliyoipiga ndani ya mjengo wa BBA.
 
mmmm ,,, mwaka jana nilikutana nae LA LIGA, kwan ni mchaga?? na vp dem muzungu kampatia katika harakati za kupandisha watalii mlimani??//
 
Mod mbona linapotajwa kabila la wachaga amuweki ihi password **** ili ali kuna thread kibao zinamaneno ya kuwakebei wakina bwashe wakike na kiume.
 
how do u use $100,000 so quickly?? kuna haja ya washindi kutafuta washauri wa pesa maana inasikitisha kama kafulia baada ya muda mfupi kiasi hiki...
 
Baada ya kuona maisha ya DSM yanamzingua hasa baada ya kujaribu kila fani kuanzia kwenye muvi hadi mziki na kuona hakulipi, yule bingwa wa mapilau toka Big Brother Africa, Richard hivi sasa amekimbilia Moshi.

Rich ameonekana viwanja mbalimbali Moshi akiwa na wazungu wake huku wakilana denda hadharani.

Richard anakumbukwa sana kwa kazi kubwa aliyoipiga ndani ya mjengo wa BBA.

Mwenzie Mwisho Mwampamba yupo moro anauza nyago na Ngedere na kucheza pool kwenye cafeteria ya SUA. Huku akigongea Gari za familia yake na huku akiacha baba yake anatembelea Baiskeli!
 
sekulu u r mad! umenichekesha kwa loud speaker lolest! jamani si amefunga ndoa na yule meryl, si nasikia alikwenda kuishi naye namibia! vimeishia wapi??? eti babake anaendesha nini?? kwikwikwi! u hav made my morning.
 
sekelu mi like ur avatar!
 
sekulu u r mad! umenichekesha kwa loud speaker lolest! jamani si amefunga ndoa na yule meryl, si nasikia alikwenda kuishi naye namibia! vimeishia wapi??? eti babake anaendesha nini?? kwikwikwi! u hav made my morning.

No joke babake anaride bike!.ni mwalimu wa vifaa vya kilimo!. Ka avatar kangu kako sexy ama?
 
kamenipa raha! huyo mtu analia hivyo inaelekea ana matatizo makubwa sana! inaelekea pia ni kama mtu wa somalia, au middle east huko, ila hilo domo, mie hoi! lolest!
 
Ivi zile dollar laki moja zake zimeisha tayari?

Mkuu Senetor, hata ukipewa billion mia tano kama ukiwa huna akili ni nothing. Jamaa anapenda sana maisha ya kwenye TV ndo maana kawahi kulost.
 
Ama kweli leo nimeamini kua "usilolijua litakusumbua" kweli binadamu tumepewa midomo ili tuongee hata kama Chochote tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom