sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,539
- 9,462
Huyu jamaa alipata kismati cha kufahamiana na Jk wakati yuko mlimani pale.. Baadae JK alimunganishia safari ya kwenda kama ciyo Japan then ilikuwa South Korea.. Akarudi na kagari kake ka kwanza.. So toka hapo amekuwa ni mtu wa JK.. Na wala hana cifa za ukada.. Mara nyingi JK akisafiri na haswa akienda Marekani mara nyingi au anaongozana nae au jamaa anatangulia.. Kwa hiyo hapo alipo anafaidi matunda kwa uswahiba wake tu na JK..